Kardinali Pengo: Ni kweli Watanzania hatuwezi kuendesha bandari yetu?

Ukiona taasisi ya Serikali imeshindwa, ujue Serikali ndiyo imeshindwa. Kwa hiyo tufikirie kumpa Serikali mwarabu.
Sio mwarabu tuu ni mtu yoyote mwenye uwezo na hata uzoefu kama tulivyobinafsisha fani ya uhasibu katika makampuni mengi binafsi na hata sekta ya bima.

Bams : kumbuka kuwa sio lazima serikali kusema imeshindwa la hasha ni kutaka kujikita katika kutekeleza majukumu ya jamii zaidi na sio biashara tena.

Ngoja nikupe mifano wa kampuni zilizokuwa zinafanya vibaya ila baada ya kuja wawekezaji sasa serikali inapata mapato makubwa:
1. TBL - South Africa
2. NMB - Uholanzi
3. NBC - South Africa
4. TCC - Japan
5. TOL - Anold Kilewo Rombo Tanzania
Na mengine mengi tuu!

Swali mbona kipindi hicho hakuna pimbi iliyolalamikia hizo nchi tajwa hapo juu! Au Chuki ni nini kumbafu zenu au ni uelewa wa mambo finyu mamayo zenu!!!
 
Wako wapi? Walikua wapi miaka yote au wamejitokeza baada ya DPW kula tenda?
Ni hivi: Viongozi wa bandari huteuliwa na wanasiasa wa Tanzania. Hili limefanya siasa performance iwe chini muda wote kama walivyoshindwa kuendesha nchi. Tatizo ni kwamba japo wameshindwa lakini hawataki kukubali.
 
Ona hili idiot! Kumbe hata hujui watu wanalalamikia nini!
 
Watu wanalalamika kwa sababu ya masharti mabaya ya kuuza nchi yaliyomo kwenye Mkataba, wala siyo kwa sababu ya nchi tuliyoingia nayo Mkataba
 
Watu wanalalamika kwa sababu ya masharti mabaya ya kuuza nchi yaliyomo kwenye Mkataba, wala siyo kwa sababu ya nchi tuliyoingia nayo Mkataba
Basi waache kulalamika waende mahakamani ndio kuna suluhu wala sio jf wala social media pumbafu nyie wote mnaolalamika humu shenzi zenu mamayooooo
 
Uthabiti wa kauli unakosekana. Unaona kabisa ana jambo zito la kuongea lakini analitoa kwa tahadhari kubwa na kwa kuepuka kulipa uzito wa maneno unaostahili!

Njni kinachomzuia kuongea kwa mamlaka kama Nabii?
 
Mfano Dpworld wangekuwa wanatokea Rome Italy..
Angeuliza haya maswali???

Hii haihusu unatoka wapi mkuu!! Hili ni jambo la kitaifa na sio la dini.......

tungehoji tu, huu mkataba ni magumashi ukitaka kujua hilo ni hivi waiweke wazi wasema hawa watu wapo hapa mpaka lini!!

Lakini hili wanaogopa kusema...!!!! Tusiwe wabinafsi mkuu mimi na wewe tayari tunaishi na pengine tuna uhakika wakuishi, shida ipo kwa watoto na wajukuu zetu wataishi kama wakimbizi, maana kila kitu kitakuwa kimegaiwa
 
Kwani kuna lipi mmeweza?

Tazara imewashinda

ATC imewashinda.

Huduma za maji, umeme zimewashinda.
 
Laiti kama ningekuwa Raisi ningeandaa tukio la kuwafyeka wasaliti tu. Nawakusanya kwenye jengo flani kisha nna walipua tu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nna hakikisha wale wahuni wote wako high table. Inashushwa mashine moja mkuda hakai.
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Laiti kama ningekuwa Raisi ningeandaa tukio la kuwafyeka wasaliti tu. Nawakusanya kwenye jengo flani kisha nna walipua tu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nna hakikisha wale wahuni wote wako high table. Inashushwa mashine moja mkuda hakai.
Nimecheka kinoma we fala sana mkuu[emoji23][emoji23]
 
Viongozi wasijifanye vichwa ngumu wasikilize malalamiko ya wananchi kwanini wanalazimisha mambo ina maana wao ndio wana uchungu zaidi kuliko wananchi wenyewe kwani wakiuza hiyo bandari faida gani kubwa sana tutapata au watatoa huduma zote bure au ndio kujenga mabarabara na madaraja ua wanataka kuchimba hayo mabwawa kila mkoa au ni maslahi binafsi ndiyo vinawapa upofu na uziwi?
 
It's proven beyond doubt hatuwezi. Tumeendesha zaidi ya miaka 50 bila tija yeyote, majirani wote wamehamia Mombasa na Beira. Bandari yenye potential ya kuchangia zaidi ya 70% ya bajeti ya nchi inachangia 30% tu, mnataka uthibitisho gani zaidi?
Ngoja na mimi nikusaidie. Ninakuomba unisome vizuri sana unielewe.

Samia na serikali yake wanaamini kwamba Tanzania yote hii, yenye watu zaidi ya milioni 60, haina kabisa watu wachache tu wa kuweza kusimamia uendeshaji wa bandari kwa ufanisi, wakiwa wamepewa mazingira mazuri ya kufanya kazi hiyo, ikiwa ni pamoja na kupewa elimu sahihi, na mambo mengine yanayohusu kuendesha bandari kwa ufanisi.
Sasa ninachokuomba wewe, hebu jaribu kufikiria, huyo huyo Samia na wenzake huko serikalini, wao uwezo wa kuongoza nchi yote hii kwa ufanisi, wao uwezo huo waliutoa wapi. Ni Mungu ndiye aliyewagawia kwa upendeleo na wakati huo huo akiwanyima hawa waTanzania wengine uwezo mdogo tu wa kuendesha Bandari?

Ukiniuliza mimi nitakwambia kuwa, ni hao hao akina Samia ndio wanaosababisha pasiwepo na uongozi unaoweza kusimamia vyema shughuli za Bandari.
Kwa hiyo tatizo siyo waTanzania kukosa uwezo; bali ni hao viongozi huko serikalini ndio wasiokuwa na upeo wa kujua kuendesha nchi kwa ujumla wake, ikiwa ni pamoja na Bandari zetu.

Kwa hiyo jibu sahihi kutokana na uamini wa hawa viongozi, suluhisho ni "Kubinafsisha" uongozi wa serikali yetu; pengine hata kuleta wawekezaji toka nje watufanyie kazi hiyo.

Sijui unalichukuliaje hili wewe?
 
It's proven beyond doubt hatuwezi. Tumeendesha zaidi ya miaka 50 bila tija yeyote, majirani wote wamehamia Mombasa na Beira. Bandari yenye potential ya kuchangia zaidi ya 70% ya bajeti ya nchi inachangia 30% tu, mnataka uthibitisho gani zaidi?
Umetafakari kwanza au umejikuta ushatype
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…