Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia.
Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema chochote kanisani bila kubagua anatoka chama gani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.
Sijui nani ataumia kama ikiwa hivi.
Shida ya watz ni mindset zao.wanasema dini inaingilia siasa sasa wakati dini hazitaki siasa wanasema wanakosea .stupidWewe unachanganya mambo! Unatetea kitu gani hasa??Watu wanautaratibu wao, kanisa mbona limekua na mchango mkubwa ba lina mahusiano mazuri na serikali, hujui kuna mashirika ya kikanisa na kipapa yanatia huduma nyingi kwa jamii, hujui mashule, vyuo, mahospitali, zahanati n.k.Hayo yite huoni unaona ushirikiano wa kanisa na serikali ni pale viongozi wake wanapoenda kuongea madhabahunu.Umechanganyikiwa??
Nyerere huwezi mlinganisha na hicho kibibi kifupi ki-Idd Amini MamaHuwezi kutishwa na kinyago ulichokichonga mwenyewe. Kama naweza kukusajiri naweza kukufuta pia. Serikali haina mpaka wa kuingia na kusema popote ambapo Kuna raia wake. Kama kanisani Kuna wabakaji na wakwepa kodi itawafuata huko huko wanakopatikana. Nyerere aliwahi kutaifisha mali za makanisa walimfanya nini?
Hakuna mtu serikalini hata huyo chura kiziwi mwenye uwezo wa kuzuia ujenzi wa kanisa la Mungu, haijawahi kutokea na haitotokea najua michawa mabusha mnatamani litokeeHiyo building permit si wanaipata kutoka serikalini, na kiwanja je?. Jua kuwa ardhi yote ni mali ya serikali, majengo yote ya watu binafsi na private wamepangishwa tu kwa miaka ama 33 au 99, baada ya hapo lazima ukaombe tena , unaweza kukubaliwa au kukataliwa,
Wale wa gwajima walikuwa manyqni siyo??Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia.
Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema chochote kanisani bila kubagua anatoka chama gani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.
Sijui nani ataumia kama ikiwa hivi.
Hakuna mizizi wala nini, bali yapo makanisa ambayo yalikuwa wakisali wakoloni waliotuibia rasilimali zetu na walipoondoka waliyaacha kwa kazi maalumu. Mfano ,pesa za Vatican zinapatikana kwa njia ya sadaka na vitega uchumi visivyolipa Kodi kamili,Inategemea na mizizi ya huyo uliyemsajili
Unayo maslahi gani huko kanisani; mbona unalialia namna hii kama kuna kitu kitu umenyimwa huko kanisani; hadi kutoa vitisho vya "kuumia"?Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia.
Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema chochote kanisani bila kubagua anatoka chama gani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.
Sijui nani ataumia kama ikiwa hivi.
Alaaa!Hakuna mizizi wala nini, bali yapo makanisa ambayo yalikuwa wakisali wakoloni waliotuibia rasilimali zetu na walipoondoka waliyaacha kwa kazi maalumu. Mfano ,pesa za Vatican zinapatikana kwa njia ya sadaka na vitega uchumi visivyolipa Kodi kamili,
Eee kwasababu serikali iliwaambia kanisa wazichanganye na siasa.Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia.
Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema chochote kanisani bila kubagua anatoka chama gani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.
Sijui nani ataumia kama ikiwa hivi.
Ni hatari sana taasisi iliyosajiriwa na serikali kuwa na kanuni kama hii. Wanasiasa wana mengi na ndio wanaoratibu uhuru wa kuabudu. Kuna watu wanadhani kuwa taasisi zao kama vile makanisa, misikiti, shule, vyuo, mashamba, kampuni, nk yanamiliki watu wanaoweza kuwaambia na kuwafanya chochote. Taasisi zote ni porous kwa watendaji wa serikali. Kama mwizi amekimbilia msikitini lazima atafuatwa humohumo msikitini. Kama kuna jambo muhimu la kiusalama linalowahusu watu wanaosali kwenye kanisa fulani lazima watafuatwa hukohuko kanisani. Usalama kwanza.Unayo maslahi gani huko kanisani; mbona unalialia namna hii kama kuna kitu kitu umenyimwa huko kanisani; hadi kutoa vitisho vya "kuumia"?
