Kataa ndoa ni kampeni ya kijinga kuliko zote duniani

kwan ukiwa demu ukamleta gheto, ukaichapa hiyo mbususu yake vilivyo.Naakaenda zake kwan kuna mtu atakuuliza.si una pata raha na akiziingua na tafuta mwingine,tatizo tuh usitongoze mke wa mtu
Team kataa ndoa hatupingi mapenzi tunapinga ndoa,uoe nn na mademu wapo unampa ujauzito,anakuzalia mtoto akiwa mkubwa unamchukuwa
 
Ndivyo hivyo unapenda dada yako afanyiwe?
 
una uhakika kuwa kwenye ndoa watu hawafanyi mapenzi na kila mtu? moja ya hoja za kataa ndoa ni kugongewa inakuwa haina maana ya ndoa.

kataa ndoa, ndoa ni UTAPELI
 
una uhakika kuwa kwenye ndoa watu hawafanyi mapenzi na kila mtu? moja ya hoja za kataa ndoa ni kugongewa inakuwa haina maana ya ndoa.

kataa ndoa, ndoa ni UTAPELI
Amechanganyikiwa huyo, Au amesahau kuna malaya kibao wameolewa lakini kuhusu umalaya na udangaji ni aluta continua
 
Amechanganyikiwa huyo, Au amesahau kuna malaya kibao wameolewa lakini kuhusu umalaya na udangaji ni aluta continua
hahah kweli kachanganyikiwa eti mkifunga ndoa mnafanya mapenzi peke yenu tu, ameingia mtaani akaona yaliyopo kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…