Kauli ya Mwigulu kuhusu Burundi ni hatari kwa Usalama wa Taifa. Serikali ijitenge nae!

Kauli ya Mwigulu kuhusu Burundi ni hatari kwa Usalama wa Taifa. Serikali ijitenge nae!

Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania mko wapi mnaacha mtu kama huyu Waziri anakwenda katika Tv kulichafua Taifa na kumchafua Rais wa Nchi? Miiko ya utumishi wa umma na miiko ya viongozi wa Kiserikali juu ya kwenda katika vyombo vya habari iko wapi? Waziri anaongea kwa dharau kuliko hata kibri walichokuwa nacho Makonda, Mnyeti na Sabaya enzi za udikteta
Well Noted Mkuu

Kitengo cha Julius Nyerere kilikuwa Makini sana....
 
Rais mh Samia alituahidi kuwa "ATAKAYE PANDISHA MABEGA NITAMZINGUA"
Huyu amezingua, mzingue
Hawezi kuwaambia watu wahame nchi yao kisa kodi, jambo ambalo anekiri kulifanyia kazi hata yeye pia.

Angetulia angekuwa muungwana maana bajeti ilipitishwa na Bunge kwahiyo yeye si mkosaji maana alipeleka proposal wakaijadili na kuikubali
 
ITV ni kituo kikubwa,sijaona sababu ya kurusha kipindi ambacho walikuwa wanajua kuna mabadiliko baada ya Rais kuingilia na walimsikia hata Mwigulu akiongea pia. ITV wamefanya hivyo makusudi ili kumchonganisha Waziri na Umma.Poor ITV
Unajuaje kama walimpigia kumuuliza kama wakirushe au la, na yeye akawaambia warushe tu??

Mkuu, usihukumu bila kujua upande wa pili.
 
Kwa upande mwingine, mie naona kama kurushwa kwa kipindi kimewasaidia watz wengi, kujua 'true colours' za waziri wenu wa Fedha....
Kwa sababu alijua kina hoja za tozo ambazo tayari ameshapewa maagizo na boss wake (Rais), alitakiwa asitishe kipindi hiki kilichorekodiwa kisiruke hewani, ili hoja alizoongea mchana zibaki kuwa final ili kupisha kikao kilichoitishwa na waziri mkuu kufanyika leo kifanyike na utekelezaji wa maagizo ya Rais ufanyike. Kwa ujumla hicho kipindi kilitakiwa kife kifo cha asili (natural death).

Labda mkuu kama hujui protocols za uongozi wa serkimewasaidia
 
Mh Rais Mama Samia suluhu Hassan bado hujastuka tu kuwa mtu huyu ni hatari katika utawala wako? Waziri wako anadharau amri ya Rais ambayo jana tu asubuhi umemuagiza yeye mwenyewe atwambie kwamba umesikia manung'uniko yetu na kwamba umeziagiza wizara zikae zishughulikie malalamiko yetu wananchi, Kisha siku hiyo hiyo jioni katika kipindi cha tv anazungumza haya?...
Hicho kipindi hakikuwa Live kilisha rekodiwa kitambo.
 
Mimi nilifikiri kwa vile kipindi kilikuwa recorded angeomba ITV wakitoe baada ya kusoma upepo ila hakujali lol! Wala hakujali!!
Hata kama kilikuwa recorded bado ni makosa anatakiwa kufukuzwa
 
Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania mko wapi mnaacha mtu kama huyu Waziri anakwenda katika Tv kulichafua Taifa na kumchafua Rais wa Nchi? Miiko ya utumishi wa umma na miiko ya viongozi wa Kiserikali juu ya kwenda katika vyombo vya habari iko wapi?

Waziri anaongea kwa dharau kuliko hata kibri walichokuwa nacho Makonda, Mnyeti na Sabaya enzi za udikteta
... na rais mwenyewe yuko wapi kumwacha aendelee kuwa waziri? Ingefaa sana amtengue haraka kama alivyofanya baada ya kauli za kuchefua za Albert Chalamila.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Pale kwenye yale mawe yake wanafuta 1 wanaweka 2 isomeke MWIGULU RAIS 2025🤣🤸🐒
 
Mh Rais Mama Samia suluhu Hassan bado hujastuka tu kuwa mtu huyu ni hatari katika utawala wako? Waziri wako anadharau amri ya Rais ambayo jana tu asubuhi umemuagiza yeye mwenyewe atwambie kwamba umesikia manung'uniko yetu na kwamba umeziagiza wizara zikae zishughulikie malalamiko yetu wananchi, Kisha siku hiyo hiyo jioni katika kipindi cha tv anazungumza haya?

Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania mko wapi mnaacha mtu kama huyu Waziri anakwenda katika Tv kulichafua Taifa na kumchafua Rais wa Nchi? Miiko ya utumishi wa umma na miiko ya viongozi wa Kiserikali juu ya kwenda katika vyombo vya habari iko wapi? Waziri anaongea kwa dharau kuliko hata kibri walichokuwa nacho Makonda, Mnyeti na Sabaya enzi za udikteta?

Waziri anadiriki kusema WANANCHI ambao ndio msingi wa uwepo wa Serikali wanaolalamika tozo hizi wahame nchi waende Burundi? Hivi Mwigulu anajua athari za kidplomasia kusema wananchi wanaolalamika waende Burundi? Kwamba Burundi ni eneo la kishenzi ambalo halina handhi ya utu hivyo yeyote anayolalamika, anayenung'unika au kufedheheka adhabu yake ni kupelekwa Burundi?

Mama umetoka juzi Burundi katika hatua ya kujenga uhusiano wa kidplomasia na nchi washirika na majirani, Kauli hii ya Waziri ni hatari na inadhoofisha juhudi zako zote za kujenga taifa na ushirikiano.

Mwigulu anatakiwa kuondoka katika ofisi ya umma na Serikali ya Tanzania iombe radhi matamshi haya kwamba si msimamo wa serikali bali wa mtu binafsi. Fikiria kesho waziri wa Burundi atangaze kuwa wanaotaka ushoga wote waende Tanzania huko ndio watakuwa mashoga wenye faida, Au Rwanda iseme majambazi wote waende Tanzania huko ndio watafanya ujambazi kwa amani, Au Somali iseme Magaidi wote waende Tanzania huko ndio watafanya ugaidi kwa amani. Nini matokeo ya kauli hizo?

Mama tunakutahadharisha kwa kila kitu juu ya mtu huyu na kundi lake, Maneno huumba, tumeshazungumza mara sita, amini mara ya saba neno litatimia katika umbo kamili. Mwigulu ni hatari kwako Mama na ni hatari kwa usalama wa Tanzania.

View attachment 1860881
Mwigulu hapo kaongea sasa kama kiongozj
 
PhD za kwenye daftari ila kiuhalisia bora mangi mwenye Genge azungumzie uchumi kuliko huu uchumi wa kwenye daftari,elimu ya bongo kwanza mm naona tunapigwaa phd kibao mtaani zinashindwa kuwa Na impact kwenye Jamii
 
Mwigulu anajulikana huwa Hana huruma hata kidogo ila safari hii amechemka kwasababu SSH atachagua mass hivyo ataenda kinyume chao wote na kujifanya kusikiliza CCM
 
Mama hajue hawa watu wanataka kitu chake Sasa asipokuwa makini wanamwangusha kwa hili hamna raia atae mpa kula 2025 hao hao wanafurahi kwa kujifanya wazalendo kumbe wanajua wanamwalibia
 
23 hours ago

SERIKALI YATAJA VIPAUMBELE 11 KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIBIASHARA


Waziri wa mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula ameeleza vipaumbele kumi na moja walivyokubaliana kushirikiana katika mahusiano ya kibiashara Baina ya Tanzania na Burundi katika Ziara ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan nchini Burundi.

Source : Daily News Digital
 

17 July 2021​

Bujumbura, Burundi

The Burundi-Tanzania Business Forum sanctioned by the signing of a Memorandum of Understanding​

The Burundi-Tanzania Business Forum sanctioned by the signing of a Memorandum of Understanding

The Burundi-Tanzania Business Forum, which brought together, this Saturday, July 17, 2021 in Bujumbura, Burundian and Tanzanian businessmen with the objective of promoting and facilitating trade and investments between the two countries, was sanctioned.

By signing a memorandum of understanding between the Federal Chamber of Commerce and Industry of Burundi (CFCIB) and the Tanzania Private Sector Foundation (TPSF).

Through this protocol, the two chambers of commerce have agreed to promote collaboration in the trade, tourism and mining sectors, in particular through the exchange of experiences as well as the establishment of a logistics shopping center that will facilitate trade.

The two Burundian and Tanzanian Heads of State who had enhanced their presence in the activities of this forum, in turn addressed their message to the participants.

The President of the Republic of Burundi His Excellency Evariste Ndayishimiye first thanked his Tanzanian counterpart for having responded to his invitation and for bringing many Tanzanian businessmen to share their know-how with their Burundian comrades.

He also reiterated his warm thanks to the United Republic of Tanzania for the support and solidarity shown to the Burundian peoples by welcoming Burundian refugees and allowing Burundian traders to use the port of Dar Es Salaam to transit their goods to the when some countries had closed the doors following international sanctions against Burundi.

