Hujanielewa nimesema usijenge chuki kitu cha kwanza kinachopelekea migogoro ya Askari na raia ni chuki za raia kwa Askari, hio sio sahihi na haikubariki kwanini ujenge chuki kiasi cha kuona kwamba aliefanya mauaji ya kumuua Askari yupo sahihi km sio ujinga ni nini?Hivi unadhani kanali hakua na mawazo Kama yako,kua dogo kajichanganya,ngoja nimnyooshe awe na adabu,matokeo yake yeye yupo mochwari?
Kuwa makini,mkuu.
Mungu alituumba tupendane na kuthaminiana lakini haya mavitu ya ulimwengu huu Vyeo,pesa,mali vinatuvimbisha makiburi mpaka tunakuwa kama wehu na kusahau utu wa mwenzetu na kujiona sisi ni bora zaidi ya mwingine. Pole kwa pande zote Mbili kwa maumivu tofauti ktk sakata hili.Inasemekana ( kwa aliyenipa Taarifa Kamili kuwa ) Dereva Bajaji jana Usiku katika Baa Moja maarufu iliyo kwa ndani ( Mafichoni kidogo ) mkabala na Petro Station ya PUMA Kawe alipishana Kauli na Mwanajeshi ( tena Mkubwa wa Cheo cha Kanali ) kuhusu Kuzibiana njia ya kupita.
Ambapo Afande Kanali alikuwa Kapaki Gari lake lililokuwa limezuia njia kwa mbele na Dogo ( Dereva Bajaji ) kuhoji kwanini Afande aliziba njia hali iliyomkwaza Afande ( wa Cheo cha Kanali Muro kama sijalikosea Jina lake ) ambapo Afande Kanali akatoka ndani ya Gari lake na Kumzaba Makofi Dereva Bajaji huyo.
Kisha nae ( Dereva Bajaji ) kwa Hasira akaamua kwenda kuchukua Bisibisi Bajajini Kwake na kuja Kumchoma nayo Afande Kanali upande wa Moyo hali iliyomfanya akimbizwe Lugalo Hospital kwa Matibabu na Umauti kumkuta huko huko Wodini.
Kwa hio na wewe utafanya hivyo unaua alafu unakimbilia kwa Babu au sio? Chuki za kijingamtu anaua wanajeshi watatu anaenda kijijini kwao anaeleza hali halisi kwababu.
babu anamwambia punzika miezi mitatu mjukuu wangu halafu rudi mjini ukapige kazi bila hofu.
unarudi mjini mamboyote saafi kabisa hatawale waliokuwa wanakufata nyumbani nakusumbua mkeo na watoto hawaji tena na rodi unaingia Kama kawaida
dogo kafeli pakubwa mnooo hadi nimekasirik
Hakuna mwanaume rijali yuko tayari kuvumilia ukhanithi , yaani wewe ukurupuke tu baada ya kuvombiwa gongo huko vichochoroni na kuanza kuzaba mtu vibao ,una akili una kamasi ?Ndugu zangu wenye vitengo jitahidin sana kuwa wastaarabu...
Pole kwa familia ya kanali ila kiuhalisia tu maisha yamebadilika kwa kiasi kikubwa sana
Binadam ni binadam tu haijalishi uwe na nguvu, pesa, au cheo flani wote sisi ni dhaifu
Kuna chuki kubwa sana baina raia na jeshi la polis na Jwtz hii mbaya sana kiusalama na inaweza pelekea mfumuko wa vikundi vya kigaidi na hii hali ya nchi kua chini ya udikteta wa chama kimoja ni mbaya zaidi
Raia tuheshim wanajesh wetu tuwe wazalendo na wanajesh heshimuni raia msiwachukulie poa sana watu kiukweli wapo kwenye hali mbaya yani wamevurugwa
Kuna situation ilinitokea na mwanajesh yani bila foleni nadhani sahiz ningekua nyuma ya nondo au washanizika ndugu
Hakuna mwanaume anapenda kuonewa
Safi sanaaa ukishindwa kuikotrol bangi wacha usaidiwe.Kuna Mtu alijeruhiwa vibaya Jana Usiku na mapema tu jana ile ile ( inasemekana kuwa ) Jamaa alifariki dunia hivyo Wanamtafuta ( nasikia Wameshampata ) japo aliitoroka Bajaji yake ile jana na Kuwarahishia kumkamata kwani anajulikana na Wenzake Kijiweni.
sijasema nitaua.unajuaje Kama nishaua tayali?Kwa hio na wewe utafanya hivyo unaua alafu unakimbilia kwa Babu au sio? Chuki za kijinga
Hujajibu swali; ukishaua na wewe utakimbilia kwa Babu? Usiparirie chuki za kijingasijasema nitaua.unajuaje Kama nishaua tayali?
mwanajeshi nimtu kamamtu mwingine tuu aishi kwastep
Ofcourse ujanja wa kujitoa mikononi mwa wenye macho hawanamadogo wadaa akili ndogo sana.
mtu unaweza kuuwa lakini kutoroka huwezi sasa kwanini unaua Kama kutoroka unashindwa?sibora uwe kondoo tuu.
hio nikesi ndogo sana Kama angekuwa naakili zakiume.
alipofanya hilotukio alitakiwa ndani ya masaa matatu ashafika njia yamkata huko.angeishi vizuri tuu mtaani.
lakini maskini yamungu dogo hana hili wala lile ameishia kukamatwa dah.
