Katika hili nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hizi Races

"Anakamua sana mabinti lkn n mzee wa dini sana: [emoji2][emoji2] broh! Hizi n sentensi mbili zinazokinzana. Fanya kuzipitia upya.
 
Hapa hujaijibu Hoja ndugu yangu na umekimbia kwa sababu ni ukweli mchungu sana. Nikupe mfano mdogo sana MO. Ni mwislamu mshahara anaolipa madereva wa Masafa marefu ni 220000 kwa mwezi ili hali ameongeza zaman ilikua 150000 na huyo ni tajiri no Tz. Lakin ukikutana unafanya kazi kwenye shirika la mzungu kwa hiyo Kaz ya dereva unalipwa zaidi ya mara 5 Zaid

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Huyo ni mo sio uislamu please usitaje uislamu better kumtaja hata mzazi wako !!
 
Leta ushahidi wapi alivamia naijuo historia yote kumbuka yesu aliharibu Mali za wafanyabiashara katika hekalu lile . Je wapi Muhammad aliharibu na kuvamia? leta ushahidi naslimu hapa ukileta haya umleta mchungaji wako hana ushahidi!!!
Muhammad akisikia watu wanapita na bidhaa alikuwa anawatuma wafuasi wake wakawavamie na kuchukua bidhaa...

Source: The History of Al-Tabari: The Foundation of the Community, Volume VII, pp. 21-23;
 

Attachments

  • Screenshot_20220814-171521.png
    74.2 KB · Views: 14
Tatzo lako wewe mmatumbi uwelewa wako ni mdogo. Mtoa mada kasema hao warabu ni waislamu na wanaswala 5. Na wewe unaongea ya kwako tu

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Muhammad akisikia watu wanapita na bidhaa alikuwa anawatuma wafuasi wake wakawavamie na kuchukua bidhaa...

Source: The History of Al-Tabari: The Foundation of the Community, Volume VII, pp. 21-23;
😅😅😅 Kwa wewe ni wale wa upinde wa mvua ntaka kutoka kweny qur ana bible sio vitabu hata Ontario anacho cha kutunga leta mwandishi hapa tuone kati ya wale maswahaba
 
"Anakamua sana mabinti lkn n mzee wa dini sana: [emoji2][emoji2] broh! Hizi n sentensi mbili zinazokinzana. Fanya kuzipitia upya.
Embu tafuta mtu wa dini asiyefanya dhambi yoyote, Hadanganyi,Haibi, hanywi pombe, hazini, Hatukani nk.
 
Tatzo lako wewe mmatumbi uwelewa wako ni mdogo. Mtoa mada kasema hao warabu ni waislamu na wanaswala 5. Na wewe unaongea ya kwako tu

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Ila haihusiani na uilsamu kwa nn unahusianisha na uislamu mo ni binadamu ana tapeli ana dhulumu ila uislamu haufundishi ivyo !!! umenielewa we jamaa wa upinde wa mvua
 
Sikiliza ulivyokuwa mjinga na fala sio unajua zipo hadihi sahili na masimulizi ya ovyo Kama unayoleta nitajie wale waimam wakuu then uje na huo ujinga wako
 
Kasome kitabu icho ni masimulizi unataka page na hadithi
Ni sawa na Mimi niseme Yesu alikuwa na Mikono minne...uniulizie ushahidi, nikuambie kasome biblia.
Uniulizie ukasome biblia kitabu kipi au page Gani.
Nikuambie ..kaisome biblia yote.

Acha kuruka ruka mzee...umesema mtume alipinga utumwa...weka ushahidi..Hiyo Bukhari nimeanza kuisoma kabla hujazaliwa
 
Nimekupa kitabu Hapo juu umeenda kufuata au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…