Karma Haipo, Karma ni dhana ya kimaskini kuwafariji maskini


😁😁😁 wewe jamaa unaonekana mbishi Sana japokuwa unakuaga na hoja za msingi Ila hii umechemka 100%

Kitendo cha kuhusisha hoja hii ya karma na umasikini umezingua.

Kitu Ambacho weakest people huwa wanakosea ni kutafsiri neno karma hasa wanapojua karma inatoa majibu katika mambo mabaya na kusahau pia kuwa karma inatoa majibu hata katika mambo chanya.
 
Mimi ninachosema hapa ni kwamba,

Hakuna kitu chochote kile kinachotoa majibu ya mambo yetu hapa duniani.

Majibu ya mambo yetu ni sisi wenyewe.

Hata hiyo karma ni dhana ya kutungwa tu na sisi wenyewe.

Ila in reality hai apply na haipo.
 
Mimi ninachosema hapa ni kwamba,

Hakuna kitu chochote kile kinachotoa majibu ya mambo yetu hapa duniani.

Majibu ya mambo yetu ni sisi wenyewe.

Hata hiyo karma ni dhana ya kutungwa tu na sisi wenyewe.

Ila in reality hai apply na haipo.

Je mkuu kila kitu kina chanzo na chanzo cha binadamu ni nini mkuu?
 
Je mkuu kila kitu kina chanzo na chanzo cha binadamu ni nini mkuu?
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo, Hata chanzo cha kila kitu lazima kiwe na chanzo chake kingine.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe tu, pasipo chanzo, Maana kitazua maswali ya kiliwezaje ku exist chenyewe pasipo chanzo.

Ili ulazima huu U apply kwa kila kitu.

Na kwa hivyo, Kutakuwa na vyanzo vingi visivyokuwa na mwisho (Endless) to Infinity...

Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina chanzo, Hata Ulimwengu na vyote vilivyomo except man-made things, Havina na havihitaji kuwa na chanzo.

Hivyo Ulimwengu, binadamu na viumbe hai wote except man-made things, Havina chanzo.
 
Unaamisha binadamu hana chanzo

God never exist Ila ni Picha iliyojengeka katika akili za watu

Karma the same never exist

Binafsi wewe unaamini katika one realm

Mimi nimekupata Ila tumepishana kimantiki Ila tumeendana kimaana
 
Kidogo nimekuelewa labda aje tena DR Mambo Jambo naona wapendwa katika bwana wapigwa za uso..
Wapendwa katika Bwana wapigwa za uso kivipi ?

Karma(tendo ) ina apply kwa wote , watenda mazuri(mema) na watenda mabaya.

Mimi naona wapendwa katika Bwana wako kwenye upande salama maana dini inawafundisha kutenda mema na kuwakataza wasiue, wasiibe n.k
 
Wapendwa katika Bwana wapigwa za uso kivipi ?

Karma(tendo ) ina apply wote , watenda mazuri na watenda mabaya.

Mimi naona wapendwa katika Bwana wako kwenye upande salama maana dini inawafundisha kutenda mema na kuwakataza wasiue, wasiibe n.k
Dini inakataza wasiue wakati dini ina ua πŸ€”
 
You don't need religion to have Morals. If you can't determine right from wrong then you lack common sense not religion.

Huhitaji dini ikufunze kutenda matendo mema, huihitaji dini ikufunze kwamba kuua au kuiba ni kosa. Haya mambo kwa mtu mwenye ufahamu na akili timamu anapaswa kuyajua automatically.

Wala huitaji dini ikwambie hivyo.
 
Mkuu umeniquote vibaya: kwanza ni sahihi kwamba, Tabia njema haihusiani na mafanikio , mafanikio ni mchakato, ukiuweza huo mchakato ukapenya unatusua, huo mchakato ukikushinda, unafeli - karma.


Kwanza hii ndiyo raha ya kujadili na watu wenye uwezo wa kupambanua.


Mfano ulioutoa wa kuchukiwa na watu ilihali una tabia njema ni sahihi sababu binadamu tumetofautiana Kifikra na Mitizamo.


Ila hilo haliondoi maana ya karma sababu mtu mwenye tabia njema atapendwa na watu wengi zaidi kuliko mtu wa tabia za hovyo - Logic.


