Katiba Mpya: Kakobe aungana na Wapinzani Jangwani

Katiba Mpya: Kakobe aungana na Wapinzani Jangwani

Nyakati hizi tunahitaj watumishi kama Kakobe,siyo wale wanaonong'ona nong'ona pemben na kujikomba komba ili wakanywe chai Ikulu,safi sana
 
Safi sana

Mkuu mimi ni mwana Chadema damu. Strategically Chadema wamejiandalia anguko kuu kupitia umoja huu. Ni mtego ambao haukuwa rahisi kuukwepa lakini ni mwiba mchungu sana kwa mustakabali wa CDM siku za usoni
 
Mchungaji Zacharia Kakobe kasema ni mtihani, Shura ya Maimamu wakasema hili sio suala la kuomba, Wanasiasa wameshauri maridhiano, Wananchi wakasema wapo tayari, Lwaitama kasisitiza kuwa Ukionyesha kiburi katika uongozi wale unaodhani wametengana wataungana sana tena kwa jinsi usivyotarajia, angalia hapa. Mimi ni mjumbe tu, JK waliyosema tutakuandikia gazetini.
 
Attachments

  • 1.JPG
    1.JPG
    643.8 KB · Views: 235
  • 2.JPG
    2.JPG
    700.1 KB · Views: 213
  • 6.JPG
    6.JPG
    673 KB · Views: 175
  • 5.JPG
    5.JPG
    678.9 KB · Views: 176
Mkuu mimi ni mwana Chadema damu. Strategically Chadema wamejiandalia anguko kuu kupitia umoja huu. Ni mtego ambao haukuwa rahisi kuukwepa lakini ni mwiba mchungu sana kwa mustakabali wa CDM siku za usoni

Hapa cdm wana faida kubwa kuliko cuf hasa kwenye moto utakaowashwa znz bigup CHADEMA.
 
kazi nyingi kazi gani zaidi ya matumizi mabaya ya kodi za watanzania kukaa USA zaidi ya SIKU 10 doing Nothing zaidi ya kupiga picha na wababaishaji huko USA na kwenda kupokea zawadi zisizo kuwa na kichwa wala miguu za kutunza wakati misitu mingi tz ikiungua moto na wanyama wakisafirishwa wakiwa hai nje ya nchi under his watch, It is insane wazungu wanavyomu enjoy huyu jamaa. Marais wengi watakaoutubia UN wanakuja siku moja kabla ya hotuba ya UN na kuondoka siku inayofuata yeye anazurura kutoka state hadi state. huu ni ufujaji mkubwa wa kodi za wananchi masikini wa Tanzania.
 
Mchungaji Zacharia Kakobe kasema ni mtihani, Shura ya Maimamu wakasema hili sio suala la kuomba, Wanasiasa wameshauri maridhiano, Wananchi wakasema wapo tayari, Lwaitama kasisitiza kuwa Ukionyesha kiburi katika uongozi wale unaodhani wametengana wataungana sana tena kwa jinsi usivyotarajia, angalia hapa. Mimi ni mjumbe tu, JK waliyosema tutakuandikia gazetini.

Mwenye macho haambiwi Tazama!
 
hao watu wote wangekuwa makazini umaskin kwisha wanachezea muda wao bure
 
Mbona Mbowe katamka Hakiiiii!!!!!!!! sion tatizo hapo..!
Mkuu kuna watu uku kazi yao unafki,viongoz wote waliokuwa Jangwani wametamka slogan za kila chama..,binafsi mwanachadema ila hii collabo nimeipenda.
 
Kikwete anasikitisha sana huyu kijana. Rais gani asiye na mwamko wala uchungu wa kuongoza nchi yeye kazi kelele tu na kuchekea watanzania kwa sanifu. Kwa kweli huyu mtu ni janga la taifa na hafai kabisa.
 
Sasa kumekucha, "waswahili walisema Nabii hakubaliki kwao" leo ndo watu wamejua kuwa ASK. Kakobe yupo. Huo ni mwanzo tu. Safi sana baba shujaaaa.
 
