Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hili ni chizi kama machizi mengineViongozi wote wa ccm wakiongozwa na mwenyekiti wao hawana akili timamu!
Njoo unishughulikie niko kwangu Muda huu
Eneo :Salasala
Mtaa : Vasmo
Nyumba no_ 89
Tatizo lenu wanawake wa cwt ni wazungumzaji siyo watendaji,nimeweka hapo location nimewaita mje mnishughulikie unabaki kukenua meno yako mabovu kama njugu!Hili ni chizi kama machizi mengine
Siyo mimi mkuu nasema lile chizi lilitumwa na MakondaTatizo lenu wanawake wa cwt ni wazungumzaji siyo watendaji,nimeweka hapo location nimewaita mje mnishughulikie unabaki kukenua meno yako mabovu kama njugu!
Sawa mkuu nimekuelewa !Siyo mimi mkuu nasema lile chizi lilitumwa na Makonda
Huyo chizi atakuwa amekula K-vant asubuhi asubhiMmeanza vitisho vyenu pimbi nyie
Na alilala nazo,halafu kakazia asubuhi....anakoboa tuHuyo chizi atakuwa amekula K-vant asubuhi asubhi
Wewe ndiyo wa kupigwa nje ndani hadi ufike kileleni bwege weweTeam!
Hii iko very serious na to be frank ni kwamba ili twende vizuri kisiasa lzm tuwe kundi la watu wanaojiheshimu na kuheshimu wengine.
Nasema hivi kwa kuwa wafuasi kibao wa CDM, CUF, NCCR, NLD, Umoja, ACT nk wana kautamaduni walikojenga vichwani ka kutukana, kumkashifu na kudhihaki viongozi wa CCM. Siku zote hudhani kwamba bila kutukana basi chakula hakitapita kooni.
SASA:
Atakayemtukana CDE Paul Makonda kwa namna yoyote ile atakuwa ameitukana CCM na kwa hali hiyo tutamuwajibisha nje na ndani. CDE Paul Makonda sawa na wewe anastahili kushika nafasi yoyote na sifa anazo za kutosha. CCM tumefurahi kwa kuwa ujio wake utainyima CDM usingizi.
Tusilaumiane kwa atayeshupaza shingo.
Ngaika Ndenda
Kakonko.
Ni chizi fulani hajui hata jinsia akeNa alilala nazo,halafu kakazia asubuhi....anakoboa tu
Aombewe.Ni chizi fulani hajui hata jinsia ake
Hasira za nini....Wewe na makonda wote wapumbavu.
Yeye na Makonda ni machiziAombewe.
Hawezi kuwanyoosha kwa kuwa na mkuu wa nchi ni msoga juniorMagufuli amerudi ndani ya Makonda ,timu msoga na ufipa watanyooka tu
Kinywa chake ndio pona yake na ndio anguko lake, ujipange we are watching na tutasema na hakuna ngedere wa aina kama yako wa kutuzuiaTeam!
Hii iko very serious na to be frank ni kwamba ili twende vizuri kisiasa lzm tuwe kundi la watu wanaojiheshimu na kuheshimu wengine.
Nasema hivi kwa kuwa wafuasi kibao wa CDM, CUF, NCCR, NLD, Umoja, ACT nk wana kautamaduni walikojenga vichwani ka kutukana, kumkashifu na kudhihaki viongozi wa CCM. Siku zote hudhani kwamba bila kutukana basi chakula hakitapita kooni.
SASA:
Atakayemtukana CDE Paul Makonda kwa namna yoyote ile atakuwa ameitukana CCM na kwa hali hiyo tutamuwajibisha nje na ndani. CDE Paul Makonda sawa na wewe anastahili kushika nafasi yoyote na sifa anazo za kutosha. CCM tumefurahi kwa kuwa ujio wake utainyima CDM usingizi.
Tusilaumiane kwa atayeshupaza shingo.
Ngaika Ndenda
Kakonko.
Suala la huyo nyamitako ni lenu wenyewe huko CCM sisi hatuna muda mchafu kumjadili mc wa chama chakavuTangu ateuliwe Paul Christian Makonda kuwa katibu wa itikadi na uenezi wa CCM. CHADEMA kuanzia viongozi mpaka chawa wake mitandaoni mmegeuka kuwa washauri wa CCM.
Tunamuona Lissu huko Marekani kilio ni Makonda, humu JF tunawaona Pro CHADEMA woote ni kilio!
Imekuwaje leo CHADEMA imegeuke kuisaidia CCM isianguke? Iweje CHADEMA leo mnakuwa sehemu ya washauri wa CCM kuhusu namna ya kukiendesha chama chao, ilihali huku kwenu nako yamejaa makandokando lukuki?
Tukiwaambia CHADEMA ni chama la kudandia Matukio mnakuja juu! Sisi wenye weledi tunamuonea huruma Makonda sababu amelazimishwa kuja kuwatetea watesi wake!
Amelazimishwa kuja kukisaidia chama ambacho tayari kimejaa majeraha mwilini hususani mabegani huku Kanda ya Ziwa.
View attachment 2793370