mtabekilasekta
Member
- Jun 5, 2024
- 42
- 46
Njoo pm mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena vyema mkuuVijana wengi wanakosea na wanabadilisha maana ya biashara kuwa utapeli, hata humu unakuta mtu ana comment kuwa jamaa kaja kichwa kichwa kwani biashara inataka kufanywa na watu walio wajanja wajanja tu au wahuni? Ndio maana kuna platform za matangazo ili kuwahabarisha hata waliokuwa hawana ufahamu na bidhaa fulani waipate kulingana na matakwa yake na ubora na sio UJANJA WAKE...Ukienda madukani hadi kero..mie nimetimua vijana wa hivyo sana ninataka ueledi and good customer care..sio ujanja na utapeli.
Dar ajira ngumuDar inashangaza
Tunatoka mbali kuchukua mizigo kariakoo ambapo tunaamini ndo kitovu cha biashara na bei zitakuwa nafuu
Ukifika inatakiwa bei kubwa sawa na hapa Ngara
Kumbe wenye maduka wameruhusu udalali wa kijinga hadi Kwa mteja aliyejileta dukani unamwekea watu wa kumpandilia bei, sio fair kabisa
Kariakoo acheni uhuni
Ka frem kadogo wamejaa madalali zaidi ya 20 wanazidi hadi wateja
Tunasubiri michango yaoMada kama hizi akijibu Rayns au Mpaji Mungu huwa nacheka sana😂
Kwenye hao watu niliowataja utacheka sana 😂 ila kuna mmoja ni anapinga sana matapeli sijui walimfanya niniTunasubiri michango yao
sku moja nlikua natafuta sweta, kufika karume naambiwa sweta elfu 10. nikaghairi sku inayofata nikaenda moshi nkakuta sweta la aina ile ile wanauza elfu 5, nlishangaa sana.Ahaa! Kumbe ipo hivyo. Nilishangaa bei ya electronics Kariakoo inataka kufanana na ya mikoani. Labda Kariakoo brands ni nyingi kuliko maduka ya mikoani. Pia, nilienda Karume kutafuta kiatu cha mpira cha mtumba almaarufu Six, bei ya chini walikomaa elfu 90. Nikaja mkoani nikapata kwa elfu 45 tena kikali kuliko vya Karume
Wapumbavu sana, mimi nikifika dukani huwa nauliza " Muuzaji hasa ni yupi?Dar inashangaza
Tunatoka mbali kuchukua mizigo Kariakoo ambapo tunaamini ndo kitovu cha biashara na bei zitakuwa nafuu. Ukifika inatakiwa bei kubwa sawa na hapa Ngara.
Kumbe wenye maduka wameruhusu udalali wa kijinga hadi Kwa mteja aliyejileta dukani unamwekea watu wa kumpandilia bei, sio fair kabisa.
Kariakoo acheni uhuni.
Ka frem kadogo wamejaa madalali zaidi ya 20 wanazidi hadi wateja
Mambo ya hovyo sana na kero tupu.Dar inashangaza
Tunatoka mbali kuchukua mizigo Kariakoo ambapo tunaamini ndo kitovu cha biashara na bei zitakuwa nafuu. Ukifika inatakiwa bei kubwa sawa na hapa Ngara.
Kumbe wenye maduka wameruhusu udalali wa kijinga hadi Kwa mteja aliyejileta dukani unamwekea watu wa kumpandilia bei, sio fair kabisa.
Kariakoo acheni uhuni.
Ka frem kadogo wamejaa madalali zaidi ya 20 wanazidi hadi wateja
WakalimeMaisha magumu legezeni kamba, acheni pia masimango kwa jobles. Mawinga wengi ni jobseekers
Dalali wa KariakooWinga maana yake nini
Mtu wa kati ni kiungo,Mtu wa kati
Mambo ya hovyo sana na kero tupu.Hao masalange wamejaa kila kona. Uhaba wa kazi umesababisha yote haya.
Kuna wale wanaokaa vituo vya mabasi. Yani abiria unaamka asubuhi una ratiba ya kwenda sehem flani na ofisi za kukatia ticket unafaham zilipo lakini ghafla ukifika stand unakutana na jopo la vijana wa hovyo wanakuvuta vuta na kukuuliza maswala wakitaka kujua unapoenda ili wajifanye wamekupeleka wao ofisi za basi husika wapate ganji. Miyeyusho kinoma.
Warudi mikoani wakalimeDar ajira ngumu
Aisee nachukia sana matapeli.Mada kama hizi akijibu Rayns au Mpaji Mungu huwa nacheka sana😂
Bora kabisa, kuliko kufanya utapeli.Warudi mikoani wakalime
Mashamba yao au ya kwenu?Wakalime