Kanusho: Bodaboda na Bajaji hawajapigwa marufuku kuingia katikati ya Jiji kuanzia Alhamisi 21 Aprili, 2022

Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na Halmashauri ya Jiji hilo , na kwamba Marufuku hiyo inaanza haraka iwezekanavyo kuanzia kesho Alhamisi tarehe 21/04/2022.

Chanzo : MwanaHalisi Digital
 
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na Halmashauri ya Jiji hilo , na kwamba Marufuku hiyo inaanza haraka iwezekanavyo kuanzia kesho Alhamisi tarehe 21/04/2022.

Chanzo : MwanaHalisi Digital
Hizi ni marufuku za msimu, kiki na zilizozoeleka kwa muda sasa. Hakuna Jipya!
 
Kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…