Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Matumizi ya simu imekuwa na camera sio system yenyewe[emoji23]
Iphone 13 ina uwezo mdogo haina utofauti na Iphone 11 pro max
Ipi ni simu yenye camera kali kuliko zote apo itakoyotolewa Comment nyingi natoa discount ya 20% kwa mteja ataeihitaji
Cal 0682400906 kwa simu zote na tablet
NB; TOP UP na EXCHANGE Inakubalika
ila ukiniambia kati ya pixel, samsung na iPhone ntakuambia pixel ni chaguo bora kama lengo lako ni kupata picha kali, iPhone kama unataka video zenye quality nzuri, samsung kama unataka vyotePixel,, iPhone na samsung zote ni simu nzuri ila kila moja ina ubabe wake na udhaifu wake kwenye sekta nzima ya picha na inategema haswa unapendelea picha za aina gan
Pixel
pixel ni simu kali sana na zimekua mbabe kwenye upande wa picha za usiku, potrait mode, audio quality kwenye video, pamoja na video stablization. ila udhaifu wa pixel ni kwenye ultra wide camera, heating ukirekodi 4K, pamoja macro lens yao ni ndogo
iPhone
iPhone ni simu nzuri kweny upande wa picha za potrait na ultra wide ila zina changamoto kwenye zoom, picha za usiku, audio quality pamoja na video stablization haijafikia kwenye kiwango cha pixel
SAMSUNG
ni simu nzuri pia iliyojitahd kufanyia kazi kapungufu ya makampuni mengine ya simu kwenye swala zima la storage, zooming,,audio quality, night shots, stablization, potrait and battery unaporekodi videos
N.B huo ni mchujo tu wa baadhi ya sifa ambazo zinapatikana kuanzia, pixel 4xl, galaxy note 10, s10 na iPhone xr na kupanda juu but kila toleo lina madhaifu yake na ubabe wake, jivunie ulichonacho
Ni kweli kabisaila ukiniambia kati ya pixel, samsung na iPhone ntakuambia pixel ni chaguo bora kama lengo lako ni kupata picha kali, iPhone kama unataka video zenye quality nzuri, samsung kama unataka vyote
Boss upewe maua yako ππ»ππ»ππ» Umetisha snaaHuwa nazingatia yafuatayo;
1. Bajeti, sio nna laki mbili nitake simu ya laki tano....
2. Reviews, simu hata sifa zake zivutie vipi lazima nisome machapisho ya waliozitumia
3. Brand yake, mtengenezaji ni mhimu sana, kuna watengezaji hawaaminiki leo anatoa kitu kizuri kesho anachemsha, hao waepuke
4. Maisha ya hicho kifaa, kuna vifaa vizuri ila havina maisha marefu na kuna vifaa og unatumia mda kidogo hivyo inategemeana na lengo
5. Hadhi, kuna vifaa vyenye hadhi hata ukitaka kuuza husumbuki mfano samsung
6. Spare, kuna vifaa havina spare hapa nchini mpaka uagize nje na mafundi hawaviwezei vizuri
7. Uzoefu, kama nina uzoefu na kumpuni yenye huduma nzuri ntanunua hiyo sio kwenda na kila kampuni mpya inayozuka
Reuben Challe
Comment yako imemaliza kila kitu mkuu [emoji120][emoji120][emoji120]Huwa nazingatia yafuatayo;
1. Bajeti, sio nna laki mbili nitake simu ya laki tano....
2. Reviews, simu hata sifa zake zivutie vipi lazima nisome machapisho ya waliozitumia
3. Brand yake, mtengenezaji ni mhimu sana, kuna watengezaji hawaaminiki leo anatoa kitu kizuri kesho anachemsha, hao waepuke
4. Maisha ya hicho kifaa, kuna vifaa vizuri ila havina maisha marefu na kuna vifaa og unatumia mda kidogo hivyo inategemeana na lengo
5. Hadhi, kuna vifaa vyenye hadhi hata ukitaka kuuza husumbuki mfano samsung
6. Spare, kuna vifaa havina spare hapa nchini mpaka uagize nje na mafundi hawaviwezei vizuri
7. Uzoefu, kama nina uzoefu na kumpuni yenye huduma nzuri ntanunua hiyo sio kwenda na kila kampuni mpya inayozuka
Reuben Challe
Picha bila maelezo ni sawa na kuuza wali bila mboga. Ina maana gani kujiita wewe unafanya biashara, umenikera sana, nahitaji kufanyiwa counseling.
Ninazo GB 256 na 512 tu boss karibu san bei nzuriIPhone 12 pro max 64gb