Katika hali ya kawaida Makonda hana raha kabisa

Sabaya hafikii hata nusu ya uhalifu wa MAKONDA.....Bashite aliongoza kundi la watekaji na wauaji.
 
Kumekucha Mashoga wamepata nafasi ya kulipa kisasi
 
Bashite na baba yake ushamba na ulimbukeni ndio vilikuwa vinawasumbua waliona dunia yote ni mali yao na wameiweka mkononi.
 
Naona Nape amesema anaandaa kuweka ripoti ya uchunguzi wa uvamizi wa studio za clouds uliofanywa na makonda pamoja na viambatanisho vyake.

 
Watesi wake aliwaua ama kuwalawiti, ni ngumu kujitokeza kuanzisha kesi.
 
Huyu jamaaa kama akienda Jela Miezi mi2 tu lazima Manyapara wamtie...Mimb..a
 
Subiri utakaposikia Makonda kala teuzi ndio utawafahamu vizuri CCM.
hilo hata mimi naliwaza sana. tujiandae kisaikolojia pale ccm itakapotufanyia ''sapuraizi'' ya kufungia mwaka kwa kumzawadia makonda cheo kikubwa serikalini.

hiyo itakuwa sawa na kutupiga ni kitu kizito kichwani.

NB
historia ndani ya ccm inaonyesha wale wanaongoza kwa kufanya matukio ya ukandamizaji na ukiukwaji wa haki, ndio wanao zawadiwa vyeo vikubwa zaidi.

nakumbuka enzi za jk mwigulu alikuwa very hostile kwa upinzani. ali facilitate matukio mengi ya kuwashughulikia.
 
Ana ngozi ngumu huyo jamaa ohooooi we muone hivi tu. Uzuri ni kuwa alishawai ye mwenyewe kusema hilo.
 
Madaraka, usipojua kuyatumia vizuri, huzalisha ushetani. Lakini pengine unakuwa tayari na ushetani, ila madaka yanakupa nyezo za kutimiza ushetani wako.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…