Kataa ndoa ni kampeni ya kijinga kuliko zote duniani

Shem Seran jiandae nakupitia. Twende Kilingen 🍺🍺🍺 muda umewadia.

Haya ya ndoa tuwaachie wenyewe. Sisi hayatuhusu. 😂😂😂😂
Kuna sehemu nimekusoma shem ntakucheki😊 hebu nipitie nikaondoe sleep inertia kwanza 🤸🏽‍♀️

Iceberg9 si haba baba mchungaji hauko nyuma, nawasoma kwa ukaribu sana na shemeji yangu aisee nimewaachia jukumu la kumleta huyo mchumba😅🤝🏽
 
🤣🤣 mchumba anakuja na utatamba nae kazi ni kwako
 
Wadau hakuna kitu , wengi wao wanaunga unga life tu na ndoa za mikeka🚮
Ndugu yangu nimecheka sana 😄😁😀 kuna siku hapa mtaani tulicheza game walio oa na wasio oa aloo vijana singo tuliwapiga kama ngoma tukawaambia acheni kukwea mnazi 😄😁 na wao wakasema nyie endeleeni kuteseka na kuishia kupata viharusi😃😄😁
 
1.Kutimiza mpango wa Mungu
2.Kupata watoto waliozaliwa kwenye mpango wa Mungu
3.Kujenga familia kwa kuzaa watoto,kuwalea na kuwakuza kwa mpango wa Mungu ambao nao wakikuavwatafanya hivyohivyo
Ndio maana nikakumbia sio kila mtu ana amini hayo mambo yako , nnje na hapo watu kibao tu wanaishi vizuri tu bila hiyo mipango ya kwenye imani yako
 
Walio oa huwa na mahasira hasira ya ajbu hakuna faida ya kuoa kama unapishana nao kununua malaya na kukesha bar , vijana wengi wamechoka wanaokotezana tu,kwenye nyumba za kupanga uswahilini nae unakuta ana vimba kaoa🚮
 
Nilitaka niandike hivi aisee... Mtoa mada nae ni takataka kabisa. Bora aneongelea kataa mdoa kuliko anae hubiri mungu sijui mpango umefanya nini
Hata sijui kama unajielewa maana hujui uliloliandika,soma tena ulichoandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…