Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,120
- 2,153
Mimi naomba kuuliza. Mwanaume yeyote ambaye ana BINTI. Wangapi wenye mabinti WATATAKA BINTI ZAO waje KUWA MAMA WA NYUMBANI? Ambaye ANATEGEMEA mpaka pesa ya kununua Sanitary Pads APEWE na Mume wake? Nyoosheni vidole hapa nikianza na Zemanda KisaiBaambie baelewe. In GenZ kila kitu ni pesa, nani atakupa pesa for the rest of your fycking life huh!!! πππ
Fortunately nimewahi pata bahati ya kupewa hela, kiasi fulani cha pesa " Significant " Asikwambie mtu hela ya mwanamume ina masharti jamani yale ya IMF yana nafuu π€£π€£ Au labda mi nina bahati mbaya, na utii wangu pia una mushkeli.?
Nimesoma huu uzi lakini inavyoonekana hii 50/50 HAIKUELEWEKA kwa wengi. Naomba uniambie wewe unaelewa nini kuhusu 50/50?π€£π€£π€£π€£maandiko ya vitabu vitakatifu yanakiukwa unadhani kuna matokeo mazuri hapo
Hayo mambo ya 50 kwa 50 ni porojo tu mwanaume bado anabaki ni kichwa cha familis na atakuwa juu ya mwanamke tu hata iweje
50 kwa 50 ni ushetani tu.Nimesoma huu uzi lakini inavyoonekana hii 50/50 HAIKUELEWEKA kwa wengi. Naomba uniambie wewe unaelewa nini kuhusu 50/50?
Niambie wewe unaelewa nini kuhusu 50/50?50 kwa 50 ni ushetani tu.
Wanawake wanatii kama walivyoamriwa?Wanaume wangekuwa "WANAPENDA" kama walivyoamriwa hayo yote YASINGETOKEA!!!
Wanajifanya kutafuta hela ila wakiingia kwenye mahusiano wanataka wahudumiwe kwa kila kitu. Bora akae nyumbani haudumiwe vizuri.Alichokieleza mleta uzi ni wewe huyu huyu umejaa mabishano,upo kishari,kisarani njenje!
pole sana jikedume
Hamuwapendi kama mlivyoamriwa mnategemea wawatii? Mtu unampiga, unamnyanyasa, unam-mistreat kwa kila namna halafu utegemee akutii? Hivi nyie wanaume huwa mnadhani mwanamke ameumbwa kwa chuma!!! Hata chuma huwa inafika mahali kinapata kutu!!!! Mwanamke ameumbwa kwa flesh and blood, kwa body and soul kama wewe!!! Treat her as a human being!!!!!Wanawake wanatii kama walivyoamriwa?
Feminist una tatizo kubwa sana, somo la Samia hukulielewa.Hamuwapendi kama mlivyoamriwa mnategemea wawatii? Mtu unampiga, unamnyanyasa, unam-mistreat kwa kila namna halafu utegemee akutii? Hivi nyie wanaume huwa mnadhani mwanamke ameumbwa kwa chuma!!! Hata chuma huwa inafika mahali kinapata kutu!!!! Mwanamke ameumbwa kwa flesh and blood, kwa body and soul kama wewe!!! Treat her as a human being!!!!!
Wewe huna akili. Unachanganya mambo. Kuwa na wadhifa au cheo ofisini has NOTHING to do na kuwa mke nyumbani. Treat me as Wife I will treat you as Husband regardless of our vyeo.Feminist una tatizo kubwa sana, somo la Samia hukulielewa.
Angel Markel licha ya kasri lao kuwa na wafanyakazi ratiba yake asubuhi lazima yeye mwenyewe ndio amuandalie breakfast mume wake ndio aende ofisini.
Sasa wewe labda ni secretary tu kwenye kitaasisi unashupaza shingo.
