Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,120
- 2,153
Mwanangu hiyo Haiba ya kike unayosema wewe ni ipi? Labda udadavue humu nielewe!! Kwa sababu kama ni ndoa nimeshakwambia hapo juu. Pili mimi SIYO Robot kama unavyodai.Huyo hana tofauti na roboti, hana haiba yoyote ya kike.
Nyumba kama hiyo ujuwe inaongozwa na mwanamke na haifai kwa mtoto wako kumruhusu kwenda kuposa nyumba kama hiyo.