Kanusho: Bodaboda na Bajaji hawajapigwa marufuku kuingia katikati ya Jiji kuanzia Alhamisi 21 Aprili, 2022

Kanusho: Bodaboda na Bajaji hawajapigwa marufuku kuingia katikati ya Jiji kuanzia Alhamisi 21 Aprili, 2022

Ili kuzuia assassination.

Kama mtu ana haraka,boda boda ndio usafiri wakati wa rush hour. Kwa hiyo is it not idiotic kusema boda boda hairuhusiwi mjini?

Mental capacity ya Hawa voongozi wetu wengine lazima iwe questioned.

Au mtu hawezi kuwa na haraka? What about snake bites? Au a sudden attack of( ha ha), cholera?
 
Boda boda ni masikini ?

Haki ni nini / ipi ?, Sawa Boda wazuiwe ila kuna mbadala wa watu / public transport ya kutosha ambayo ni effective na efficient...
Usafiri wa boda boda ni uncontrollable.

Polisi traffic wameshindwa kuwadhibiti kufuata sheria za barabarani.

Nafikiri kinachofuata ni kuzipiga marufuku mijini.

Boda boda ni kero.
 
Tutaelewa tu.

Jiji la Dar es Salaam limepiga MARUFUKU pikipiki na bajaj kuingia maeneo ya Kariakoo na Postal.

Asante sana mama kwa hilo la kuzuiliwa vyombo hivyo vya moto kuingia mjini maana is isingekuwa juhudi zako hakika lisingefanikiwa.
Tena Mama tunampongeza kaupiga mwingi mno, hawa wabangaizaji wakae huko vichochoroni watuache tujinafasi.
 
Huyo aliyetoa makatazo hayo..
Mwambieni ni matak***o
Waafrika aliyetulogaa ni nani
Wewe ndiye makalio yako, waache wabangaizaji wakome, ningekuwa RC dar nigewasogeza kabisa waishie mbezi na toangom, na boko, yaani ningewakomesha kabisa hawa hohehahe maana wanakuja kutuharibia miji
 
Kama ni usafiri wangu wa kwenda kazini kwangu nauacha wapi na kwanini?
Hivi zile BMW 1350 nazo ni pikipiki? Zitaruhusiwa kuingia huko ndani kwao? Ikitokea mtalii anaendesha hiyo 150, watamzuia? Isije kuwa mtalii anaruhusiwa kuvaa kandambili popote ila mzawa ikaonekama uchafu!
 
Mipaka ya zamani ilikua, daraja la salender kwa barabara ya Ally Hassan Mwinyi, Jangwani kwa barabara ya Morogoro, Mkuki house mbele kidogo kuna kidaraja kabla hujafika mataa ya keko barabara kwa barabara ya Pugu, Mataa ya karume kwa barabara ya Uhuru, Daraja la treni jirani Puma kwa barabara ya Kilwa, Kivukoni ferry kwa wanaovuka. Zamani ilitumika hiyo mipaka.
Hata sasa mipaka itakuwa hiyo hiyo
 
Utaratibu ni Kitu muhimu sana!! Ila walisema Kuna maeneo yatatengwa Kwa special parking, hope yamekamilika
 
Kila awamu huwa inakuja na unafuu wa upande Fulani

Baada ya kilio Cha wamachinga Sasa tunayaona haya

Kazi iendelee
 
Wewe ndiye makalio yako, waache wabangaizaji wakome, ningekuwa RC dar nigewasogeza kabisa waishie mbezi na toangom, na boko, yaani ningewakomesha kabisa hawa hohehahe maana wanakuja kutuharibia miji
😁😁 sasa mjinga kama wewe nikujibu nini?

Huo u RC wenyewe hata ungeroga ukoo na kijiji chenu chote huwezi pata
 
Back
Top Bottom