President Ndayishimiye also hinted that Tanzania's support is necessary to improve business in Burundi: “Burundi is a developing country and Burundian businessmen have not yet acquired sufficient knowledge. experience in production and export. They need to learn from Tanzanian businessmen who are very experienced. We would like to work together in order to move towards a sustainable socio-economic development of our two countries. "

He said that the Government of Burundi is restructuring the Burundian airline to enable it to be competitive, and to facilitate, among other things, trade between Burundi and Tanzania.

The President of the United Republic of Tanzania, for her part, also expressed her gratitude to her Burundian counterpart for the invitation to come to Burundi and for the warm welcome extended to her with her delegation.

Her Excellency Samia Suluhu Hassan said that the holding of this forum is an eloquent sign of good relations that exist not only between the Government of Burundi and Tanzania but also between their peoples.

As the COVID-19 pandemic hits the global economy hard, she called for synergistic work to turn the tide: “Due to COVID-19, global economies are in decline. We must work together to explore new ways to ensure business expansion and competitiveness. Of course, we are still small in the business world, but working together will help raise the economic level of our countries. "

She pointed out that Burundi and Tanzania need to take full advantage of the opportunities offered by the East African Community in order to improve their respective economies.

President Suluhu concluded by calling on Burundian businessmen to come and explore investment opportunities in Tanzania which she said would offer mutual benefits for Burundi and Tanzania
Source : Le Forum d’Affaires Burundi-Tanzanie sanctionné par la signature d’un Protocole d’accord
 

State visit of President Samia Suluhu to Burundi: Eight cooperation agreements signed​

State visit of President Samia Suluhu to Burundi: Eight cooperation agreements signed
The President of the United Republic of Tanzania Her Excellency Samia Suluhu Hassan is carrying out a 2-day state visit to Burundi since Friday, July 16, 2021.

She heads a large delegation comprising ministers and other senior government officials from the United Republic of Tanzania.

On her arrival at Melchior Ndadaye International Airport, she was warmly welcomed by the Vice-President of the Republic, His Excellency Prosper BAZOMBANZA and was then taken to the Ntare Rushatsi Palace where she met her Burundian counterpart, His Excellency the President Evariste Ndayishimiye for a tête-à-tête which was followed by bilateral talks and the signing of eight bilateral cooperation memoranda of understanding:

– on the holding of political and diplomatic consultations;
– in the mining sector;
– in the energy sector;
– on the teaching of Kiswahili in Burundi and French in Tanzania
-in the field of health;
-on the transfer of detainees;
– in the agricultural field;
– in the field of fishing.

As stated in the joint communiqué, during their talks, Her Excellency President Samia Suluhu Hassan recognized the great achievements made by His Excellency President Evariste Ndayishimiye to consolidate peace, stability and self-confidence in the Republic of Burundi and commended his tireless efforts in favor of economic recovery, national reconciliation, promotion of the rule of law, democracy and good governance in the country.

His Excellency Evariste Ndayishimiye, President of the Republic of Burundi, on his part expressed his gratitude to the United Republic of Tanzania for having welcomed Burundian refugees from 1972 until today and for the unfailing solidarity that has been shown to them over the years.

He reiterated his thanks to this eastern neighbor country for the major role played in the conclusion of the Arusha Peace and Reconciliation Agreements and in the entire reconciliation process in Burundi.

In addition, the two Heads of State hailed the withdrawal of Burundi from the agenda of the United Nations Security Council and the Peace and Security Council of the African Union, as well as the lifting of sanctions against Burundi by other partners. They therefore called on Burundi’s partners who have not yet lifted the remaining sanctions imposed in 2015 to do so immediately in order to revive the socio-economic development of Burundi.

During a press briefing organized on this occasion, the President of the United Republic of Tanzania made it clear that her visit to Burundi is in the framework of strengthening relations of friendship and cooperation between Burundi and Tanzania. In addition, she stressed that she made the trip to express her gratitude to the people of Burundi for the support and solidarity shown to their Tanzanian neighbors during the times of hardship following the death of His Excellency President John Pombe Magufuli.

Her Excellency Samia Suluhu Hassan disclosed she came to personally congratulate the Burundians on the 59th anniversary of Burundi’s Independence since she was unable to join them at the time of the celebration, on the 1st. July 2021.

During her state visit to Burundi, Her Excellency the President of the United Republic of Tanzania plans to meet the Tanzanian community living in Burundi and participate in the Burundi-Tanzania Business Forum, among other activities.

Source: State visit of President Samia Suluhu to Burundi: Eight cooperation agreements signed
 
Back
Top Bottom