Muba shara
Senior Member
- Feb 5, 2017
- 167
- 122
Ummy, Janu na Mwigulu hawatatokaIna Maana Ummy....Nape ...January na Mwigulu??.....yetu machooo....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ummy, Janu na Mwigulu hawatatokaIna Maana Ummy....Nape ...January na Mwigulu??.....yetu machooo....
Hence, not a sure event..!Probability is over 45%
Nahisi Ni January, Nape, MwiguluIna Maana Ummy....Nape ...January na Mwigulu??.....yetu machooo....
Mwigulu amekalia kuti kavu Kama ushauri wa Bashite (anakubalika Sana in the right places) utachukuliwa, sema dogo kiuchumi Yuko vizuri labda ashindwe kumanage miradi yake.Ummy, Janu na Mwigulu hawatatoka
Huyo mmoja anyedaiwa baba yake kumbe ni wa nyanda za juu kusini ni Nepi.Jamani aliyeelewe hizi code atujuze basi daaah
Tena umeokota Urais kama dodo chini ya mwembe asubuhi mapemaBado haitasaidia huwezi waweka wabunge kwenye ubalozi wale hubaki jimboni kwao na kuendelea na mipango ya kukuangusha hata kama utavuka kwenye uchaguzi kumbuka ni nafasi TU umepata ya kuwa Rais ila haimaanishi ni Bora kwenye mipango na ushawishi kuliko wao
Jamaa wa Lindi anaweza kutupiwa virago, lakini jamaa wa Tanga na Singida hao ni injini ya Hangaya. Hawezi kuwatengua lje mvua au jua.Na sababu Kuu ya Kuongea aliyoyaongea jana ilikuwa ni sehemu ya Makubaliano aliyopewa baada ya Mhusika kuwa Muoga na Kuwaonea Aibu Watajwa kwakuwa anajuana nao Kitambo ( wengine kupitia Baba zao ) na wengine humpelekea Waganga wa Kienyeji, wengine Chenji za Upigaji zikibaki hummege nae Kidogo.
Na baada tu ya Kumaliza zoezi lile na Mhusika Mnafiki Muoga kufurahia tayari ameshamweka katika Kikosi chake Kipya Kijacha ambacho kwa taarifa za ndani japo Wahusika Watatu Walengwa Wawili ni Magwiji wa kwenda na kutembea na Waganga wao hadi Bungeni wakiwa katika Magari yao safari wanaondoka.
Na yule mwingine nae ambaye tulijua Baba yake ni wa Kusini kumbe ni wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini nae pia kutokana na Unafiki wake kwa Kuungana na hawa Wawili ( Wana Majungu Wenzake ) wa Kiomboi na Barabara ya 13 ameshamkera Mnafiki Muoga hivyo nae safari ya Kulima Korosha zake kwa Amani imewadia.
Genta hajamaanisha Ummy hapo, Tanga meant Bumbuli huko kwa kina mtu fudenge.Ukimuondoa Kuruthumu, hao vijana hawafai kabisa na ndiyo maana Magufuli aliwatimua mapema maana ni useless katika hili taifa letu. Mama akahisi walionewa kutemwa, kawarudisha na sasa wanamtafuna huku akijiona.
GENTAMYCINEPurely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer
Hata mimi sikumaanisha Kuruthumu na ndiyo maana nimesema ukimuondoa Kuruthumu. Watanzania bado tuna ujinga mno, mtu unaandika a simple thing anakuja mtu asiyeenda shule kuja kuandika kitu tofauti na kilichoandikwa. Rudi shule dogo, achana na Madrasat.Genta hajamaanisha Ummy hapo, Tanga meant Bumbuli huko kwa kina mtu fudenge.
Kuruthumu ndiyo nini!?..madrasat zilikufanya nini au ulifanywa nini ndani ya madrasat!?..shule imekusaidia nini!?..una uhakika siyo mjinga!?Hata mimi sikumaanisha Kuruthumu na ndiyo maana nimesema ukimuondoa Kuruthumu. Watanzania bado tuna ujinga mno, mtu unaandika a simple thing anakuja mtu asiyeenda shule kuja kuandika kitu tofauti na kilichoandikwa. Rudi shule dogo, achana na Madrasat.
Genius Jumamosi anaenda kubeba ndoo ya magoliThat's why I'm Genius.
NDANI
Wabishi wengi wanaopenda kubisha bila hata kuwa na facts ni watu wanaotokea madrasat na hawajasomaKuruthumu ndiyo nini!?..madrasat zilikufanya nini au ulifanywa nini ndani ya madrasat!?..shule imekusaidia nini!?..una uhakika siyo mjinga!?