Kauli za jeuri na dharau za viongozi wetu kwa wananchi ni matokeo ya Katiba yetu mbovu

Hujui? Ama kweli watanzania walio wengi ni wajinga. Rais anaposafiri kwenda nje ya nchi mamilioni ya shiling yanatupotea kulipia nauli na posho. Fedha hizi zingeweza kufanyia Jambo lingine kubwa lenye maslahi mapana kwa taifa.

Ndiyo maana tunataka rais apunguze idadi ya safari zake za kwenda nje ya nchi.
Na akitoka kwenda nje ya mipaka ya nchi yetu,unajua mabilioni mangapi yanaingia???hivi wajua kwamba sisi tunauhitaji mkubwa wa wawekezaji kuliko wawekezaji wanavyotuhitaji na thats why twatakiwa tangaza nini tunacho na muda mwingine kushawishi waje ama kuwafahamisha nini kipo wajue ili waje. Kingine, nchi yetu ilipoteza sifa ya uwekezaji,hapakua safe kwa wawekekezaji kipindi chote cha jiwe, sasa now twataka waje, nani atawaaminisha kwamba Tazania ni salama tena kama si mkuu wa nchi???
 
Unadhani wakoloni sehemu mbalimbali duniani walijiondoa au waliondolewa?

Kuna wakoloni walioombwa kuondoka wakaondoka kistaarabu. Mfano kama Muingereza alivyoondoka hapa. Kuna wakoloni wengine waliondoka baada ya kupigana vita. Mfano kama Mfaransa alivyoondoka Algeria baada ya vita. Sasa kwa jinsi wanavyovuruga uchaguzi na kusambaratisha upinzani unafikiri CCM iliyojengwa na Nyerere itaondoka kistaarabu kama alivyoondoka Muingereza? Sahau.
 
Unadhani ni kwa nini nilikuuliza swali la namna hii ?
 
Mfumo uliopo unawanufaisha hao viongozi wa CCM, unafikiri watakuwa tayari kuubadilisha ili waondolewe?
Swali langu lillijikita hapa kutokana na maelezo yako kuhusu ya wenye dhamana la kubadilisha mfumo. Ndio Mimi nikakuuliza unadhani wakoloni walijiondoa au waliondolewa . Kiukweli hatuwezi na hatupaswi kusubiri na kumtegemea CCM wabadili mfumo Bali CCM tulionje ya huo mfumo CCM ndio tunahitaji kushinikiza mabadiliko ya huo mfumo kwa njia yoyote ile ili mfumo CCM ulio mbovu uondoshwe nchi. Maana CCM hawawezi kujirekebisha na kujirekebisha taifa Bali sisi ndio tunapaswa kulirekebisha taifa na kuwaondoa CCM madarakani kwa njia yoyote ile.
 
Huwezi kuwabadilisha kwa sababu hakuna demokrasia ya kusema utawabadilisha kwa kupiga kura, ukijaribu maandamano wanawapa watu vilema na huwezi kuwafanya lolote kwa sababu Nyerere alishapiga marufuku watu kumiliki silaha.
 
Unadhani wakati Sri Lanka wanawaondosha mawaziri pamoja na Rais wali subiri demokrasia? Na je unadhani wananchi waliowengi wa Sri Lanka kwenye maandamano yao hawakuvunjwa miguu na wengine kuuwawa? Na Kama madhira haya yaliwapata wanasri Lanka unadhani ni kwanini hawakukata tamaa kwa kuogopa virungu vya polisi vitakavyo vunja miiguu yao na pia hawakuogopa risasi za polisi zilizopoteza uhai wa baadhi ya waandamanaji?
 
Na pia sioni usahihi wa wewe kuendelea kumlaumu Nyerere mpaka Sasa Mwalimu amekwisha kufa . ni bora ungemuacha maana ninaweza kukuuliza wewe ni mchango upi umeuobesha kwenye kutafuta ukombozi wa pili wa taifa letu kutoka mikononi mwa CCM maana Mwalimu yeye tayari ana mchango mkubwa tu wa ukombozi wa kwanza wa taifa letu kutoka mikononi mwa Waingereza.
 
Sri Lanka walianza kuandamana kwa amani bila kufanyiwa fujo kwa sababu wana demokrasia zaidi yetu. Sasa wewe jaribu maandamano yoyote hapa halafu uone. Kwanza huyo kiongozi wa hayo maandamano atanyakuliwa na watu wasiojulikana mapema sana na wala hutomsikia tena. Ndiyo mfumo alioujenga Nyerere huo.
 
Lazima tumtaje kwa sababu yeye ndiye alijenga huu mfumo uliopo, yeye ndiyo muasisi wa CCM na fikra zake zimedumu, yeye ndiye aliacha hii katiba. Sasa wewe kama unaogopa kivuli cha Nyerere, utaweza kweli kuleta mabadiliko?
 
Mimi siogopi kivuli Cha Mwalimu nimekwisha mkosoa juu ya Hilo la kuchanga uoga ndani ya WATANZANIA pamoja na kuamini kwake kuwa CCM ndio wenye dhamana pekee ya kuijenga Tanzania. Ila kwa mtu mwenye fikra kweli za ukombozi wa pili haziwezi kutokea eti kwa sababu ya Mwalimu Nyerere kudumaza WATANZANIA je na yeye Mwalimu Nyerere angemlalamikia baba yake kwa kuzuia fikra za ukombozi wa Kwanza eti kwa sababu alikuwa chifu wakati wa Utawala wa kikoloni je leo hii tungekuwa huru?
 
