GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #101
Kwani ukiwa / ukitanguliwa huko mbele ya Haki Ukichaa nao unakutoka?Alishatangulia mbele ya haqi
Mkuu usiache dawa za ukichaa
Usiache asilani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ukiwa / ukitanguliwa huko mbele ya Haki Ukichaa nao unakutoka?Alishatangulia mbele ya haqi
Mkuu usiache dawa za ukichaa
Usiache asilani
Mmmmmm umesikia ya upande moja tu ......anajua unafiki balaaa.....suala mudabtuUmmy bi Dada yule hana shida kabisa ni mchapa kazi sana tena ana hekima siyo mjivuni na siyo jambazi na fisadi ni mtu wa watu. Nilienda Tanga hakika simulizi za wapiga kura wake ziko nzuri mno. I wish angekuwa hata makamu wa rais au waziri mkuu au rais ajaye
Utimilifu wa mwanadamu ni pale anapokufaKwani ukiwa / ukitanguliwa huko mbele ya Haki Ukichaa nao unakutoka?
Mkuu nisandie conection za watu wa Tanroad mimi ni mkandarasi ila kupata kazi imekua ni tatizo NeST nimo kila nikiandika BOQ zangu chaliOf course ni wale wanaopenda mteremko,
Mimi ningewala Sana Kama ningependa kutumia cheo changu Ila maadili yangu yalinifanya niache. Binafsi naona raha ya mwanamke wa nje akusumbue na kuzunguushwa Sana kabla ya kukupa mzigo.
Wako wanawake vipanga ambao hata huyo mwanaume mkware anaona aibu kumuangalia machoni. Na wako walipo kwa juhudi zao Kama wale mawaziri wawili wa Magufuli.
Sijapata ndugu yanguKadi ya harusi unayo?
mabadiliko ya serikalini yanalenga kuisuka ccm na si katika kuwatumikia wananchi, huwezi kuwachochea wateule wale kulingana na urefu wa kamba katika ofisi za ummamabadiliko yoyote kwenye govt, hulenga kuisuka vizuri na kuimarisha utenadaji na ufanisi katika kazi ya kuwatumikia wanainchi na kuchochea maendeleo, na si vinginevyo![]()
that is political statement,mabadiliko ya serikalini yanalenga kuisuka ccm na si katika kuwatumikia wananchi, huwezi kuwachochea wateule wale kulingana na urefu wa kamba katika ofisi za umma
Tafuta kadiSijapata ndugu yangu
Huu tunaita ni ujinga mwingi. Raisi anayekuja baada ya Samia hata toka kwenye mfumo mliozoea. Ni mtu mpya kabisaUmmy bi Dada yule hana shida kabisa ni mchapa kazi sana tena ana hekima siyo mjivuni na siyo jambazi na fisadi ni mtu wa watu. Nilienda Tanga hakika simulizi za wapiga kura wake ziko nzuri mno. I wish angekuwa hata makamu wa rais au waziri mkuu au rais ajaye
Una vituko na hulka kama wale majini na shetani waliomshukia Muddy na kumpa Qur'anJibu maswali we mbuzi,elimu yenyewe hunizidi,na yes.. nimepita madrasa,ambako nilioneshwa upuuzi wa mtu huyo huyo kuwa Mungu na mwana wa Mungu
Siyo Kama wale yesu aliowakimbizia baharini!?Una vituko na hulka kama wale majini na shetani waliomshukia Muddy na kumpa Qur'an
Yesu aliwakimbiza Iła Muddy aliwakubali na kuwa washikaji wake na akapewa Qu'ran kama zawadi ya utiifuSiyo Kama wale yesu aliowakimbizia baharini!?
Maana yake walikua wakidensi around nyakati za yesuYesu aliwakimbiza Iła Muddy aliwakubali na kuwa washikaji wake na akapewa Qu'ran kama zawadi ya utiifu
Nikusahihishe mkuu,madrasat ni neno la kiarabu likiwa na maana ya madarasa au darasa,unaposema mtu hajasoma Kwa kuwa kaenda madrassat unaharibu lugha,yeyote aliekwenda madrassat maana yake amesoma.Wabishi wengi wanaopenda kubisha bila hata kuwa na facts ni watu wanaotokea madrasat na hawajasoma
Yes ila wanarubuni watu ambo wako easily manipulated kama vile Muddy kisha wanawapa kanuni zao wakisingizia kuwa ni vitabu vya Mungu vyenye kutukuza na kufuga majiniMaana yake walikua wakidensi around nyakati za yesu
Unaropoka tu vitu usivyoviju ka'msengeYes ila wanarubuni watu ambo wako easily manipulated kama vile Muddy kisha wanawapa kanuni zao wakisingizia kuwa ni vitabu vya Mungu vyenye kutukuza na kufuga majini
Pumbafu kabisa MudawoteUmmy bi Dada yule hana shida kabisa ni mchapa kazi sana tena ana hekima siyo mjivuni na siyo jambazi na fisadi ni mtu wa watu. Nilienda Tanga hakika simulizi za wapiga kura wake ziko nzuri mno. I wish angekuwa hata makamu wa rais au waziri mkuu au rais ajaye