Katika Hali isiyo ya kawaida FFU waanza shamra shamra huku mjini posta wanazunguka zunguka kabla ya tarehe 23 yenyewe

Mbwa na mishahara Yao ya laki nne, hapo wengi ni vilaza wa form four, div 4
 
Polisi wakikimbia maandamano CCM itaelekea wapi? Ninajiuliza tu
 
Polisi wakikimbia maandamano CCM itaelekea wapi? Ninajiuliza tu
Je kama maandamano yakiwa makubwa kama ya Sri Lanka au Bangladesh watu wakandamana mpaka wakaingia ndani ya ikulu, je itakuwa ndio mwisho wa utawala wa ccm? Au ndio yatakuwa maandamano yaliyosababisha mapinduzi kama Sri Lanka au Bangladesh?
 
Toa upumbavu wako hapa , wewe ukiamua kuwa mjinga na muoga ni wewe ,usitushirikishe kwenye ujinga na uoga wako huo
 
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala kidhalimu.
 
Mbwa na mishahara Yao ya laki nne, hapo wengi ni vilaza wa form four, div 4
Kabisa mkuu , mambo ya aibu kabisa .
Na kuna wapuuzi humu bado wanashabikia hii hali .
As if hii nchi ya kifalme ambapo watu wa mlengo flani tu ndio wanaruhusiwa kuongoza ,yaani kuna majitu yamejipa UMungu mtu nchi hii wa kutawala kimabavu na kuamua ni nani aishi na nani asiishi .
Na raia wenye mtindio wa ubongo humu jamii forum wanasherekea hii hali .
Katiba tu hiyo ya mkoloni tuliyo nayo inaruhusu maandamano ya amani , Chadema hawajawahi fanya maandamano ya vurugu na hawajasema wanafanya maandamano ya vurugu ,wanafanya maandamano ya kupinga vitendo vya kidhalimu na vya kigaidi vya serikali ya ccm vinavyofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama chini ya Samia hasa utekaji na mauaji ya raia wenye itikadi za upinzani .
Hii nchi si ya ccm ni mali ya raia wote , Chadema si wakimbizi nchi hii ,ni raia na wana haki ya kuandamana kudai haki zao kwa amani kama raia yoyote alivyo na haki ya kudai haki yake kwa kuandamana kwa amani na utulivu bila kuhatarisha usalama wa mali na maisha ya watu wengine .

Watanzania waache mentality za kitumwa na kuamini kwamba regime au serikali Ndio final say wakati muongozo wa nchi ni katiba ,mbwa kabisa hizi na serikali inawajibika kwa wananchi na Chadema ni wananchi pia na wameamua kuiwajibisha serikali kwa mauaji na utekaji na ukandamizaji unaoendelea hapa nchini ,


ENOUGH OF IDIOCY AND LAMENESS , WE NEED ACCOUNTABILITY FOR THE ONGOING DEATHS AND ABDUCTIONS OF REGIME'S CRITICS AND OPPOSITION PARTY MEMBERS (CHADEMA)


SAMIA MUST GO !
 
Kwani chadema si magaidi katika nchi? Chadema ni zaidi ya magaidi ma wahaini. Walkpaswa wanyongwe
 
Huyo chura atakuwa anasaga na kukoboa kweli sio kwa akili matope hizi
 
Mnafanya maandamano ya amani wakati maneno ya mwisho kabisa ni kumtaka Samia aondoke!.

Huo ni upuuzi wa kiwango cha lami, hakuna anayeweza hata kuwasikiliza kuhusiana na madai yenu.
 
Waaaambie ni Wapumbavu mnooooo mnoooo, kinachopiganiwa ni pamoja na maslahi Yao wenyewe....
 
Hiyo ni Ishara kuwa waandamanaji watalindwa vyema Ili waandamane Kwa nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…