Kariakoo inakuwaje duka Moja la simu Kuna wauzaji zaidi ya 20

Vijana wengi wanakosea na wanabadilisha maana ya biashara kuwa utapeli, hata humu unakuta mtu ana comment kuwa jamaa kaja kichwa kichwa kwani biashara inataka kufanywa na watu walio wajanja wajanja tu au wahuni? Ndio maana kuna platform za matangazo ili kuwahabarisha hata waliokuwa hawana ufahamu na bidhaa fulani waipate kulingana na matakwa yake na ubora na sio UJANJA WAKE...Ukienda madukani hadi kero..mie nimetimua vijana wa hivyo sana ninataka ueledi and good customer care..sio ujanja na utapeli.
 
Umenena vyema mkuu
 
Dar ajira ngumu
 
sku moja nlikua natafuta sweta, kufika karume naambiwa sweta elfu 10. nikaghairi sku inayofata nikaenda moshi nkakuta sweta la aina ile ile wanauza elfu 5, nlishangaa sana.
 
sku moja nlikua natafuta sweta, kufika karume naambiwa sweta elfu 10. nikaghairi sku inayofata nikaenda moshi nkakuta sweta la aina ile ile wanauza elfu 5, nlishangaa sana.
Kariakoo Kwa Sasa haiaminiki
Bora ununue mzigo Katoro
 
Wapumbavu sana, mimi nikifika dukani huwa nauliza " Muuzaji hasa ni yupi?

Wanachukia na kuongea ongea oooh we taja bei yako, nawaambia nataka kuongea na mwenye duka....
 
Mambo ya hovyo sana na kero tupu.
 
Mambo ya hovyo sana na kero tupu.
 
Mada kama hizi akijibu Rayns au Mpaji Mungu huwa nacheka sana😂
Aisee nachukia sana matapeli.

Wenye maduka yao Kariakoo muwe na utaratibu mzuri. Sio nafika dukani nakuta madalali kibao utafkiri wasanii wapo kupakwa mafuta kwa Dee.

Mimi nikikuta dukani kuna watu zaidi ya wawili sinunui kitu alafu naenda kupublish mtandaoni, duka fulani wamenitapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…