3squere
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 925
- 181
Huyo ccm damu Uliza utaambiwa..
Wewe unakumbuka swala la umeme tanesko pale kanisani kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ccm damu Uliza utaambiwa..
Safi sana
Mkuu mimi ni mwana Chadema damu. Strategically Chadema wamejiandalia anguko kuu kupitia umoja huu. Ni mtego ambao haukuwa rahisi kuukwepa lakini ni mwiba mchungu sana kwa mustakabali wa CDM siku za usoni
Mchungaji Zacharia Kakobe kasema ni mtihani, Shura ya Maimamu wakasema hili sio suala la kuomba, Wanasiasa wameshauri maridhiano, Wananchi wakasema wapo tayari, Lwaitama kasisitiza kuwa Ukionyesha kiburi katika uongozi wale unaodhani wametengana wataungana sana tena kwa jinsi usivyotarajia, angalia hapa. Mimi ni mjumbe tu, JK waliyosema tutakuandikia gazetini.
Mkuu kuna watu uku kazi yao unafki,viongoz wote waliokuwa Jangwani wametamka slogan za kila chama..,binafsi mwanachadema ila hii collabo nimeipenda.Mbona Mbowe katamka Hakiiiii!!!!!!!! sion tatizo hapo..!
Mkuu mimi ni mwana Chadema damu. Strategically Chadema wamejiandalia anguko kuu kupitia umoja huu. Ni mtego ambao haukuwa rahisi kuukwepa lakini ni mwiba mchungu sana kwa mustakabali wa CDM siku za usoni
Hakuna mtu wa hovyo kama yule anayesikia na kuamini bila kujiridhisha kwa utafiti.Ni uvivu tu wa kushindwa kufanya simple research na kukurupuka kusema au kuandika.Kumbuka:NO DATA NO RIGHT TO SPEAK.Quite p'se!!!
Mchungaji Zacharia Kakobe kasema ni mtihani, Shura ya Maimamu wakasema hili sio suala la kuomba, Wanasiasa wameshauri maridhiano, Wananchi wakasema wapo tayari, Lwaitama kasisitiza kuwa Ukionyesha kiburi katika uongozi wale unaodhani wametengana wataungana sana tena kwa jinsi usivyotarajia, angalia hapa. Mimi ni mjumbe tu, JK waliyosema tutakuandikia gazetini.
Kakobe ni mwana Nccr wa siku nyingi tangu wakati wa Lyatonga Mrema.Sasa kwa sisi waelewa wala hatushangai kwani alihangaika sana kumnadi Mrema kipindi kile akaambulia patupu.Pia ana hasira ya kupitishwa kwa umeme wenye voltage kubwa ingawa aliwadanganya waumini wake eti umeme hautawaka napo kabaki kushangaa tu kwani umeme unapita kama kawa.Atahangaika sana lakini hatafanikiwa.Aingie akagombee jimbo aone nguvu a kura zilivyo.
hao watu wote wangekuwa makazini umaskin kwisha wanachezea muda wao bure