Wewe huna sifa ya kuwa mke wa mtu labda uwe msagaji na wewe uowe.Wewe huna akili. Unachanganya mambo. Kuwa na wadhifa au cheo ofisini has NOTHING to do na kuwa mke nyumbani. Treat me as Wife I will treat you as Husband regardless of our vyeo.
Utawaweza hawa ndugu zako? Wanaume wangapi hawataki mabinti zao waje kuwa "watu fulani kwenye jamii" ?
Sawa mwanangu. Kwa taarifa yako nimeolewa mwaka 1989 na mpaka sasa hivi nina watoto watatu. You can estimate my age!!! Kwa kukusaidia niliolewa nikiwa kazini miezi 8 baada ya kumaliza Chuo Kikuu. Na nilianza kazi baada ya kumaliza Form VI na Chuo Kikuu. Sijui mwaka 1989 ulikuwa na umri gani pimbi wewe!!!Wewe huna sifa ya kuwa mke wa mtu labda uwe msagaji na wewe uowe.
Huna tofauti yoyote na robot ile romantic ya kike huna hata chembe.
Sawa mwanangu. Kwa taarifa yako nimeolewa mwaka 1989 na mpaka sasa hivi nina watoto watatu. You can estimate my age!!! Kwa kukusaidia niliolewa nikiwa kazini miezi 8 baada ya kuanza kazi. Na nilianza kazi baada ya kumaliza Form VI na Chuo Kikuu. Sijui mwaka 1989 ulikuwa na umri gani pimbi wewe!!!
Kama mke wako anakufanyia hivyo ni sawa tu kwa sababu HUJITAMBUI.
Kila jambo Linaangaliwa Matokeo yake kwa wale wakusudiwa.Kama mke wako anakufanyia hivyo ni sawa tu kwa sababu HUJITAMBUI.
Huyo hana tofauti na roboti, hana haiba yoyote ya kike.Kila jambo Linaangaliwa Matokeo yake kwa wale wakusudiwa.
Sasa tuangalie feminism Matunda yake katika jamii kwamba Sasa Ndoa zinadumu Kuliko Zamani ,, Maelewano Baina ya Wanandoa Yamekuwa Makubwa ,, Watoto wanalelewa katika Mazingira salama na ya kimaadili,, Vijana wanakimbilia Kuoa na kuolewa.
Hayo Hayapo ila Ni Mashauli Mengi Mahakamani kuvunja Ndoa,, Visa Vya Kikatili Katika Ndoa ,,Watoto Waliokosa malezi ya Kimaadili, Singo Mother Kuwa wengi ,, madanguro ya wanawake Kujiuza yakiongezeka na Biashara ya kuuza miili yao Mitandaoni Imeshamili Huku Vijana wanaolelewa na Singo Mom Hawana Mwelekeo mwisho wanakuwa MaShoga Kama ni Binti anakuwa Mdangaji.
Sasa Faida zipi Zimeletwa Na Feminism?
Labda ni kuwainua Wanawake wachache kisha wengi wakiumia Kwa Kutaka na wao wawe kama wale. Wakisahau Hali za Kimaisha zipo Tofauti.
We jamaa mbinguni moja kwa moja π―%Kuna kesi nyingi zinakuja soon utaona hao viumbe mwisho wao,
Kutakuja kuundwa jumuia huko mbeleni itakayosaidia kirudisha ule uanamke wa mwanamke maana mpaka sasa naona dalili mbaya kabisa za hao viumbe kupata frustrations zitakazo pelekea mental genocide,
Unajua hata wanaume wameanza kuwashtukia na vijana wa kiume hawataki ndoa wanawachovya kuwazalisha na kuwatelekeza kutoka na lifestyle walilojiwekea utafika muda watajikuta wamekua manginja nginja na wanaume hawapo wa kuwashobokea then kifuatacho ni
ITV inakuleteaaa kipindi maalumu cha wanawakeeeee!
Wanaotafuta wanaume wanaopumua tu!
ππ