Mkuu mimi ni mwana Chadema damu. Strategically Chadema wamejiandalia anguko kuu kupitia umoja huu. Ni mtego ambao haukuwa rahisi kuukwepa lakini ni mwiba mchungu sana kwa mustakabali wa CDM siku za usoni

kumbe ww hujui hapo chadema inatengeneza mazingira mazuri huko zanzibar
 
kwan kakobe alichokosea ni nn coz na yeye ni mtanzania kama wengine hivyo ana haki ya kudai katiba huru iliweze kuendea kuhubiri injiri kwa amani zaidi.
 
Hakuna mtu wa hovyo kama yule anayesikia na kuamini bila kujiridhisha kwa utafiti.Ni uvivu tu wa kushindwa kufanya simple research na kukurupuka kusema au kuandika.Kumbuka:NO DATA NO RIGHT TO SPEAK.Quite p'se!!!

[h=3]KESI YA ASKOFU KAKOBE YASHINDWA KUNGURUMA[/h]

Na Rachel Balama
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeahirisha kesi ya ubadhirifu inayomkabili Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBC), Zakaria Kakobe hadi Septemba 26, mwaka huu kutokana na Jaji anayesikiliza kesi hiyo kuumwa.

Kesi hiyo iliahirishwa jana na Msajili wa Mahakama Kuu kutokana na Jaji Iman Abood anayesikiliza kesi hiyo kuumwa na kutofika mahakamani.Upande wa walalamikaji unawakilishwa na Wakili Barnabas Luguwa, upande wa utetezi unawakilishwa na Wakili Miriam Majamba.
Kesi hiyo namba 79/2011 ilifunguliwa Mei 26, mwaka jana na wachungaji watatu wa kanisa hilo; Deuzidelius Patrick, Angelo Mutasingwa na Benedict Kaduma.Hata hivyo, baadaye Mc h u n g a j i K a d u m a alilazimika kujitoa kutokana na ushauri wa ndugu na daktari, baada ya kupata ajali na kulazimika kufanyiwa u p a s u a j i mk u bwa wa kichwa.
Baadaye, msimamizi wa kanisa hilo wilayani Liwale, mkoani Lindi, Mchungaji Ignas Innocent aliwasilisha maombi kutaka kujiunga katika kesi hiyo huku akidai ameamua kupigania haki na kwamba, kuna mambo ambayo anataka kuyaweka wazi.

Source: MAJIRA - GAZETI HURU LA KILA SIKU:: KESI YA ASKOFU KAKOBE YASHINDWA KUNGURUMA
 
Mchungaji Zacharia Kakobe kasema ni mtihani, Shura ya Maimamu wakasema hili sio suala la kuomba, Wanasiasa wameshauri maridhiano, Wananchi wakasema wapo tayari, Lwaitama kasisitiza kuwa Ukionyesha kiburi katika uongozi wale unaodhani wametengana wataungana sana tena kwa jinsi usivyotarajia, angalia hapa. Mimi ni mjumbe tu, JK waliyosema tutakuandikia gazetini.

Mbatia nae akaongeza...dunia tangu iumbwe ni sheria chache sana zilizotungwa ndo maana hekima na busara utumika ili kuziba pengo la sheria...
 
Kakobe ni mwana Nccr wa siku nyingi tangu wakati wa Lyatonga Mrema.Sasa kwa sisi waelewa wala hatushangai kwani alihangaika sana kumnadi Mrema kipindi kile akaambulia patupu.Pia ana hasira ya kupitishwa kwa umeme wenye voltage kubwa ingawa aliwadanganya waumini wake eti umeme hautawaka napo kabaki kushangaa tu kwani umeme unapita kama kawa.Atahangaika sana lakini hatafanikiwa.Aingie akagombee jimbo aone nguvu a kura zilivyo.

Utaongea sana ila mwisho wenu ushafika.i
 
Hana jipya kakobe anatafuta waumini wapya baada a kutoswq mwanzo
 
Back
Top Bottom