Sri Lanka walianza kuandamana kwa amani bila kufanyiwa fujo kwa sababu wana demokrasia zaidi yetu. Sasa wewe jaribu maandamano yoyote hapa halafu uone. Kwanza huyo kiongozi wa hayo maandamano atanyakuliwa na watu wasiojulikana mapema sana na wala hutomsikia tena. Ndiyo mfumo alioujenga Nyerere huo.
Hivi unafahamu kuwa Sri Lanka wala si demokrasia ndio hiliyo wafanya wandamane bali hali ngumu ya maisha ndio iliyopelekea watu kutokujali chochote kile . na wala sio ishu ya demokrasia unayoeleza wewe maana porisi wa Sri Lanka wameuwa waandamanaji wengi Sana , wajeruhi waandamanaji wengi Sana , na wametumia njia zisizo za kidemokrasia kuzuia maandamano kwa kiwango kikubwa swali la kujiuliza je wewe , Mimi na sisi WATANZANIA tunaudhubutu wowote wa kufanya maandamano yatayoleta matokeo chanya katika ukombozi wa taifa hili bila kujali ni wangapi watakufa ama kujeruhiwa katika maandamano je huo utayari tunao? Maana hii ndio ilikuwa Siri ya mafanikio ya Sri Lanka na wala sio demokrasia unayozungumzia wewe hapa. Bila dhamira wala uthubutu kamwe hatuwezi kuleta ukombozi kila siku tutaishia kumlaumu Mwalimu Nyerere ambaye amekwisha kufa hawezi kufufuka kuja kusahihisha mahali alipokosea hii itakuwa ni kazi bure tu.
 
Mimi siogopi kivuli Cha Mwalimu nimekwisha mkosoa juu ya Hilo la kuchanga uoga ndani ya WATANZANIA pamoja na kuamini kwake kuwa CCM ndio wenye dhamana pekee ya kuijenga Tanzania. Ila kwa mtu mwenye fikra kweli za ukombozi wa pili haziwezi kutokea eti kwa sababu ya Mwalimu Nyerere kudumaza WATANZANIA je na yeye Mwalimu Nyerere angemlalamikia baba yake kwa kuzuia fikra za ukombozi wa Kwanza eti kwa sababu alikuwa chifu wakati wa Utawala wa kikoloni je leo hii tungekuwa huru?

Babaake Nyerere hakufanya alichofanya mwanae. Nchi ilijengwa kwa fikra za Kambarage. Na yeye ndiye alikataa mfumo wa demokrasia ambao ungeweza kuleta mabadiliko. Na yeye ndiye alipiga marufuku watu kumiliki silaha. Chanzo cha mambo unayoyapigia kelele ni yeye Kambarage.
 
Hivi unafahamu kuwa Sri Lanka wala si demokrasia ndio hiliyo wafanya wandamane bali hali ngumu ya maisha ndio iliyopelekea watu kutokujali chochote kile . na wala sio ishu ya demokrasia unayoeleza wewe maana porisi wa Sri Lanka wameuwa waandamanaji wengi Sana , wajeruhi waandamanaji wengi Sana , na wametumia njia zisizo za kidemokrasia kuzuia maandamano kwa kiwango kikubwa swali la kujiuliza je wewe , Mimi na sisi WATANZANIA tunaudhubutu wowote wa kufanya maandamano yatayoleta matokeo chanya katika ukombozi wa taifa hili bila kujali ni wangapi watakufa ama kujeruhiwa katika maandamano je huo utayari tunao? Maana hii ndio ilikuwa Siri ya mafanikio ya Sri Lanka na wala sio demokrasia unayozungumzia wewe hapa. Bila dhamira wala uthubutu kamwe hatuwezi kuleta ukombozi kila siku tutaishia kumlaumu Mwalimu Nyerere ambaye amekwisha kufa hawezi kufufuka kuja kusahihisha mahali alipokosea hii itakuwa ni kazi bure tu.

Wa Sri Lanka waliandamana bila kibali kwa sababu wanaruhusiwa, jaribu wewe kuandamana bila kibali uone yatakayokutokea. Kidemokrasia Sri Lanka iko mbele kuliko sisi. Nyerere hakutaka demokrasia na ndiyo maana mpaka leo haipo.
 
endelea kushangilia dhalimu kufariki.

hata akisafiri mara 50 wewe shangilia dhalimu kuondoka,na kuchomwa jehanam.
mnakuwaga na upumbavu mwingi sana.
 
Babaake Nyerere hakufanya alichofanya mwanae. Nchi ilijengwa kwa fikra za Kambarage. Na yeye ndiye alikataa mfumo wa demokrasia ambao ungeweza kuleta mabadiliko. Na yeye ndiye alipiga marufuku watu kumiliki silaha. Chanzo cha mambo unayoyapigia kelele ni yeye Kambarage.
Unadhani umiliki wa silaha ndio unaleta ukombozi la asha. Kitu pekee kitakacho Leta ukombozi wa pili katika Taifa letu sio umiliki wa silaha Bali ni umiliki wa fikra chanya za ukombozi ndizo zitakazo leta ukombozi wa pili wa taifa letu . UFARANSA, RUSSIA , SRI LANKA hawa hawakuitaji kumiliki silaha ili walete ukombozi bali waliohitaji umiliki wa fikra chanya za ukombozi ndipo ukombozi ulipoweza kutokea katika mataifa yao Tanzania tunahitaji umiliki wa fikra chanya ndani ya vichwa vya WATANZANIA waliowengi ndipo hali na dhamira ya kutaka ukombozi wa pili wa taifa letu ndipo utakapo tokea
 
Back
Top Bottom