Karibu ujipatie Bidhaa za kielectronic simu, PC, Tablet, Fridge, Sabufa na Tv kwa uaminifu mkubwa

Napatikana Kariakoo boss Wangu mtaa wa Aggrey 0682400906 Nauza kwa bei nafuu sana naagiza mwenyew kutoka nje boss karibu sana
Sema hizo top up mnabadikisha spare ndo unauzia watu hapo Kariakoo. Nyie mnaonunua simu mbovu hamuaminiki.
Nimeshajiwekea msimamo sitanunua tena simu kwa watu kama nyie.
 
Sema hizo top up mnabadikisha spare ndo unauzia watu hapo Kariakoo. Nyie mnaonunua simu mbovu hamuaminiki.
Nimeshajiwekea msimamo sitanunua tena simu kwa watu kama nyie.
Boss sisi hatuhusiki na biashara ya simu mbovu ndo maan tunatoa warranty kwa wateja wetu karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…