Kapteni Ibrahim Traore adai nchi haiwezi kuendelea ikiwa katika mfumo wa demokrasia

Kama kuna watu walitaka kumpindua Traore, watu hao hawana makosa, kwani kuiondoa serikali haramu sio kosa. Kosa ni pale unapoiondoa serikali halali kwa mujibu wa Katiba
 
Sasa nchi za ulaya kwa China si ni kama mikoa tu, unazilinganisha vipi!? Kabla Ya Xi, kulikuwa na Jintao na Zemin, je hao hawakufanya kitu!? Xi ni dikteta tu aliyetengeneza mfumo wa machawa waliolazimisha kubadili taratibu za chama chao za miaka 10.

Kuhusu Maglev naona unajitekenya mwenyewe na kucheka, hizo treni zimeletwa na Xi!?
 
Kama katiba inampa mamlaka Rais ya kuweka tarrifs unadai vipi hakuna demokrasia hapo!?
 
Sasa nchi za ulaya kwa China si ni kama mikoa tu, unazilinganisha vipi!? Kabla Ya Xi, kulikuwa na Jintao na Zemin, je hao hawakufanya kitu!? Xi ni dikteta tu aliyetengeneza mfumo wa machawa waliolazimisha kubadili taratibu za chama chao za miaka 10.
Utake usitake Xi Jinping ndo ameleta maendeleo tunayoyaona leo ni bora atawale hata miaka 100 lakini maendeleo yanaonekana. Wachina wenyewe wapo kimya wamekausha nashangaa nyie waswahili mnamuita rais wao ditekta.

Halafu ukubwa wa ardhi isiwe kisingizio cha kupitwa kimaendeleo Tanzania ni kubwa kuliko Morocco na imeachwa mbali na Morocco.
 
Kama katiba inampa mamlaka Rais ya kuweka tarrifs unadai vipi hakuna demokrasia hapo!?
Hakuna demokrasia kwasababu bandari haimilikiwi na rais hadi aamue mwenyewe aweke tarrif anayoitaka. Bandari inamilikiwa na wananchi. Kwahiyo Congress ndo inatakiwa iamue tarrifs.
 
Sawa mchina wa Tandahimba.
 
Hakuna demokrasia kwasababu bandari haimilikiwi na rais hadi aamue mwenyewe aweke tarrif anayoitaka. Bandari inamilikiwa na wananchi. Kwahiyo Congress ndo inatakiwa iamue tarrifs.
Acha upumbavu wewe. Katiba yao imempa Rais hayo mamlaka. Eti Bandari!? Kwani bandari ndio sehemu pekee ambako bidhaa zinazoingia Marekani zinapita!? Je, bandari sio sehemu ya nchi!? Punguza ushamba Aisee!
 
Katiba isiyofuata demokrasia. Basi Xi Jinping katiba imempa nguvu ya kutawala atakavyo.

Halafu ushawahi kujiuliza lile neno port( bandari) kwenye Airport linafanya nini au seaport? Bandari haipo tu baharani.
 
Aliyeleta neno bandari katika huu mjadala ni nani!? Umesahau hata ulichokiandika mwenyewe. Mwishoni utadai Airport nayo ni Bandari!
 
Sasa nchi za ulaya kwa China si ni kama mikoa tu, unazilinganisha vipi!?
Morocco ni kama mkoa kwa Tanzania . Wao wanaongozwa na mfalme wametuacha mbali sisi tunaongozwa na demokrasia tunatekana.🤣🤣🤣
 
Aliyeleta neno bandari katika huu mjadala ni nani!? Umesahau hata ulichokiandika mwenyewe. Mwishoni utadai Airport nayo ni Bandari!
Mkuu kajifunze commerce basi mimi namaanisha bandari ya kibiashara.

AI huyu hapa anakupa darasa.
Neno "bandari" linaweza kuwa na maana tofauti kulingana na muktadha. Je, unamaanisha:

1. Bandari ya usafiri – Mahali ambapo meli, maboti, na vyombo vingine vya maji hushukia au kupakia mizigo na abiria. Mfano ni Bandari ya Dar es Salaam nchini Tanzania.

2. Bandari ya kibiashara – Bandari zinazotumika kwa biashara na uingizaji/utoaji wa bidhaa.

3. Bandari ya teknolojia (port) – Katika kompyuta na mtandao, bandari ni namba inayotumika kwa mawasiliano kati ya programu.

Ungependa maelezo zaidi kuhusu ipi hasa?
 
Sasa kama Rais ni mzuri kwanini atoke madarakani ? Halafu kukosa ridhaa ya wananchi kwani yule kiongozi wa Saudi Arabia alichaguliwa? Mfalme wa Morocco alichaguliwa? Mbona mfalme wa Morocco analeta maendeleo nchini kwake licha ya kwamba hakuchaguliwa? Kuchagua au kutochagua hakuleti viongozi wazuri. Unaweza kumchagua kiongozi ukidhani mzuri baada ya kuingia madarakani ndo akaonesha rangi zake halisi akawa mnyonyaji, mwizi,muuaji etc
 
Anafikiria kugangania madaraka hapo akili ndogo MTU mweusi
 
Toka mpate uhuru demokrasia imekuletea maendeleo Gani?
Demokrasia ipi unayoiongelea Tanzania...!!??

Toka nchi hii ipate uhuru hadi leo demokrasia umeiona wapi wakati ccm ndio inatawala kwa mkono wa chuma na tena wenyewe wanakiri wazi kwamba haiwezi ikaondolewa madarakani kwa vipande vya makaratasi.

Afrika hakujawahi kuwepo demokrasia na ndilo bara linaloongoza kwa umaskini uliokithiri duniani.

Magufuli mnayemsema kuna magorofa anayo pale Mwanza na aliyapataje kwa kipato chake halali..!!?? Yaani ufisadi mtupu.
 
Mwafrika muweke madarakani akae milele uone kama hatawanyang'anya hata wake zenu, rejea utawala wa machifu ulivyokuwa.
 
Mwafrika muweke madarakani akae milele uone kama hatawanyang'anya hata wake zenu, rejea utawala wa machifu ulivyokuwa.
Gaddafi aliwanyang'anya waLibya wake zao? Vp kuhusu Thomas Sankara wa Burkinafaso? Na Traore je?
 
Traore anafanya vizuri sana ndivyo walivyofanya viongozi wote ulaya wa awali kuunda utaifa, mataifa yao.

Wengi hapa Tanzania ni wamekaririshwa hawajui hata maana halisi ya demokrasia.

Demokrasia sio haki tu ya kuongea, hiyo ni sehemu ndogo ya demokrasia. Drmokrasia ni kutoa haki kila sehemu,kutoa haki kila nyanja, sekta kama huduma za elimu, afya, kazi, makazi, haki kuhudumiwa serikalini, biashara, kulindwa kwa uhai wako,biashara zako.
 
Huu upuuzi katafute wa kuwaambia. Eti namaanisha bandari ya kibiashara!? Kiswahili kuna kitu kinaitwa Bandari ya Kibiashara!? Katafute wajinga wa kuwafundisha lugha huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…