Karipio la Rais Samia: Unaiba hela ya Umma ikusaidie nini? Utazikwa nayo? Utajibu nini Mbele ya Mungu?

Mama pitisha sheria ya kuwanyonga watu kama hawa haraka iwezekanavyo na mimi naomba kazi ya kuwa mnyongaji mkuu mshahara najitolea ni bure
 
Ni dhaifu
 
Atapigwa sana huyu bibi...
 
Tanzania, hii sio nchi ya kuongoza kwa kauli laini laini kama hizi za watupishe. Hii ni nchi ya kuongoza kwa matendo makali sana ila kwa mujibu wa sheria.

Tuna sheria nzuri sana lakini hazitekelezwi, sheria zetu sio msumeno tena ni panga.

Natamani Tanzania ambayo mali ya umma itaogopwa na kila mtu.

Sioni nia thabiti ya kupambana na wezi wa mali ya umma kwa viongozi waliopo sasa, inasikitisha sana!
 
Acha wapige hela ije mitaani... aendelee kufungua pochi lake
 
Halafu saiv wanalalamika kuibiwa[emoji23][emoji23][emoji23]si walijiita wacha Mungu hawatatumia lugha kali wala nguvu kubwa
Watanzania hawaeleweki
Yaani kuwaelewa watanzania ni kazi sana [emoji1787][emoji1787]

Alipokuwa akisema watazitapika,Walisema Magufuli anatumia lugha chafu..
Mama wa watu amesema wezi wamwogope Mungu watz bado wanalalama[emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Mimi nipo na [emoji897] zangu naenjoy
 
Kusema tu kwamba wale wanaoiba fedha za umma eti Mungu anawaona haitoshi
Zichukuliwe hatua Kali dhidi ya hao watu bila kuwaonea huruma .
Kinyume cha hapo itaonekana kana kwamba umebariki wizi huo.
 
Hakimu wa haki ni Mungu
Tusimame na mama [emoji16]
 
Harafu anasema , na hili la wizi wa fedha za umma nendeni mkalitizame, ! Kweli?
 
Kabisa mkuu

Kuwa rais Tanzania, unatakiwa uvae ngozi ya chuma na miwani ya mbao...

Sio kutamka neno STUPID ndio waache kuiba
 
yaaani mbongo unamwambia maneno kama haya iseee hapo ni sawa na kuwapa ruhusa waendelee kuiba mbongo unatakiwa ule nae sambamba la sivyo unapigwa bonge la tukio linge na lingine na lingine tena.
 
Wakati mwingine nafikiri huyu mnayemuita raisi wenu ni myth, labda hata hayupo, siyo real, ha exist, labda mnachokiona ni fake, …
Inasikitisha Sana ndugu,kulindana lindana huku ndio kunatuponza watanzania.Rais anaanza kuleta habari za Mungu kwa majitu yaliyovuka level za ubinadamu na yamekuwa mashetani yasiyokuwa na huruma!!!
 
JPM
ALITHUBUTU, ALIWEZA,NA KUCHUKUA HATUA KWA WEZI NA MAJAMBAZI YA HIVI. AJABU ALIITWA DIKTETA!!! SASA FURAHIENI DEMOKRASIA YA MAMA YENU.
AMIRI JESHI NAYE ANALALAMIKA!!!
#UPIGAJI NA UENDELEE
Alianzisha mahakama ya mafisadi mpaka anaondoka hakuna fisadi aliesimamishwa kizimbani zaidi ya preabagen na zikaenda china.[emoji23][emoji23]
 
Alianzisha mahakama ya mafisadi mpaka anaondoka hakuna fisadi aliesimamishwa kizimbani zaidi ya preabagen na zikaenda china.[emoji23][emoji23]
WANASEMA BORA KUFANYA MAAMUZI YAKAWA MABAYA
KULIKO KUTO FANYA MAAMUZI YOYOTE.

SIO RAHISI KUENDESHA SERIKALI KWA MATAMKO, MALALAMIKO NA MAKALIPIO.
WAWEKEZAJI WANAPO WEKEZA HAPA NCHINI WANAWEKA WATU WAO KAMA WASIMAMIZI KWA SBB SISI NI WEZI. SASA NDIO PESA YA SERIKALI

SUBIRI RIPOTI YA CAG 2024, MAMBO NI YALE YALE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…