Kila jambo Linaangaliwa Matokeo yake kwa wale wakusudiwa.
Sasa tuangalie feminism Matunda yake katika jamii kwamba Sasa Ndoa zinadumu Kuliko Zamani ,, Maelewano Baina ya Wanandoa Yamekuwa Makubwa ,, Watoto wanalelewa katika Mazingira salama na ya kimaadili,, Vijana wanakimbilia Kuoa na kuolewa.
Hayo Hayapo ila Ni Mashauli Mengi Mahakamani kuvunja Ndoa,, Visa Vya Kikatili Katika Ndoa ,,Watoto Waliokosa malezi ya Kimaadili, Singo Mother Kuwa wengi ,, madanguro ya wanawake Kujiuza yakiongezeka na Biashara ya kuuza miili yao Mitandaoni Imeshamili Huku Vijana wanaolelewa na Singo Mom Hawana Mwelekeo mwisho wanakuwa MaShoga Kama ni Binti anakuwa Mdangaji.
Sasa Faida zipi Zimeletwa Na Feminism?
Labda ni kuwainua Wanawake wachache kisha wengi wakiumia Kwa Kutaka na wao wawe kama wale. Wakisahau Hali za Kimaisha zipo Tofauti.