Katibu Mkuu wa Itikadi na Uenezi CCM, Paul Makonda atambulishwa rasmi CCM, atinga kwa bodaboda

ndioo
 
Makonda amesema wakati wote alipokuwa kwenye Likizo ya miaka 3 na miezi 3 Viongozi wa Dini, Wajane na Wanyonge walikuwa Wakiomba na Kufunga kwa ajili yake, anawashukuru sana

Makonda ameahidi Kutolipa Kisasi kwa mtu yoyote mbele ya Mungu wa mbinguni

Makonda amesema Watesi wake wamemjenga na Kumfanya awe karibu na Mungu wa mbinguni zaidi, na hatimaye yuko Jirani na Patakatifu pa Patakatifu

Source: Channel ten
 
Huna akili Jo sawa na huyo mkolomije wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika mapokezi ya Katibu wa NEC-Itikadi na Uenezi, Ndugu Makonda amesema;

"Tangu niteuliwe nimepata nafasi ya kupita katika mitandao kusoma maoni ya baadhi ya watu, wengi wanahamaki na wengi wanabashasha, na katika wengi wanaohamaki wanawaza Makonda ataenda kulipa kisasi.

"Wanawaza makonda ataenda kufanya nini, nimeona na wengina wengine wanaanza kuwataja watu wengine kwamba utaona sasa usiyemtaka kaja, wengine wanasema tumejifunza nini katika jambo lamakonda.... Naomba niseme mbele ya hadhara hii, mgeni rasmi na mbele ya watanzania wapenzi wa chama cha mapinduzi na wakareketwa na mbele za Mungu, mimi sina kisasi na mtoto yoyote.

"Na asiwepo mtu akafirikiri lengo langu ni kumkandamiza, asiwepo mtu yoyote akafikiri wakati nitajitutumua kuonesha mabavu dhidi ya wale waliofikri wamenitenda mabaya, la hasha... naamini Mungu aliwatumia akiniandaa kufanya kazi kubwa zaidi..."
 
Amen
Amen
 
Suala la huyo nyamitako ni lenu wenyewe huko CCM sisi hatuna muda mchafu kumjadili mc wa chama chakavu
Ha ha haaa hivi msemaji wenu Chag- dema si ndio huyu Erythrocyte au sio yeye?
Je!
Lissu sio mwenyekiti wenu wa chama?
Wewe Fu**y mfuasi uchwara unabishana na mabosi wako!
 
Chapa kazi ila usiwasafishe waliochafuka kwa kujichafua wenyewe!
 
Waliyekuwa wanamsema vibaya leo kawa Pearl!!!!!Ni unafiku wa ajabu sana.Anyway,hii ndiyo CCM,where anything is possible.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kila kona ya ufipa ni Makonda tu!

Yani Makonda ni maarufu kuliko ufipa yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…