Karipio la Rais Samia: Unaiba hela ya Umma ikusaidie nini? Utazikwa nayo? Utajibu nini Mbele ya Mungu?

Rais anapiga porojo, nawewe unaleta porojo.

Rais Ni mamlaka, tulitarajia atangaze kuchukua hatua za uwajibikaji na uwajibishaji.

Haya madudu yameanza leo? Tuache porojo.
 
Hii mentality walikuja nayo Wachina, na mpaka leo hela na mali za serikali zinaogopwa vibaya sana kule.


Hapa ukitaka kukamata wezi kwasasa ni kuangalia mishahara yao pamoja na vyanzo vyao vingine vya mapato ambavyo vinaweza kuthibitika kisha vilinganishwe na utajiri walio nao, kama haviendani firisi wote na wafikishwe vizimbani.


Hii nchi watu wezi wanatakiwa waishi kama mashetani, walimie meno haswa, ila ndohivyo tuna rais mrembuaji tu.
 
😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Hawazikwi nazo lakn watawaachia vizazi vyao urithi wa kutosha.
 
Ni kweli, ila kabla ya kumsema MUNGU mtukufu mno, tutumie sheria zetu tulizotunga bungeni.
Ikumbukwe kabla ya kikao cha bunge letu kuanza huwa tunasali.
 
zinawasaidia kula mbususu kwani mwisho wa siku lengo ni kula pisi kali. 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Lile jamaa leo usiku kuna watu wangelala jela na zile Landcruiser LX zingekuwa busy kupeleka watu chimbo zisizojulikana..

Misiba ya vifo vya sukari na pressure hii week ingekuwa mingi sana.
 
EEEeeeenHeeeee!

Huu "uchungu", hatimaye utakuwa 'Utungu'.

"...mbele za Mungu", sote tusemeee "Tumwachie Mungu"!

WaChina hawajui habari za mungu wala nini, ndiyo maana mijizi ya huko haisubiri "Kumwachia Mungu".

Hizi ni kasumba ambazo mijizi yetu hapa inaielewa vizuri sana, na hasa kutoka kwa kiongozi kama huyu.

Tuendelee tu kumwomba mungu hapo tutakapofika "mbele zake."
 
Kwamba Mhe. Rais amemuachia Mungu swala hili ama????.

Wajameni nielewesheni maana sijaelewa kabisa.
 
Tunahitaji mapinduzi ya kweli, vinginevyo hatufiki popote.

Viongozi wa aina hii, tunapoteza tu wakati.
 
Jpm jpm,alijaribu,ilikuwa ni hatari kuzishika sharibu za jpm kwa kuiba hela za umma,lkn leo ndio anaitwa dikteta,
 
Anamuachia Mungu[emoji16]
 
Halafu saiv wanalalamika kuibiwa😂😂😂si walijiita wacha Mungu hawatatumia lugha kali wala nguvu kubwa

Jk alikua anacheka cheka wakamuita dhaifu


Magu alikuwa ananyoka nao wakamwita dikteta

Amekuja mpole wanasema kwanini anacheka
Watz hawaeleweki wanataka nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…