Kwa nini swali liwe nani?Hiyo pumzi unayoivuta imeumbwa na nani kama sio Mungu?
Pumzi imeumbwa na nani sasa?Kwa nini swali liwe nani?
Huoni kwamba swali lako linakuja na jibu lake?
Pumzi ingekuwa imeumbwa na Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, hakuna hata mtu mmoja angepata "changamoto ya kupumua".
Watu kupata "changamoto ya kupumua" ni ushahidi pumzi haijaumbwa na huyo Mungu.
Unaelewa hilo?
Kwa nini unauliza nani? Unajuaje jibu sahihi linatokana na swali la "nani"?Pumzi imeumbwa na nani sasa?
Kwani wimbo una rangi?Kwa nini unauliza nani? Unajuaje jibu sahihi linatokana na swali la "nani"?
Una uhakika unauliza swali sahihi?
Nikikuuliza rangi ya wimbo wa "Kifo" wa Dr. Remmy ni rangi gani utajibu vipi?
Kama swali la kuuliza rangi ya wimbo lilivyo na makosa, ndivyo swali lako la kuuliza pumzi imeumbwa na nani lilivyo na makosa.Kwani wimbo una rangi?
You are a "psychiatric case"Kama swali la kuuliza rangi ya wimbo lilivyo na makosa, ndivyo swali lako la kuuliza pumzi imeumbwa na nani lilivyo na makosa.
Wewe umekuwa kama kiziwi ambaye hasikii sauti, anaona tu.
Sasa kiziwi huyu kasoma kwamba kuna nyimbo, zina sauti tofauti.
Ana shauku ya kutaka kujua nyimbo hizi zikoje, anataka kuzijua.
Lakini, katika ulimwengu wake, hajui sauti, yeye anajua rangi tu. Kwa kuwa anaona, hasikii.
Sasa, anauliza swali ili aelewe nyimbo zikoje.
Anauliza, huu wimbo wa Dr. Remmy Ongala una rangi gani?
Mtu aliyeulizwa swali anapata tabu kujibu swali hilo.
Swali halina jibu.
Kwa sababu si swali sahihi. Ni swali batili.
Hili swali la kutaka kujua rangi ya wimbo ni sawa na swali uliloniuliza.
Matatizo ya uaguzi wako ni haya.You are a "psychiatric case"
Wewe una swagger za kihaya sana na misifa juuMatatizo ya uaguzi wako ni haya.
1. Watu wenye sifa na utaalamu wa kuagua hivyo, wanajua kwamba maadili ya kazi yao hayawaruhusu kuagua hivyo mitandaoni.
2. Watu wanaoagua hivyo mitandaoni, hawana sifa wala utaalamu wa kuagua hivyo.
Nimekaa na ex girlfriend wangu alikuwa anafanya Ph.D ya Clinical Psych.Mpaka kamaliza.
Nimechambua sana haya mambo ya "psychiatric case" naye kwa level ya Prof. Robert Sapolsky wa Stanford.
Na nimeanza kuyafuatilia tangu enzi za Prof. Gad Kilonzo Muhimbili.
Winston Churchill once said, the humble have much to be humble about.Wewe una swagger za kihaya sana na misifa juu
MhhhWinston Churchill once said, the humble have much to be humble about.
Muhammad Ali said, if it is true, it is not bragging.
Hata wewe unaruhusiwa kujieleza, ndiyo nia nzima ya kuwa na JF.
Hahahaaaaa wahaya watani zangu washamba sanaWewe una swagger za kihaya sana na misifa juu
Dr. Remmy umemjulia wapi wakati wewe unasemaga unakaa USA?Kama swali la kuuliza rangi ya wimbo lilivyo na makosa, ndivyo swali lako la kuuliza pumzi imeumbwa na nani lilivyo na makosa.
Wewe umekuwa kama kiziwi ambaye hasikii sauti, anaona tu.
Sasa kiziwi huyu kasoma kwamba kuna nyimbo, zina sauti tofauti.
Ana shauku ya kutaka kujua nyimbo hizi zikoje, anataka kuzijua.
Lakini, katika ulimwengu wake, hajui sauti, yeye anajua rangi tu. Kwa kuwa anaona, hasikii.
Sasa, anauliza swali ili aelewe nyimbo zikoje.
Anauliza, huu wimbo wa Dr. Remmy Ongala una rangi gani?
Mtu aliyeulizwa swali anapata tabu kujibu swali hilo.
Swali halina jibu.
Kwa sababu si swali sahihi. Ni swali batili.
Hili swali la kutaka kujua rangi ya wimbo ni sawa na swali uliloniuliza.
Kwani kukaa USA maana yake huwezi kumjua Dr. Remmy?Dr. Remmy umemjulia wapi wakati wewe unasemaga unakaa USA?
MhhhKwa nini unauliza nani? Unajuaje jibu sahihi linatokana na swali la "nani"?
Una uhakika unauliza swali sahihi?
Nikikuuliza rangi ya wimbo wa "Kifo" wa Dr. Remmy ni rangi gani utajibu vipi?
Unazingua sana ujue?Kwa nini swali liwe nani?
Huoni kwamba swali lako linakuja na jibu lake?
Pumzi ingekuwa imeumbwa na Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, hakuna hata mtu mmoja angepata "changamoto ya kupumua".
Watu kupata "changamoto ya kupumua" ni ushahidi pumzi haijaumbwa na huyo Mungu.
Unaelewa hilo?
Wewe ambaye hutaki kujibu maswali yangu unazingua zaidi.Unazingua sana ujue?
😀 Hii Dunia kweli Uwanja wa fujo.Kuepuka kutongozeana wake na ku admire minyama nyama ya wake za watu. Kila mtu akae kwake. Tukutane neutral place Kama pub.
Mimi namaliza hata miaka mitatu sijaingia nyumba ya mtu. Misibani naishia kwenye hema, kwenye harusi tuonane kanisani au holini.
Sitaki umbea jumbani yangu na hata waif anajua. Akimualika rafiki yake namtizama huyo mgeni mwanzo mwisho mpaka atoke. Siku nyingine hamkaribishi.
Si kweli ni Shemasi,-Buguruni Malapa😕Ni sheikh msikiti mmoja Ilala
Kutembeleana ndio desturi yetu sisi waafrika tena hususan kabla hii COVID haijaingiaPia kutembeleana kuna mambo mengi ya kujifunza kutoka kwa unayemtembelea na anayekutembelea. Mf. Mi niliweza kumpata fundi tiles kutoka kwa nyumba niliyotembelea na kupenda jinsi alivyoweka tiles za nyumba yake na kumuomba namba za simu za huyo fundi. Any way kutembeleana kunaimarisha undugu, urafiki pamoja na ushirikiano mwingine.