Karma Haipo, Karma ni dhana ya kimaskini kuwafariji maskini

Yeah sure.
 
Babu zetu waliteswa kwa sababu ya ushenzi waliokuwa nao wa kutoa watoto kafara kwa miungu yao.

Mungu ni wa haki,na karma ipo,usione mtu ana kila kitu ukadhani ana furaha.
Furaha ni zawadi ya bure kutoka kwa Mungu hasa akikupa moyo wa utoshelevu
Mungu gani wa haki aliruhusu utumwa na ukoloni utendeke Afrika?
 
Maombi ni illusion tu.

Hayana impact yeyote kwa watu. Zaidi ya kujifariji na kujipa matumaini uchwara tu.
Maombi ni therapy muhimu sana spiritually,ni jambo linaloleta nafuu mioyoni mwa wanamaombi.Issue sio maombi,issue je ni maombi ya namna gani.Ukijiponya kwa maombi ya upate nguvu,maono,na kuwa na matumaini ya kutenda kazi kwa bidii na maarifa utafanikiwa, tofauti na maombi ya kuomba ufanikiwe upate utajiri huku ukiwa huna bidiii na huna maarifa ya aina yoyote yale wewe ni kazi maombi, maombi na wewe hapo ni illusions.Maombi kwa namna ingine ni science ya affirmations.Iwe kanisani au msikitini au chini ya miti ukiomba mizimu lakini uyafanye kwa sayansi ya affirmation tu utapata matokeo kwa sababu maombi ni kujiponya ndio maana watu wanaofikiri sana kwa kina wanakuambia hakuna Mungu,na wanarudi wanakuambia Mungu ni wewe mwenyewe au kwa maneno mengine Mungu yupo ndani yako,ni nguvu zako kutokea ndani.From within,not from without you can do wonders and magic.Mungu is something figurative and allegorative, it's not something physical figure,no it's kind of energy flowing so you have to align yourself with it,to catch it's flowing and momentum. Catch it's frequecies and vibrations through positive affirmations.It doesn't matter unafanya mabaya au mazuri, mema au mabaya.At the end of the day, massive affirmations zitakupa changes kwa maana unayebadilika ni wewe through affirmations ambayo ndio maombi sasa.
 
Neno chanzo maana yake ni nini?
 
Naona Atheists kule mmeshinda sasa mmeamua kuamsha varangati jingine huku

Kwani kiongozi Kiranga anasemaje nae kuhusiana na hili suala la Karma?

Tuna tabia ya kuo gelea na k7jadiki mambo bila hata ya kuya define kwanza.

Turudi kwenye definition.

Kwani karma ni nini?

Labda tuanzie hapo.

Maana nishawahi kumsikia mtu akiisema Newton's Third Law of Motion " "For every action, there is an equal and opposite reaction" kuwa nayo inaelezea karma.

Sasa,

Karma ni nini?
 
Kama unahitaji bidii pamoja na kazi, Maombi hayana haja wala tija tena.

If prayers without work is nothing, then prayer itself is nothing.
Mungu na Maombi vyote ni illusions.

Ni dhana za kufikirika tu katika vichwa vya wanadamu.
 
Ndo hiyo hiyo,

Kwamba mtu akimtendea mwenzake mabaya na yeye pia yatamrudia tena mara dufu zaidi
 
Karma mtu akiwa muuaji,karma yake ni kuwa na maisha mafupi.
Mtu mwizi karma yake ni kuwa maskini.
Mtu mzinzi karma yake kuchukiwa na watu
 
Kidogo nimekuelewa labda aje tena DR Mambo Jambo naona wapendwa katika bwana wapigwa za uso..
Nakubaliana Na Yeye Mkuu..
Au Umesahau Waarabu wanasema "Kama Tudin tudan"
"Kama Ulivyofanya Utafanyiwa Hivyo na Wewe"

Au Wazungu wanatufundisha Kuwa "What goes Around comes Back around"

Karma na Dharma bado ni Maneno ambayo bado watu wanashindwa Sana Kuyaelewa Vizuri Karma Zipo za Kila Aina kuna karma za Taifa kama taifa Mpaka kwa Individual..

Nimeona Mtoa Mada kazungumza Kuhusu Afrika Kuteswa na Kutawaliwa na Wazungu lakini Karma Bado haiwaadhibu wazungu..

Swali la Kujiuliza Ni kuwa... Huenda Waafrika walianza Kuwaadhibu wazungu Kabla Ya Wazungu miaka Mingi mbele nao kuna Kuwaonea Na Ndio maana karma ikawanyoosha..

Nani atakayepinga kwamba Misri ilitawala Dunia?
Nani anayepinga kwamba Elimu Ilianza Kutolewa afrika?
sasa kuna uwezekano kuwa Walioanza Kuwatawala wazungu walikuwa Waafrika baadae wakaja wazungu
 
Ukimcheka maskini karma will follow u utakuwa maskini,ila ukimcheka tajiri karma haikufuati!hapo ndio karma inaponitatizaga
 
Nakubaliana na wewe mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…