Hivi nyinyi watu kweli bado mnazo akili vichwani mwenu?
Kama mlawiti yumo msikitini au kanisani atafuatwa humohumo na kama mwenye dalili za ugonjwa wa ebola yumo kwenye nyumba ya ibada anasali na watu wengine atakwenda kuchomolewa humohumo kwenye safu za wanaosali, hakuna mipaka kwa serikali kama kuna jambo muhimu la nchi.Alaaa!
Kumbe upo vitani na hayo makanisa?
Si ungejitambulisha tu toka mwanzo ueleweke vizuri?
Sasa elewa kwamba hilo GENGE la Samia unalolipigania humu tayari mmekwisha stukiwa. Pambaneni kivyenu na waTanzania wenyewe wataamua.
Hata kutoa na kukusanya bahasha kwenye nyumba za ibada kunafanywa baada ya kusali kukamilika. Na salamu na Jumbe nyingine zitakuwa baada ya sala, usihofu. Kanisa ni mtoto wa serikali lakini serikali sio mtoto wa kanisa. Limaweza kufungwa kama Kuna ulazima wa kufanya hivyo.Hivi Kanisani, Misikitini, Mahekaluni na Kwenye Kupiga Ramli na kuzindika tukiruhusu wanasiasa, wafanyabiashara, makahaba, ma influencer na kina Bakari, Joni, Asha na Halima.., kila mtu aje kusema chochote huoni kwamba tutakuwa hatuwatendei Haki wale waliokwenda pale kwa Shughuli za Kusali, Kuzindika, Kuswali n.k.
Ni kama kwenye majukwaa ya Siasa badala ya kushuka Sera mimi nianze kuleta Biashara zangu za UPATU.... au jinsi nilivyotokea na Mizimu ya Babu yangu...
Hivi wewe unadhani Samia na GENGE lenu ndio wamiliki wa taifa hili sasa?Ni hatari sana taasisi iliyosajiriwa na serikali kuwa na kanuni kama hii. Wanasiasa wana mengi na ndio wanaoratibu uhuru wa kuabudu. Kuna watu wanadhani kuwa taasisi zao kama vile makanisa, misikiti, shule, vyuo, mashamba, kampuni, nk yanamiliki watu wanaoweza kuwaambia na kuwafanya chochote. Taasisi zote ni porous kwa watendaji wa serikali. Kama mwizi amekimbilia msikitini lazima atafuatwa humohumo msikitini. Kama kuna jambo muhimu la kiusalama linalowahusu watu wanaosali kwenye kanisa fulani lazima watafuatwa hukohuko kanisani. Usalama kwanza.
Kanisa haliwez umia kwa chochote labda vikanisa alvotaja pascal mayallaKanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia.
Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema chochote kanisani bila kubagua anatoka chama gani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.
Sijui nani ataumia kama ikiwa hivi.
Hapo ni katoliki unaongelea. Taasisi ya kidini yenye uchumi mzuri kuliko zote nchiniVizuri sana ila wakiwa na halambee wasiwaalike pia kutaka michango yao
Ufufuo na uzimaWapo kwenye ushindani ndio maana watu wanasema wana muonea rais kisa dini nyingine
Wewe hapa umekwisha jitambulisha wazi ni nini kinachokupa msukumo wa kuleta mada za kipuuzi kama hii; kwa hiyo utajibiwa kipuuzi hivyo hivyo!Kama mlawiti yumo msikitini au kanisani atafuatwa humohumo na kama mwenye dalili za ugonjwa wa ebola yumo kwenye nyumba ya ibada anasali na watu wengine atakwenda kuchomolewa humohumo kwenye safu za wanaosali, hakuna mipaka kwa serikali kama kuna jambo muhimu la nchi.
Kanisa limechelewa sana kupiga marufuku huu ujinga.Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia.
Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema chochote kanisani bila kubagua anatoka chama gani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.
Sijui nani ataumia kama ikiwa hivi.