Kati mamba, simba na chatu yupi mrahisi kuokoka tukikutana naye?

For sure.
Huwezi kumkosa kwenye mada za nyoka na anawajua haswa.

Nafikiri kusafiri sana kwake na yuko interested na nyoka sana.

imhotep je na Anaconda ni jamii ya chatu?
Hii mada ilikuwa ya ni kati ya Wanyama watatu kidogo nilitaka kwenda kulala lakini nikaona na Chatu daah.

Pale Rusumo alitoka Bonge la Chatu Mtoni Kagera akaingia chini ya Lori lenye Sheheni acha kabisa ilibidi apigwe Risasi ndio lile Lori likaondoka.
 
Alikuta lori limesimama?
Je dereva aliogapa kumsagasaga au alijificha uvunguni?
 
Ni bora ukutane na Mamba mwenye njaa au Simba mwenye njaa unaweza kupanda Mti ulio karibu nawe lakini Chatu anapanda Miti aina zote.
Mzee kuwa serious basi, u hatari wa chatu upo kwenye Ambush tu kama ukifanikiwa kumuona hana uwezo wowote wa kukudhuru sasa mpaka unapanda juu ya mti maanayake umemuona just unabdaili njia tu wala hawi na habari na wewe ila tofauti kwa Simba.
 
Mamba na Simba ni rahisi kuokolewa lakini Chatu mkubwa sahau Ndugu.
Sio kweli, mamba akipiga pigo moja tu we ni mlemavu au mfu, mfano akicrush katikati na kichwani lazima ufe na hutopata nafasi ya kutumia panga lako, Simba muoga sana bila hata siraha, tochi tu ukimfata kwa ujasiri anakimbia labda ka ananjaa sana na yuko pekeake sababu Simba wanawinda kindugu (kundi)...chatu akikuua na uko na hilo panga lako we ni bonge la....
 
Hakika
 
View attachment 2926612
Anaconda anaweza kumeza ng'ombe lakini sio kama huyu kwenye picha.
Anaconda ni mkubwa kuliko huyo na kwenye risasi hakuna mnyama ambae analeta ubishi ila huyo Mwanajeshi angeingia kwenye Ambush ya Chatu haina ujanja anakumeza.

Kumbuka yeye Chatu anawinda MLO akisikia NJAA lakini ukimkuta KASHIBA KALALA hana Harakati.
 
Picha
A non-venomous reticulated python, one of the world's largest snakes, was seen devouring a cow in India, prompting a farmer to lasso its head in an attempt to remove it from the property.24 Oct 2023

Huko India👆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…