Mtu akitumia nguvu kubwa ili apate kitu fulani "kazi, Pesa, GradesAtSchool, Girlfriend au Boyfriend" na bado akakosa basi lazima kuna sehemu alikosea tu ambapo huko kukosea ndiyo kumempa matokeo - karma.


Ila akishaijua sehemu aliyokosea, au anafeli wapi next time lazima atakuja na mkakati madhubuti kwa lile suala, Atapenya.


Mifano uliyotoa hapo juu ni "Hasty Generalization" - Kutoa hitimisho la watu wengi based on wachache, Hiyo ni kawaida katika mijadala - lengo letu hua ni kutaka kujua. πŸ‘πŸΎ


Mfano mimi niliwahi kudate nademu fulani wa kabila X, Ila nikikumbuka mambo aloyonifanyia hua kuna time nakua Emotional, nahukumu kabila lao zima πŸ˜†, Japo sio kweli.


Logic - Mara nyingi sana watu wanapata matokeo kulingana na Maarifa waliyoyapata, Nguvu kubwa waliyoweka kwenye jambo fulani na Bidii.


Ukiona nguvu unayotoa kubwa kuliko unachopokea, rudi nyuma kidogo, chunguza kwa makini lazima kuna sehemu isiyosahihi uliweka Energy hivyo umepata hayo matokeo negative - Karma.


Kwa mfano huyo jamaa unaweza kukuta alisoma kitu tofauti na alichokutana nacho πŸ˜†πŸ˜†, au kuna namna alikosea au tuseme bahati mbaya [Japo siamini katika bahati] Ila sio kweli kwamba wote waliokua na akili darasani kwenu walifeli.


Karma ni matokeo ya Tabia zako, Maarifa uliyonayo, juhudi na nguvu zako binafsi na si supernatural power.


Utavuna ulichopanda.


Mimi naitafsiri Karma kama msamiati tu, ni neno sawa na "Matokeo ya maisha yako yamechangiwa na...."


Tatizo Neno Karma linachukuliwa kama neno la ki-spirit, Labda "chatGPT" itusaidie:
 
Mbona mababu zetu waliteswa sana kipindi cha ukoloni na walimwachia huyo Mungu lakini hajafanya chochote?

Huyo Mungu ni Mungu gani?
By experience mtu akikwambia anamwachia MUNGU Kwa Sisi waswahili ni unafki Tu WA kumshirikisha Mungu...Huyo mtu hajakusamehe na kitu anachofanya ni kutumia ushirikina kukudhuru...Na Kwa asilimia kubwa atakulipa kisasi Tu..Watu wanaosema namwachia Mungu wengi ni wanafki WA kuogopa Sana.

N.B Sikumbuki kwenye history popote babu zetu wakisema wanamwachia MUNGU..Hii ni kauli iliofeli na dhaifu.
 
P popote ulipo pitia huu uzi na utuambie je ni kweli umekuwa ukitufariji tu,ama umekuwa ukitudanganya kwa manufaa ya kundi gani au nani?Kuhusu karma.
 
Babu zetu waliteswa kwa sababu ya ushenzi waliokuwa nao wa kutoa watoto kafara kwa miungu yao.

Mungu ni wa haki,na karma ipo,usione mtu ana kila kitu ukadhani ana furaha.
Furaha ni zawadi ya bure kutoka kwa Mungu hasa akikupa moyo wa utoshelevu
 
karma is really broh naquote"Tutaonana siku moja kwenye mitikasi ya dunia Mama usijali kadunia huwa kana ushenzi sana huwez nielewa sasa hivi"
 
Hao wakunungwa uliowataja wako β…’.

Hiyo ni "Hasty Generalization", Tukisimama upande wa unachozungumza, ukweli ni kwamba ni
Watu wachache ambao wanapata matokeo kupitia kamseleleko.

Wanaopata matokeo kupitia Juhudi zao binafsi, Ujasiri binafsi, Maarifa na Nidhamu binafsi ni wengi kuliko wale wa kamselelee kamselelekooo 😎.
 
Bro unapiga kwenye mshonoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nywele ngumu ngozi nyeuzi/ HALF HUMANS HALF ANIMALS Watapinga sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sijui ilikuwaje mpaka inapelekea maskini kuwa na imani kali kiasi hichoπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Gonga nyundo hizi pimbilisi bado zinapumua🀣🀣🀣
 
Pimbilisi au simbilisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…