Katika Cabinet Reshuffle inayokuja soon 'Matege Ndani' anaenda Kuula, ila wa Tanga, Lindi na Singida mnaondoka

Katika Cabinet Reshuffle inayokuja soon 'Matege Ndani' anaenda Kuula, ila wa Tanga, Lindi na Singida mnaondoka

Ummy bi Dada yule hana shida kabisa ni mchapa kazi sana tena ana hekima siyo mjivuni na siyo jambazi na fisadi ni mtu wa watu. Nilienda Tanga hakika simulizi za wapiga kura wake ziko nzuri mno. I wish angekuwa hata makamu wa rais au waziri mkuu au rais ajaye
Uko sahihi.....lkn kuwa mwanaccm ni doa tayari
 
Back
Top Bottom