Kassim Majaliwa: Tuache tabia ya kuwatengenezea viongozi migogoro, unaweza kupambana sana ukitaka ukae ukakuta anakaa mwingine

Ila tukubali au tukatae haya Maneno ya majaliwa ni kweli kabisaa!!!! Sikuzote MUNGU anampa amtakaye hata ufanye vipi juhudi haishindani na KUDRA
Kaa nyumbani usijishughulishe na siasa utakuja kuitwa siku moja kwamba umechaguliwa uwe Rais wetu ??!! Hii misemo inaleta contradiction sana !!
 
Wapi kataja job ndugai we kilaza , anawaasa wauaji
We niushuzi kweli huna akili za kujiongeza mpaka litajwe jina!! Elimu yetu inadumaza bongo za vijana ndomana mmezoea kutafuniwa ninyi ni kumeza tuu mmefundishwa kujibu mitihani siyo kuelewa alafu unakurupuka huko unaita MTU kilaza.. Damnittt!!!
 
mtu weak kama mama anatakiwa mtu strong kama Mbowe

mama afanye Handshake na opposition aone support na kuwazima mdomo sukuma gang ndani ya ccm

kama Uhuru na Raila vile...sasa hivi Ruto analia
Kwahiyo kumbe lengo ni kuingia tu ikulu bila kujali mtu ni weak au strong..
Mtakapomsimamisha huyo mama basi CCM wanashinda kwa asilimia zote.
 

Kutoka monduli hadi Ilulu, Bashiru, Lusinde, Majaliwa wakutana kupanga mipango mizito ya Mwaka 2022
 
Yeye ndio Rais hatakuwepo tena 😆😆 ,Makamba huyu huyu ? Tunakwenda na mama yaani mnasema hivyo wakati mabango yanampamba mama,mnachekesha nyie.
 
Achana na Uzushi huu,
 
Kwan ccm huwa wanachaguliwa??
Ujumbe umefika kwa dungayembe,,kwanza mtu kama dungayembe nani anaweza mchagua?

Hata PM kwa utaratibu wa ccm,kamwe.hawezi kuwa PM akaja kuwa Rais haipo hiyo, baada ya Samia atakuja mwingine kabisaa ambaye ni ngumu kumbashiri.
 
Hakuna cha handshake ,hiyo hiyo accident ndio utaliona na 2025.
 
SEMA PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…