Kardinali Pengo: Ni kweli Watanzania hatuwezi kuendesha bandari yetu?

Mnafiki sana huyu mzee
 
Hadi viongozi wa dini wanaupinga huu mkataba ujue ni wa kihuni zaid na haufai.Shauri zenu watawala msiposikia sauti za wengi maana sauti za wengi ni ya Mungu.
Hao viongozi wameshanusa hawatapata kitu.

Hao si ndio supporters wa wasiojulikana enzi zile?
 
Swali jepesi liwe hili je watanzania hatuna akili za luendesha bandari zetu?,(are Tanzanians lacking skill set,(logistic skills) and personal entrepreneurial competences
 
Mjinga
Sana huyo aende kwa mabwana zake huko vatican
 
Tatizo ni ubinafsi wa CCM na mfumo wake, pia tuna jamii mfu ambayo haiwezi ikahoji kwa sauti inayosikika
 
It's proven beyond doubt hatuwezi. Tumeendesha zaidi ya miaka 50 bila tija yeyote, majirani wote wamehamia Mombasa na Beira. Bandari yenye potential ya kuchangia zaidi ya 70% ya bajeti ya nchi inachangia 30% tu, mnataka uthibitisho gani zaidi?
Huko Beira kuna DP World au wanaendesha wenyewe?
 
Tatizo linaanzia juu, labda kulimaliza tuajiri rais mgeni toka nje.
Utaratibu wa siasa ni ushindani wa vyama, chances ya kubadili kama hawa waliokuwepo awafai ni kupitia sanduku la kura kila baada ya miaka mitano.

Bado kuna utaratibu wa katiba pia ili ugombee hizo nafasi; kwa kifupi mgeni aiwezekani.

Huko kwenye kuamua namna gani taasisi za kibiashara za serikali zinavyoendeshwa hao wanaokuwa wameshinda uchaguzi katika muda wao wanakuwa ni hiyo idhini ya kufanya wanayozani sahihi kuongeza ufanisi.
 
Hivi muwekazaji TICTS anatoa gawio la sh ngapi kwa serikali kwa mwaka na huduma zake zpoje?
 
Tatizo la Pengo ni kutokuaminika
Mfano Dpworld wangekuwa wanatokea Rome Italy..
Angeuliza haya maswali???
Nilishamtoa thamani kabisa huyo jamaa, tena afadhali akae kimya tu mnafiki huyo. Maana alichagua kutofautiana na wenzake wote kwa ajili tu kumbeba mwendazake, hata pale wenzake walipodharirishwa na kutiwa misukosuko na serikali ile yeye bado aliamua kuwa upande wake.
Pengo ana elements nyingi sana za udini, alimsumbua sana Kikwete lakini kamwe hakuwahi kuinua mdomo dhidi ya Magufuli, alibaki akimsifu huku akiwapiga vijembe Maaskofu wenzake wa Katoliki walipojaribu kusimama. Akaenda mbele zaidi na kuanza kumtabiria urais Makonda.
Zee la hovyo sana Hili.
 
It's proven beyond doubt hatuwezi. Tumeendesha zaidi ya miaka 50 bila tija yeyote, majirani wote wamehamia Mombasa na Beira. Bandari yenye potential ya kuchangia zaidi ya 70% ya bajeti ya nchi inachangia 30% tu, mnataka uthibitisho gani zaidi?
Labda wewe ndio huwezi....unaongea kwa niaba ya wote?...
Acheni wizi.....
 
It's proven beyond doubt hatuwezi. Tumeendesha zaidi ya miaka 50 bila tija yeyote, majirani wote wamehamia Mombasa na Beira. Bandari yenye potential ya kuchangia zaidi ya 70% ya bajeti ya nchi inachangia 30% tu, mnataka uthibitisho gani zaidi?
Hatuwe = wanasiasa hawawezi. Wako watanzania wengi wenye uwezo hivyo usiseme hatuwezi.
 
usitumie nguvu nyingi ukiambiwa Linda kura yako usidharau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…