Uchaguzi 2020 Kauli mbiu ya Uhuru na Kazi yampaisha Tundu Lissu

Hii ya kutoonyesha Bunge mubashara kwa kiasi fulani itaigharimu CCM.
Kina Bashiru walishindwa kuelewa Tabia za Watanzania, Wabongo wanapenda ushabiki, Huruma kwa maana ya Sympathy, Mkose wote, Hawapendi mwenye nacho, Hawajui kujielezea, Hawabishani na Mwenye nguvu n.k

Haya yote yanaangukia na kumpa advantage Lissu mbele ya Raia.

Bashiru and Co wanapashwa kujiuliza, wamzuie sasa au baadaye?
 
Amefanya nini Cha maaana?
Ungekuwa na akili kama zake ungeuliza atafanya nini cha maana tukimpa Urais na jlbu ungepata wakati wa kampeini toka kwake mwenyewe lakini hutasikia atanunua madege, atajenga Uwanja wa ndege wa Kimataifa Singida wala bandari Ziwa Kindai ila utasikia atauza madege, Uwanja wa Chato atawarudishia wafugaji wachungie nk. Atafanya mengi!
 
Sasa uwanja kule bush una faida gani?hio midege mikweche mliingizwa fyongo n PK inaleta hasara kwa Taifa tu
 
Si na wao wajasiriasiasa (wapinzani uchwara) waibe Kama ni kitu rahisi, hakuna binadamu nje ya CCM anaeweza kumshinda magufuli hajazaliwa bado
Usidhani Mungu Muumba Mbingu na Nchi anawaza Kama mwanadamu awazavyo
 
Hiki kimbunga hakizuiliki
 
Aisee...

UHURU NA KAZI'

Ahsante Lissu.
 

Jitahidi ku-balansi tathmini zako. Usiangalie upande mmoja tu wa shilingi. Na wale waliommiminia risasi 16 mwilini hawakuwa na chuki naye???
 
Uhuru na kazi
 
Wafamaji ni Cha Domo ambao wanahangaika, CCM baba Lao ushindi 89% sio hivyo vijisaccos vya msimu wa uchaguzi

Hiyo percentage itakuwa ni ya uharamia. Mkilazimisha iwe hivyo kupitia huko, sawa, lakini sio sanduku la kura.
 
Hiyo percentage itakuwa ni ya uharamia. Mkilazimisha iwe hivyo kupitia huko, sawa, lakini sio sanduku la kura.
wanachama hai wa CCM mpaka jana Ni 18.2 milion hapo bado kura za wapenzi tu ambao sio wanachama, kwani ukiambiwa CCM Ni chama kikubwa na kina mizizi mpaka vijijini ulikuwa unafikiri Nini
 
wanachama hai wa CCM mpaka jana Ni 18.2 milion hapo bado kura za wapenzi tu ambao sio wanachama, kwani ukiambiwa CCM Ni chama kikubwa na kina mizizi mpaka vijijini ulikuwa unafikiri Nini
Kama mna wanachama wengi kwanini mnaogopa tume huru ya uchaguzi?
 
Haa mimi handsome! ila sina hela ya kumhudumia mke swali fikirishi je atavaa uhansome wako nakula u handsome wako?
 
Tatizo Watanzania wengi hawajaguswa sana na ishu ya Uhuru.

Ongeleeni kuhusu Uchumi.
Watanzania wanahitaji Uhuru wa utamaduni wetu kustawi ambapo CCM wameonyesha kutokuwa na uvumilivu wa kutoa Uhuru huo. Na ni kama wapo ktk vita dhidi ya tamaduni ya baadhi ya tamaduni.

Lissu akiwa muwazi kwa Uhuru wa tamaduni zetu atazidi kuungwa mkono.
 
Uhuru upi?

Hivi mwananchi wa nanjilinji kule ukiongelea juu ya uhuru si anakushangaa?

Hilo la uhuru atawapata viongozi wenzie wa pale ufipa
Kwahiyo nyie mtaji wenu upo nanjilinji kwa watu wasiojielewa? Msitumie ujinga wa baadhi ya watanzania huko nanjilinji vijijini kujinufaisha kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…