Hao wote waliojitoa na kujikusanya kama numbu ,kama mlikuwa hamuwajui ni mashushu tena,mashushu wakandamizaji kabisa ukiwakuta wanatoa darsa misikitini na kwenye majukwaa utasema hawa mashehe kiboko, ila ALLAH hamfichi mnafiki na kujitokeza kwao huko ni kuadhirika na mtu au Muislamu mwenye akili timamu kama alikuwa akiwafuata fuata basi aelewe kuwa hao si watu wema,ni wasaidizi na ukisikia mashehe wanakamatwa na hawatolewi basi ni roho mbaya za hao wazungumzaji hapo.
Ila Muislamu wa kweli kwa hapa palipofikiwa ,naamini kabisa muda huu wa majeruhi hakuna mtu anawasikiliza hao mavuvuzela,wamevuvuzuleshwa na CCM, wanafaa hata kuzomewa mkiwaona njiani. Ni aibu kuwa na watu dizaini hio na haiwezekani na ndio wameadhirika Tanzania nzima imewaona.