Katibu Mkuu wa Itikadi na Uenezi CCM, Paul Makonda atambulishwa rasmi CCM, atinga kwa bodaboda

nenda basi kawafurahishe basi kiburudisho chao....
 
Huenda kuna mpasuko. ! Sasa ni kukomoana tu ! Au vipi ?!
Kwanza Chalamila alisemaga wapo mawaziri wanautaka Urais 2025 !
Mkuu wa zamani akasema hakuna kitu kama hicho na kwamba ahojiwe ili atoe ushahidi ! Badala yake Chalamila akaletwa Dar kutoka BKB !!
Sasa Makonda ndani ya nyumba !!
Ngoja tuone what’s cooking 🍳 !! 😅😅🙏🙏
Wanasemaga katika siasa hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu !! 😅

Lakini mimi wamenifanya adui wa kudumu 😅😅 ! Nawashangaa 😱😱
 
Wote hao lao moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…