Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini CCM waoga hivi [emoji23][emoji23][emoji23]Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano ya hadhara wakiwemo wanajinasabu kwenda kidigitali.Hii ni aibu na ishara mbaya.
Umeishiwa hoja..!! Kwa hiyo umekubali kuwa yule wa Chipole, kwa level yake huwezi mjumuisha kwenye mkutano wa kidigitali. Maana hana vinavyomuwezesha kushiriki mikutano ya aina hiyo.Unatumia level sahihi kwa hadhira husika-shida ya wasiasa wanataka kuuza sura; hovyo.
Sidhani ng'ombe kama hiyo inaweza kuelewa maana na umuhimu wa mikutano ya hadhara. Kama anafikiri siasa zinawezwa kufanywa kwa zoom meeting, huyo ni Ng'ombe tu.Kuna tofauti kubwa kati ya virtual na physical experience technology imejutahidi sana kupunguza hili gap lakini bado kuna gap na ndicho kinafanya watu waende kwenye events, mikutano, mikusanyiko physically
Huyo ni ng'ombe asiezaa.Lakini si ni wewe uliekuwa unadharau hata space ya Maria?
Mama yangu yuko Chipole ananitumia sms tafadhali nipigie inanifikia na tunawaliana na anapata ujumbe- anasimu ya tochi imefungwa na rubber band na ya kwangu ni Iphone. Mna ujanja wa bure lakini hamana tofauti na kizazi kilicho dai uhuru na mapinduzi matukufu ya Zanzibar. kizazi kilichotumia vifungashio vya vitumbua kuwafikia watu wakati ambapo watu waliokuwa wanajua kusoma na kuandika walikuwa wa kuhesabu- Kizazi chenu hiki bure kabisaUmeishiwa hoja..!! Kwa hiyo umekubali kuwa yule wa Chipole, kwa level yake huwezi mjumuisha kwenye mkutano wa kidigitali. Maana hana vinavyomuwezesha kushiriki mikutano ya aina hiyo.
By the way, nikuulize, HIVI UNA UELEWA WOWOTE WA 2G, 3G, 4G na 5G au masuala ya telecom network kwa ujumla? Maana nisije nikawa naongea na mtu ambaye hata VSWR hujui..!!!
Washauri kwanza CCM wanaosomba watu na maroli kuwapeleka mikutanoni, pia tueleze iwapo kusomba na maroli ni ujanja au ujuha.Nimesema na narudia kusema yeyote analilia mikutano ya hadhara leo ni UJUHA
Ng'ombe anabeba KUPE kama wewe- wewe mitandao imeishia kwenye zoom? My friend nothing fit all solution is no longer working in this world-try every thing to at least get the minimum possibleSidhani ng'ombe kama hiyo inaweza kuelewa maana na umuhimu wa mikutano ya hadhara. Kama anafikiri siasa zinawezwa kufanywa kwa zoom meeting, huyo ni Ng'ombe tu.
Cjui wabongo jema kwenu ni lipi 😂 mlibeza kule space na clubhouse eti bibietu kule kijijin itamfikiaje!!! Leo wanataka wawafikie mpaka maporini hamtak tena 🤣🤣🤣🤣🤣Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano ya hadhara wakiwemo wanajinasabu kwenda kidigitali.Hii ni aibu na ishara mbaya.
Marekani wana Techinolojia ya kwenda kuishi sayaru ya Mars still kuna mikutano ya hadhara sembuse Tanzania? Wewe una akili za kutofautosha Mboga na Ugari unazungumzia techinolojia gani?Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano ya hadhara wakiwemo wanajinasabu kwenda kidigitali.Hii ni aibu na ishara mbaya.
Sijui kama atakuelewa hapaKama mtu ana simu imejaa nyimbo za msanii, youtube anamwona kwenye videos, instagram kamfollow anajua habari zake na bado akiandaa show nyomi linajaa tena kwa kiingilio hapo ndipo ujue kuna tofauti ya virtual na physical
Hio kijiditali unaijua? Posta za kimama hiziKatika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano ya hadhara wakiwemo wanajinasabu kwenda kidigitali.Hii ni aibu na ishara mbaya.
Mikutano ya hadhara Marekani- nipe ushahidi-wenzetu wlisha toka huko; wanafanya townhall meetingsMarekani wana Techinolojia ya kwenda kuishi sayaru ya Mars still kuna mikutano ya hadhara sembuse Tanzania? Wewe una akili za kutofautosha Mboga na Ugari unazungumzia techinolojia gani?
Kamati kuu ya CDM ina wajumbe wangapi?Utazeeka pia au kwa vile unakula bure hapo kwa dada yako unadhani utabaki hivyo. Mkuu kama ibada zinafanyika kwa mtandao, matibabu yabafabyika kwa mtandao, jana tumeona Kamati kuuya CHADEMA ikiongozwa na Gaidi inafanyika kwa njia ya mtandao- kulilila mikutano ya hadhara ni ujuha
Town hall meeting ina maana gani?Mikutano ya hadhara Marekani- nipe ushahidi-wenzetu wlisha toka huko; wanafanya townhall meetings
Je ujuha Kama wewe unayejificha kwa ID fake unausemajeKatika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano ya hadhara wakiwemo wanajinasabu kwenda kidigitali.Hii ni aibu na ishara mbaya.