Karibuni kwenye Kazi ya ualimu, lakini usiwe na matarajio makubwa

Nina rafiki yangu ni mwalimu akitoka saa kumi na moja asubuhi anarudi saa tano usiku, kuna ma' early morning classes and ma'evening classes.

Sasa mtu kama huyu atapata muda wa kufanya maendeleo kweli?

2024 ilikuwa ni mwaka wangu wa mwisho wa kutumikishwa na mtu. Let me be clear: I'm not a paid slave.
 
Akili finyu sana. Sina uhakika kama mtu amekaa mtaani miaka mitano then akose mil. 10 halafu huyu mtu akiajiliwa ashindwe kuanzisha biashara.

Watu hawafanani, yaani mtu akikwambia akiajiliwa atafanya biashara haimaanishi kwamba atategemea pesa ya mkopo tu kufanya hyo biashara.
 
Ni kosa kisheria km wanafanya ni Kwa Siri au ujenge duka karibu na maeneo ya shule
Unajua nilipo Niko jirani na shule tatu mbili za msingi na moja nyumba ni ya secondary.
So ninachoongea nakielewa vizuri sana hapa naona walimu Wana biashara zao na kama hafanyi direct basi ana kijana anaemuingizia vitu. Binafsi sio mwalimu lakini hawa wanafunzi ukiwatumia ni hela tosha nasema kitu ninachokielewa
 
Nawewe akili Yako ni finyu kwa sababu uko nje ya mfumo, unaingia kazini saa 1:30asb unatoka saa 11 hiyo biashara unaifanya kwa simu? Au whatsap? Walimu wengi wanefeli kwa kuanzisha biashara zisizokua na usimamizi.
 
Muelewe aliposema kwamba ni kinyume na sheria, labda na yeye ni mwalimu, wao kufanya na wewe ukajua haihalalishi wanachofanya ni legal
 
Muelewe aliposema kwamba ni kinyume na sheria, labda na yeye ni mwalimu, wao kufanya na wewe ukajua haihalalishi wanachofanya ni legal
Nimemuelewa lakini wapo wanaofanya na ninawafahamu..... Uwe na jioni njema!.
 
Kama hivo ni sawa anampa kijana ndo maana nikatolea mfano akiwa hta na duka jirani na shule pia sawa anakuwa km wafanyabiashara wengine tu
Maybe hatukuelewana hata hiyo inataaratibu zake Kuna vitu hurusiw Japo sio halmashauri zote wengine wanafanya tu ila kwingine ni haitakiwi
 
Sawa kipenzi jioni njema.
 
Nawewe akili Yako ni finyu kwa sababu uko nje ya mfumo, unaingia kazini saa 1:30asb unatoka saa 11 hiyo biashara unaifanya kwa simu? Au whatsap? Walimu wengi wanefeli kwa kuanzisha biashara zisizokua na usimamizi.
Saa 11 unamfundisha nani? Mimi najua muda wa kazi mwisho saa 8 na nusu au wameongeza?
 
Nawewe akili Yako ni finyu kwa sababu uko nje ya mfumo, unaingia kazini saa 1:30asb unatoka saa 11 hiyo biashara unaifanya kwa simu? Au whatsap? Walimu wengi wanefeli kwa kuanzisha biashara zisizokua na usimamizi.
Shida ni kwamba mwalimu unataka ukague wanafunzi ambayo hawajabeba mifagio, ambaye hajachana nywele na makosa mengine mengi. Sasa ukiwa hivyo ni kweli utashindwa ku-manage muda wako
 
πŸ™†πŸ»β€β™€οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…