Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Hujanielewa nimesema usijenge chuki kitu cha kwanza kinachopelekea migogoro ya Askari na raia ni chuki za raia kwa Askari, hio sio sahihi na haikubariki kwanini ujenge chuki kiasi cha kuona kwamba aliefanya mauaji ya kumuua Askari yupo sahihi km sio ujinga ni nini?Hivi unadhani kanali hakua na mawazo Kama yako,kua dogo kajichanganya,ngoja nimnyooshe awe na adabu,matokeo yake yeye yupo mochwari?
Kuwa makini,mkuu.