Kassim Majaliwa, elewa Dubai siyo nchi, bali ni Mji

Mkuu, Zanzibar ni nchi. Rejea kwenye Katiba ya Zanzibar.

source: zanzibar constitution.

YESU NI MASIHI
Issa Shivji ambaye watu wanamponda humu alishaelezea kuhusu Zanzibar kuwa nchi ama si nchi miaka kadhaa iliyopita. Alieza kisheria kuwa Zanzibar ni nchi (country) pia ni taifa ( nation) lakini siyo dola (state).
Dhana ya nchi kwa kiswahili inabeba vitu vingi na watu wengi wakisema nchi kwa kiswahili huchanganya hayo maneno matatu yote kwa pamoja.
 
Mkuu IGA yenye kurasa 38 na udadavuzi wake kutoka Tanganyika Law Society wenye kurasa 14 umesoma?

Sent from my SM-S908U1 using JamiiForums mobile app
Nimeisoma point za msingi za kimkataba walikuwa honest kwenye kuelimisha umma.

Baadae wakaongeza njonjo za kisiasa ilimradi wakosoe tu.

Mfano kushangazwa na U.K. laws kutumika in dispute resolution. Wakati hapo kinachozungumziwa ni precedents za contract law za kimataifa ambazo msingi wake ni U.K. cases na mahakama nyingi inatumia hizo case laws kama definition ya contract terms.

It has nothing to do with UK legislative laws, rather court cases on definitions of a contract based on five rules of a contract.
 
Mkuu IGA yenye kurasa 38 na udadavuzi wake kutoka Tanganyika Law Society wenye kurasa 14 umesoma?

Sent from my SM-S908U1 using JamiiForums mobile app
IGA nilisoma kwa kuruka ruka kulingana na vipengele tatanishi vilivyobainishwa. Taarifa ya TLS nimeisoma yote.
Hapo nimesema nimeishia aya ya nne mstari wa kwanza kwasababu nimeona utata wa maelezo. Labda tuisome tena hiyo aya kwa pamoja.
 
Haya maneno yana utata.

Jimbo ni nini na state ni nini?

Mbona NY ni state, halafu pia ni jimbo?

Unaandika kama vile kitu hakiwezi kuwa state na jimbo at the same time.

Wewe ulikuwa unabisha kama vile Dubai inaweza kusaini mikataba ya kimataifa bila idhini ya UAE, nimekuonesha kwamba katiba ya UAE hairuhusu hilo. Mikataba ya Dubai na nchi za kigeni ni lazima iidhinishwe na UAE.

Umekubali kwamba ubishi wako haukuwa na habari sahihi?
 
Kiranga, hapo amesema kuna nchi mbili ya Tanzania na Zanzibar. Hapa anachambua mkataba naona kama kuna makosa. Ama dhana ya nchi haijaeleweka kwangu ama kwake.
 
Wameshangazwa mkataba unavyo mix UK laws na TZ laws/environment.

How are you going to apply UK laws kwenye mambo ya ardhi Tanzania wakati Tanzania watu hawamiliki ardhi wanapewa tu kwa miaka 33, 66 na 99 na serikali inamiliki ardhi?
 
Kiranga, hapo amesema kuna nchi mbili ya Tanzania na Zanzibar. Hapa anachambua mkataba naona kama kuna makosa. Ama dhana ya nchi haijaeleweka kwangu ama kwake.
By nchi unamaanisha nini?

Land, country, state, nation?
 
Ni sawa na kusema Kiranga ni jina la mtoto and his surname is Kiranga.

Jina lako ni Kiranga Kiranga.

NY is a state and it’s capital city is NY.

But then Ohio is a state and it’s capital city is Columbus.

Dubai is a state and its capital city is called Dubai, otherwise Dubai as a state ina miji mingine; so is NY.
 
Wewe punguani, hata Vatican ni nchi ndani ya nchi.

Usilolijuwa ni usiku wa kiza.

Hivi tunaokufundisha wote kuwa Dubai ni nchi unatuona wajinga?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Aliyekwambia Vatican ni nchi ni nani au vigezo vya nchi kuwa nchi hauvijui? Ulishawahi kusikia balozi wa vatican katika umoja wa mataifa?
 
Aliyekwambia Vatican ni nchi ni nani au vigezo vya nchi kuwa nchi hauvijui? Ulishawahi kusikia balozi wa vatican katika umoja wa mataifa?
Kwani nchi lazima iwe na balozi Umoja wa Mataifa?

Tanzania ikijitoa Umoja wa Mataifa itaacha kuwa nchi?
 
Ulivyosema nchi mbili Tanzania na Zanzibar ndio nomegundua uwezo wako mdogo wa kufikiri......
 
Kwanza kabisa, first correction, capital city ya NY state ni Albany, NY. Si NY.
 
Kuelezea hili, nimetoa maelezo ya Issa Shivji katika post number 86.
Zanzibar is not a country. It ceased to be a country in 1964. A country needs sovereignty to interact with other countries, Zanzibar does not have this. No country recognizes Zanzibar as a country.

It is a semi-autonomous state within the state and country of Tanzania.
 
Wameshangazwa mkataba unavyo mix UK laws na TZ laws/environment.

How are you going to apply UK laws kwenye mambo ya ardhi Tanzania wakati Tanzania watu hawamiliki ardhi wanapewa tu kwa miaka 33, 66 na 99 na serikali inamiliki ardhi?
Hapana mkataba upo wazi expressed terms za mkataba kuhusu umiliki wa ardhi zitakuwa sheria za Tanzania and all governing laws.

Sheria za U.K. zitatumika kwenye kutafsiri mkataba how?

Mkataba wa kibiashara una mambo matano:

1. Offer
2. Acceptance
3. Consideration
4. Terms
5. Intention to create a legal contract and legal capacity.

Mkataba wa kibiashara lazima uwe na ivyo vigezo; na U.K. case laws imetoa definitions za kila aspect hapo.

Ndio maana nchi nyingi duniani kwenye kuelewa mikataba wanatumia hizo precedent mahakamani. Sasa kuna kesi luluki mahakama wanazitumia kwenye kuamua kesi; that’s what they meant.
 
Muhimu hapo ni kukubali NY is state and has its own capital city.
Kubali umekosea basi. Mbona unakuwa mgumu kukubali umekosea?

Ukikubali kwamba ulikosea na nimekufundisha kitu ulichokuwa hujui utapungukiwa nini?

Also, what has this got to do with the price of tea in China?
 
Dah haya capital city ya NY is whatever you said it is. But NY is still a state.

Usiku mwema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…