Na wewe unahisi ungefanikiwa kufika mkata baada ya kuua? Punguza ujingamadogo wadaa akili ndogo sana.
mtu unaweza kuuwa lakini kutoroka huwezi sasa kwanini unaua Kama kutoroka unashindwa?sibora uwe kondoo tuu.
hio nikesi ndogo sana Kama angekuwa naakili zakiume.
alipofanya hilotukio alitakiwa ndani ya masaa matatu ashafika njia yamkata huko.angeishi vizuri tuu mtaani.
lakini maskini yamungu dogo hana hili wala lile ameishia kukamatwa dah.
hatawewe ukipatwa nakesi yoyote nitafute nikupeleke sehem faili linafutwa chapHujajibu swali; ukishaua na wewe utakimbilia kwa Babu? Usiparirie chuki za kijinga
kwanini nisifike mkuu?Na wewe unahisi ungefanikiwa kufika mkata baada ya kuua? Punguza ujinga
Uwe unaelewa wewe mpumbavu , huyo bodaboda anekuta njia imezibwa akauliza kwanini ameziba njia ?Kuna mwanajeshi mkubwa nimekutana nae asubuhi hii yupo very frustrated how come raia mnakua na uadui na wanajeshi wa Nchi yenu why muwadharau watu wanaowalinda why mnawaonyesha dharau kiasi cha kuanza kuwaua wakianza kujibu mapigo mtaanza kulialia maana hawashindwi Ila taratibu na kanuni zao zinawabana, sio fair hata kidogo kwanini usimsikilize hata km kablock njia na mmepishana kauli ndio uchukue maamuzi ya kumuua?
Kwa hiyo wewe mpumbavu unadhani askari ndio wanajua kutumia bunduki tu nchi hii si ndio ?Nidhamu ya uoga unaijua wewe? Ushawahi kutumia hata Shot Gun Pump Action au unaropoka tu hata Magazine Chamber hujui inafananaje
...Pamoja na uzibaji wa njia Sijui walijibishana nini kama muwajuavyo madereva bajaji na boda, keno akamlamba kibao kijana akaon sio kweli kaenda kweny bajaj yake katafuta silaha kaichukua, kwamba hapa naenda kujeruhi, kamchoma nayo" unasema kaua bila kukusudia? Basi Sheria ni pana aiseeHaya kama ndivyo nilivyosoma basi haikuwa kazi ya jeshi ni kazi ya polisi,tunategemea muhusika apelekwe kwenye vyombo vya sheria.
Dereva kaua bila kukusudia,temper ililetwa na dereva aliyetumia madaraka yake kumtesa kijana wa watu.
Afisa wa jeshi kapoteza maisha kizembe sana mno,unatumia madaraka hata pasipostahili,kuna watu hawapendi kuonewa
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Acha kua biased, usiegemee upande kila mmoja ana makosa kwa kiasi chake Ila alievuka mpaka ni aliechukua maamuzi ya kuua baada ya kuzidiwa nguvu kwenye one vs one na kuchezea mambata, kata funua za kutosha unakimbilia bisibisi? Tulia unabishana na Askari? Haya sasa baada ya kuua unapata faida gani?Haya kama ndivyo nilivyosoma basi haikuwa kazi ya jeshi ni kazi ya polisi,tunategemea muhusika apelekwe kwenye vyombo vya sheria.
Dereva kaua bila kukusudia,temper ililetwa na dereva aliyetumia madaraka yake kumtesa kijana wa watu.
Afisa wa jeshi kapoteza maisha kizembe sana mno,unatumia madaraka hata pasipostahili,kuna watu hawapendi kuonewa
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Unauhakika jamaa kaziba tu njia dereva kaja kuuliza tu akapigwa kibao hivyo tu ndo ilivyokua? Anayeongelewa hapo ni keno sio Cpl wa mizingaUwe unaelewa wewe mpumbavu , huyo bodaboda anekuta njia imezibwa akauliza kwanini ameziba njia ?
Huyo askari zuzu akaanza kumpiga makofi ,ni nani alikuwa na makosa hapo ?
Muwe mnatumia akili ninyi kondoo
Unaandika hivi wewe kama nani unajiexpose kifala mno.Akifa huyo jamaa ijapokuwa ni mtuhumiwa,unajua kwamba jeshi(taasisi) inaweza kuwajibishwa mbele ya mahakama? Uzuri kikosi husika kinafahamika.Acheni kujipa kazi ya mahakama ya kutoa adhabu.Hadi muda huu tunavyo zungumza dereva bajaji hajafa. Tulimpata saa 8 za usiku akiwa anatoroka mapaka saa 9 tulifanikiwa kumminya kende na Kwa bahati mbaya kende Moja tumeipasua[emoji1787][emoji1787]
Hakuna sehemu kwenye mwili wake ambayo hatujaigusa tulikuwa tunamfinya akipoteza fahamu tunamzindua Kwa madripu akiamka kipigo na kifinyo kinaendelea.
Mpaka muda huu tumefanikiwa kuichakaza vibaya ngozi yake kiasi ukimuangalia huwezi kutamani kula nyama na huwezi kuamini kuwa huyu ni mtu[emoji24][emoji24][emoji24]
Kwa kifupi huyu mtu alileta taflani kubwa iliyopelekea Jana usiku wanausalama wakarushiana risasi wenyewe Kwa wenyewe.
Ndugu zangu tujifunze kudhibiti hasira Kwa kilicho tokea jeshi Lina omboleza hivyo na lenyewe haliwezi kukubali hii ni kama kulizalilisha Jeshi.
Na kama mjuavyo history ya jeshi letu halijawahi kushindwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kitu pekee ilicho wahi kushindwa ni Yale maasi ya kumpindua Nyerere TU.
In advance Rest in Peace dereva bajaji. Maana najua hata tukimuachia aende zake Kwa alicho kipata awezi kufikisha masaa 72 akiwa hai[emoji24][emoji24][emoji24]