Kawe leo hii kuanzia Saa 1 hadi Saa 3 Usiku kulitokea nini hadi MP wa JWTZ Kufurika, Kukamata Watu, Kutembeza Kichapo na Kuzua taharuki?


Pole kwa wafiwa. Marehemu alikosa hekima lakini. Ukishakua kwenye vyombo vya usalama haimaanishi uwe mtu wa shari pasipo na misingi yoyote. Ukivaa kombati haimaanishi una mwili wa chuma tayari. Bado mwili wako ni wa damu na nyama.
 
Kwa kifupi fujo hazitakiwi regardless mtu anakula ugoro mirungi remy martin jamaa katandikwa kisu mbele ya familia yake wangeongea kistaarabu yote hayo yangetokea wapi
 
Ni kazi yao. Kila mtu ana kazi yake ambayo inamfanya halali kwaajili ya wengine. What’s your point?
Sasa ndio msiwalatee dharau za kijinga na kuwachokoza, umekula bangi zako umeshiba nenda kwenu kalale usizi bangi zikikata ingia road usanye abiria sio unakula mibange yako huko alafu unaenda kutafuta ugomvi na watu ili uwachome bisibisi
 
Kama wamepata mafunzo maalum kwanini wasubiri kukusanyana wengi?

Halafu, dunia inajitahidi kuwa na majeshi ya kisasa. Sisi bado tunataka majeshi yaliyotumika huko Sabibor

Heshima hizi za kutafutwa baa za vichochoroni hazina maana yoyote. Tujifunze kuheshimiana kila mtu kwa nafasi yake.
 
Simulizi hizi ndio walizojaa nazo vijana wengi na wanatembea na hii mentality ambayo sio sahihi na sio kweli,

Binafsi ukiwa muonevu siku ukiingia cha kike kama hao jamaa zako wawili huwa nafurahi sana. Na walipigwa kweli kweli…na wananzengo walifurahi maana walichoshwa na tabia zao! Kuna lingine mkuu?
 
Shida sio hekima shida ni chuki, I'm telling you I know what I'm telling you raia punguzeni chuki na Jeshi lenu,

Sasa majuzi kwenye msako wa gwanda zao MPs wameingia Karume kibabe wanajibebea bidhaa hata ambazo hazihusiki wala hazifanani na sare JWTZ! Unataka watu wasiwachukie? Nchi yenyewe masikini bado mtumie mamlaka yenu vibaya kila kukicha kuonea watu!
 
Mkuu yaani nimecheka mpaka basi!!!

Watu walifurahi maana walikua washawachoka tabia zao za ubabe wa kijinga kisa wanajeshi.
Mkono ulitembea ndani ya Bar, wajeda wakaona moto mkali wakaamua zikapigwe nje…kosa kubwa sana….zilitoka chokuzuki na mawashigeri pale watu chali[emoji28]
 

Kwa wanachokifanya sasa ndio wanadhihirisha UJINGA wao kwa sababu wanapiga watu indiscriminately! Wanawake kwa wanaume…kuna watu wameumizwa vibaya pasipokua na kosa lolote, kosa lao ni kupita Kawe!
 
Kwa wanachokifanya sasa ndio wanadhihirisha UJINGA wao kwa sababu wanapiga watu indiscriminately! Wanawake kwa wanaume…kuna watu wameumizwa vibaya pasipokua na kosa lolote, kosa lao ni kupita Kawe!
Aibu sana,je raia wote wakijitoa wajibu nao

Ova
 
Hii inaitwa .... raia wakichoshwa na maisha yao uwa awaogopi kitu chochote mbele yao. Tujifunze nidhamu utu na busara. Kuuwa mtu sio jambo la kufurahia bari ni udhuni. Unatoa uwahi wa mtu ki masihala hivi,
 
Ametaka kumchukulia poooa
Ameambiwa mshua sogeza gari nipite
Akaanza ooh sikupishi, kwanza unanijuuaaa
Akamtandika Dogo mibao ya usoni
Ndipo Dogo akamwambia we mzee Hapa umeyakanyaaga
Ngoja nilete bisibisi nije nikafungue moyo kama injinii
Kanali Ameyatimbaa aaaaah ameyatimbaa ooooh ameyatimbaa
Tokoto tokotototo tokoto tokoto tokotototo......
 
Wapumbavu tu
 
Wapumbavu tu hata wakimuua huyo dogo mpumbavu mwenzao atafufuka? Imeisha hyo na waKae chonjo shida ya afya ya akili ni halisi watu wanaua tu.
 
We jamaa unaonekana mshamba, mjinga halaf huna self discipline,. Endeleeni na ubabe Wa kifala kila mtu amuheshimu mwenzie nchi sio yenu tu. Raia wakichoka tutayasikia mengi na ushamba wenu. Kataa kubali hasara ni kwa huyo aliyekufa huyo boda anaishi km kafa hana cha kupoteza haya afande akajimwambafai kaburini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…