Kawe leo hii kuanzia Saa 1 hadi Saa 3 Usiku kulitokea nini hadi MP wa JWTZ Kufurika, Kukamata Watu, Kutembeza Kichapo na Kuzua taharuki?

Kawe leo hii kuanzia Saa 1 hadi Saa 3 Usiku kulitokea nini hadi MP wa JWTZ Kufurika, Kukamata Watu, Kutembeza Kichapo na Kuzua taharuki?

Hata polisi hasa wale field force unit squads huwa wanajiona ni miungu watu , kila siku wanapasuliwa na chupa huko kwenye mabar kisa ugomvi wa kipumbavu ,kugombea Malaya na raia
Ww jamaa kama sio bodaboda/bajaji basi wazee wa mabaka walishawahi kukuachia alama maana sio kwa matusi haya.
 
Na pengine hata huyo bajaji ukute alikuwa hajui kama Marehemu ni mwanajeshi, ila Cha kujifunza huku barabaran sio sehemu Nzuri kuvimbiana Bora uwe mpole tu hasa ukiwa kapuku
Barabarani, mitaani watu hawajuani
Bora ujishushe, kubalu yaishe maisha yaendelee
Hata yule dereva aliyemjibu shyt ditopile hakujuwa ditopile ni nani?

Ova
 
Mtu unapoteza uhai kirahisi kabisa
Na huyo dereva bajaji naye anaenda kuozea kwenye majengo ya serikali
Kipuz kabisa
Wote hao hawajielewi

Ova
 
Kwani, Mkuu unakuwa unaelewa nini inapotokea ukaambiwa majeshi ni vyombo vya kutumia nguvu? Au labda ukiambiwa kuwa serikali ni chombo cha mabavu?

Maana naona ulivyoielezea nguvu, naona kama vile umechukulia kubeba mawe labda, au kunyanyua vitu vizito vizito hivi. Kama umeichukua nguvu kwa picha hiyo, hauko sahihi.

Mkuu, mara nyingi wanajeshi huwa wanachokozwa na raia wanaojisahau. Namna ya mwanajeshi kumheshimu raia ni kumlinda usiku na mchana kwa umri wake wote.

Ova
Vyanzo vingi vya ugomvi huwa ni vya kipuz kabisa

Ova
 
Ninachokijua tu ni kwamba huenda kuanzia leo hata Kuukweka ( Kunya ) akashindwa kwa Siku 7 au 14 zijazo na asiwe na Uwezo mzuri wa Kuona huku Mwili ukiwa Umeumuka ( Umevimba ) sana.

Wewe Umezabwa tu Vibao unakimbilia Bisibisi na kwa Kuongozwa na Bangi zako na Gongo zinakutuma Umchome Mtu ( tena Mjeda na kumsababisha Umauti kama inavyosemekana ) kwanini yasikukute tu?

Mwenyezi Mungu hakuwa Mjinga kutuwekea Mawe ( Vitofa ) kwani hata Nguli ( Legend ) wa Sanaa ya Mapigano ( Martial Arts ) Marehemu Bruce Lee alishasema kuwa ukiona unayegombana nae humuwezi Kimapigano Chagua Vitu Vinne vifuatavyo...1. Kuachana nae huku ukijipanga Kummaliza taratibu Kimafia, 2. Kutoka Baru ( Kukimbia ), 3. Kumng'ata na 4. Kuokota Mawe na Kumpiga nayo kwa Kumrushia ( Palestine Style )

Kama namuona vile huyu Dogo aliko.
Huko alipo Atampenda mama ila atajuta kuzaliwa
 
Barabarani,mitaani watu hawajuani
Bora ujishushe,kubalu yaishe maisha yaendelee
Hata yule dereva aliyemjibu shyt ditopile hakujuwa ditopile ni nani?

Ova
Ditopile ni nani mkuu??

Honestly simjui ila jina lake sio geni masikion
 
Ni kweli yametokea ila tumwachie mwenyezi mungu kwani ndiye ajuaye siri na kesho yetu ikoje. JWTZ ni taasisi ya serikali ambayo hufuata taratibu, sheria na kanuni za kuiongoza taasisi hiyo, kwa hiyo tuwapende wanajeshi wetu sio kutokana na sintofahamu za baadhi ya wanajeshi wetu ndio ionekane taasisi yote haieleweki.

MWENYEZI MUNGU TUJALIE TUDUMISHE UPENDO BAINA YETU NA WANAJESHI WETU ILI TUWEZE ISHI KWA AMANI KUBWA NA KUILINDA MOJAWAPO YA TUNU YETU MUHIMU"AMANI". KWANI AMANI NDIO INAFANYA TUFURAIE UHAI TULIO PEWA NA MWENYEZI MUNGU.
 
Sasa huyo akifungwa maisha jela si atafirwa mpaka kutoke moshi huko nyuma.?

Vijana angalieni na watu wakupigana nao usiwehuke tu hizo bangi zako mwisho segerea
Anaweza kujiua kabla hamjamfikisha huko segedance, mara nyingi mimi naandika humu usicheze na mtu aliyekata tamaa especially kama una vingi vya kupoteza.

Mtu aliyekata tamaa huwa hana cha kupoteza.
 
Anaweza kujiua kabla hamjamfikisha huko segedance, mara nyingi mimi naandika humu usicheze na mtu aliyekata tamaa especially kama una vingi vya kupoteza.

Mtu aliyekata tamaa huwa hana cha kupoteza.
Pia kumpiga Mtu au kumlamba makofi na yenyewe ni dalili za kukata tamaa we need to control our Ego .

Unapotumia matumizi yoyote ya Nguvu iwe kumpiga mtu kibao au kumtukana lazima litakukuta Jambo so huyo mjeda Anaonekana she was already heart fainted.
 
Pia kumpiga Mtu au kumlamba makofi na yenyewe ni dalili za kukata tamaa my we need to control our Ego me

Unapotumia matumizi yoyote ya Nguvu iwe kumpiga mtu kibao au kumtukana lazima litakukuta Jambo so huyo mjeda Anaonekana she was already heart fainted.
Definitely, na amepata anachostahili. Hata kama wenzake wakifanya fujo kuanzia kawe mpaka bagamoyo bado hawawezi kurudisha uhai wa mwenzao, Point blank!
 
Ww jamaa kama sio bodaboda/bajaji basi wazee wa mabaka walishawahi kukuachia alama maana sio kwa matusi haya.
Tanzania kuna jeshi hapa au vikundi vya mazwazwa tu wanaovuna maokoto ya serikali bure na kukandamiza haki za raia tu ili kunufaisha kundi la watu flani ?,
Do you even think these bums give a rat ass shit about you ?
 
Back
Top Bottom