Katika dunia hii ya kidigitali kulilia mikutano ya hadhara ni ujuha wa kiwango cha ajabu

Kwanini CCM waoga hivi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unatumia level sahihi kwa hadhira husika-shida ya wasiasa wanataka kuuza sura; hovyo.
Umeishiwa hoja..!! Kwa hiyo umekubali kuwa yule wa Chipole, kwa level yake huwezi mjumuisha kwenye mkutano wa kidigitali. Maana hana vinavyomuwezesha kushiriki mikutano ya aina hiyo.

By the way, nikuulize, HIVI UNA UELEWA WOWOTE WA 2G, 3G, 4G na 5G au masuala ya telecom network kwa ujumla? Maana nisije nikawa naongea na mtu ambaye hata VSWR hujui..!!!
 
Kuna tofauti kubwa kati ya virtual na physical experience technology imejutahidi sana kupunguza hili gap lakini bado kuna gap na ndicho kinafanya watu waende kwenye events, mikutano, mikusanyiko physically
Sidhani ng'ombe kama hiyo inaweza kuelewa maana na umuhimu wa mikutano ya hadhara. Kama anafikiri siasa zinawezwa kufanywa kwa zoom meeting, huyo ni Ng'ombe tu.
 
Mama yangu yuko Chipole ananitumia sms tafadhali nipigie inanifikia na tunawaliana na anapata ujumbe- anasimu ya tochi imefungwa na rubber band na ya kwangu ni Iphone. Mna ujanja wa bure lakini hamana tofauti na kizazi kilicho dai uhuru na mapinduzi matukufu ya Zanzibar. kizazi kilichotumia vifungashio vya vitumbua kuwafikia watu wakati ambapo watu waliokuwa wanajua kusoma na kuandika walikuwa wa kuhesabu- Kizazi chenu hiki bure kabisa
 
Nimesema na narudia kusema yeyote analilia mikutano ya hadhara leo ni UJUHA
Washauri kwanza CCM wanaosomba watu na maroli kuwapeleka mikutanoni, pia tueleze iwapo kusomba na maroli ni ujanja au ujuha.
 
Sidhani ng'ombe kama hiyo inaweza kuelewa maana na umuhimu wa mikutano ya hadhara. Kama anafikiri siasa zinawezwa kufanywa kwa zoom meeting, huyo ni Ng'ombe tu.
Ng'ombe anabeba KUPE kama wewe- wewe mitandao imeishia kwenye zoom? My friend nothing fit all solution is no longer working in this world-try every thing to at least get the minimum possible
 
Cjui wabongo jema kwenu ni lipi 😂 mlibeza kule space na clubhouse eti bibietu kule kijijin itamfikiaje!!! Leo wanataka wawafikie mpaka maporini hamtak tena 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Vyama vya upinzani kwa sasa vinatakiwa vifanye heavily Investment kwenye issue za Digital, Mana waki rely kwenye izi media kubwa hazitawapa airtime mana nao wanaogopa kuji side sana na Upinzani, Wanawaogopa watawala ivo basi waanzishe platform zao ambao zitakuwa na Publicity kubwa ili wafanyapo Iyo Mikutano basi Message ziwafikie watanzania wengi
 
Marekani wana Techinolojia ya kwenda kuishi sayaru ya Mars still kuna mikutano ya hadhara sembuse Tanzania? Wewe una akili za kutofautosha Mboga na Ugari unazungumzia techinolojia gani?
 
Kama mtu ana simu imejaa nyimbo za msanii, youtube anamwona kwenye videos, instagram kamfollow anajua habari zake na bado akiandaa show nyomi linajaa tena kwa kiingilio hapo ndipo ujue kuna tofauti ya virtual na physical
Sijui kama atakuelewa hapa
 
Hio kijiditali unaijua? Posta za kimama hizi
 
Marekani wana Techinolojia ya kwenda kuishi sayaru ya Mars still kuna mikutano ya hadhara sembuse Tanzania? Wewe una akili za kutofautosha Mboga na Ugari unazungumzia techinolojia gani?
Mikutano ya hadhara Marekani- nipe ushahidi-wenzetu wlisha toka huko; wanafanya townhall meetings
 
Kamati kuu ya CDM ina wajumbe wangapi?
 
Je ujuha Kama wewe unayejificha kwa ID fake unausemaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…