Katika dunia ya sasa, mheshimu sana yule anayefunga safari kuja kukutembelea "physically"

Well said bro.
 
Kwanza tuelekeako hata simu ukipigiwa unaona miujiza skuiz watu sana kufatilia status zako WhatsApp basi.
Imebidi nicheke tu..... Wengine Kama Mimi kuweka status Ni Mara moja kwa mwaka!!
 
Nadhani wewe ndio wa kubadilisha upepo
 
Umesema kwel kaka, hakika kakuthamini mno, tena mazingira haya ya kwetu ya kazi mpk jmosi ukufika nyumbani hoi jpili unajikuta unataka kulala tu upumzishe mwili. Hali ya kutembeleana imekua ngumu mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…