King _Of_Everything
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 695
- 1,354
Mipaka ya zamani ilikua, daraja la salender kwa barabara ya Ally Hassan Mwinyi, Jangwani kwa barabara ya Morogoro, Mkuki house mbele kidogo kuna kidaraja kabla hujafika mataa ya keko barabara kwa barabara ya Pugu, Mataa ya karume kwa barabara ya Uhuru, Daraja la treni jirani Puma kwa barabara ya Kilwa, Kivukoni ferry kwa wanaovuka. Zamani ilitumika hiyo mipaka.Katikati ya Jiji ndio wapi exactly? I mean BOundary ni ipi??