The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Design ya wale Masheikh waliokuwa wanampigia magoti mpaka Bashite. Wameahidiwa kuwa Mfalme wa Morocco ataletwa kuja kufungua msikiti basi ndoto zao ni kukutana na Mfalme. Hawajui kuwa wanaweza kuwa wanaingizwa chaka tu !!!Masheikh ubwabwa lazima wajipendekeze
Kabisa mkuu. Hawana maanaHivyo ni vijibwa vya CCM
ANAHITAJIKA kiongozi wa Taifa si wa Waislamu pekee, Kikwete ndie aliewaleta mashekhe wa Uamsho bara jpm alaumiwa Bure, sijui wakatoliki wasiposhinda huu uchaguzi itakuwajeHaya mambo yabkuingiza dini kwenye siasa bila exit plan, ndo yameifanya dini ya kiislamu kuhusishwa na ugaidi kwa muda mrefu sana hapa duniani. Kuna wapuuzi wachache wameibadilisha sana taswira ya uislam, Cha ajabu wengine ni viongozi kabisa...
Haya mambo yabkuingiza dini kwenye siasa bila exit plan, ndo yameifanya dini ya kiislamu kuhusishwa na ugaidi kwa muda mrefu sana hapa duniani. Kuna wapuuzi wachache wameibadilisha sana taswira ya uislam, Cha ajabu wengine ni viongozi kabisa.
Halafu baadae mtaanza kusema kwamba ni propaganda za watu wa magharibi kuuchafua uislam. Haya bwana kwahiyo waislam msiposhinda kwenye huu uchaguzi itakuwaje Sasa🤔!
Ponda sio mufti, hana mamlaka ya kuwazungumzia waislam wa Tanzania, mwambieni awe anajizungumzia mwenyewe.
CCM mwaka huu kila mti wanaojaribu kudandia unateleza. Magufuli ameiua CCM.Kuna Msemo "Mkuki kwa Nguruwe Kwa Binadamu Mkuki". CCM ndio walianza kuwarubuni Maaskofu na Mashelki Basi Watulie Wanyolewe Hakuna Jipya. Again Mkuki Kwa Nguruwe Kwa Binadamu lazima iwe tu Mkuki...
True Mungu alimleta ili ccm ife na haki hawana tawi tena lala salama hii,CCM mwaka huu kila mti wanaojaribu kudandia unateleza. Magufuli ameiua CCM.
Labda anawagaia manufaa ya udhalimu ili kuwafumba midomo.Ili uweze kuaminika ktk jamii yakupasa kutenda na kusimamia haki na kuilinda.
Shekhe wa mkoa wa DSM amejitwisha zigo la kuipigia kampeni CCM na amejipa nafasi ya mufti kuwasemea waislam wote nchini Tanzania. Lkn kwa kuwa Shekhe huyu anakipigia debe chama dola hatukuwaona hawa wanaojiita wahadhiri wa dini ya kiislam wakikemea tabia ya sekhe wa mkoa wa DSM.
Lkn kwa Shekhe Ponda ambaye ameanza kampeni juzi tu, tayari wametoka walikotoka mashekhe hawa ambao hata kujulikana hawajulikani na kuanza kutoa matamko ya kulaani kauli ya Shekhe Ponda. Wanadai Shekhe Ponda siyo msemaji wa waislam nchini.
Walikuwa wapi kumkemea Shekhe wa mkoa wa DSM?