Kabisa mkuu , mambo ya aibu kabisa .
Na kuna wapuuzi humu bado wanashabikia hii hali .
As if hii nchi ya kifalme ambapo watu wa mlengo flani tu ndio wanaruhusiwa kuongoza ,yaani kuna majitu yamejipa UMungu mtu nchi hii wa kutawala kimabavu na kuamua ni nani aishi na nani asiishi .
Na raia wenye mtindio wa ubongo humu jamii forum wanasherekea hii hali .
Katiba tu hiyo ya mkoloni tuliyo nayo inaruhusu maandamano ya amani , Chadema hawajawahi fanya maandamano ya vurugu na hawajasema wanafanya maandamano ya vurugu ,wanafanya maandamano ya kupinga vitendo vya kidhalimu na vya kigaidi vya serikali ya ccm vinavyofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama chini ya Samia hasa utekaji na mauaji ya raia wenye itikadi za upinzani .
Hii nchi si ya ccm ni mali ya raia wote , Chadema si wakimbizi nchi hii ,ni raia na wana haki ya kuandamana kudai haki zao kwa amani kama raia yoyote alivyo na haki ya kudai haki yake kwa kuandamana kwa amani na utulivu bila kuhatarisha usalama wa mali na maisha ya watu wengine .
Watanzania waache mentality za kitumwa na kuamini kwamba regime au serikali Ndio final say wakati muongozo wa nchi ni katiba ,mbwa kabisa hizi na serikali inawajibika kwa wananchi na Chadema ni wananchi pia na wameamua kuiwajibisha serikali kwa mauaji na utekaji na ukandamizaji unaoendelea hapa nchini ,
ENOUGH OF IDIOCY AND LAMENESS , WE NEED ACCOUNTABILITY FOR THE ONGOING DEATHS AND ABDUCTIONS OF REGIME'S CRITICS AND OPPOSITION PARTY MEMBERS (CHADEMA)
SAMIA MUST GO !