KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE: Tundu Lissu apewa kila anachohitaji gerezani

KiTanzania

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2025
Posts
210
Reaction score
126
IMG-20250625-WA0000.jpg

Kuna wakati baadhi ya Watanzania hasa wenye mrengo wa Upinzani walishindwa kumwelewa Rais Samia hasa aliposema yeye ni mtu safi na ni mtu anayemtegemea Mungu hivyo hawezi kufanya jambo lolote baya kwa mpinzani wake yeyote kwa namna yeyote.

Mtakumbuka mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe Tundu Lissu kulalamika kuwa akiwa gerezani kuna mambo anapitia yanamfanya ashindwe kupata haki zake kama mfungwa mahabusu.

Kauli hii ya Mhe Tundu Lissu imemfikia Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na hayo ndio majibu yake Kwa Tundu Lissu akiwa gerezani kwani Kwa sasa amekiri yeye mwenyewe kuwa anapata kila haki iliyo yake kama mfungwa mahabusu.

Naomba kunukuu waraka wa Mhe Tundu Lissu akiwa gerezani.

"Baada ya kuzungumza Mahakamani juu ya ukiukwaji wa haki zangu kama mfungwa gerezani;
Sasa naweza kuonana na mawakili wangu na kuzungumza faragha,
Sasa naruhusiwa kufanya mazoezi kwenye uwanja wa mpira kama wafungwa wengine na
Sasa naweza kupata huduma ya kiroho siku za ibada"

Mwisho wa kunukuu,

Hii ndio tafsiri rahisi ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alipokuja na kauli mbiu ya " KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE KWA PAMOJA"
 
Ametolewa kule KWA wanaandaliwa kunyongwa?

Mkuu wa gerezani hajatumbuliwa KWA makosa Yale? Maana yule ni mtu maarufu anatetewa Hadi na wazungu vipi wale masikini huko SI anaweza kuwanyonga kabisa kinyume na sheria maana hawana watetezi.
 
View attachment 3382149
=

Ni ujinga tuu wa wachache,hajahukumiwa Bado,wao wamemhukumu!
 
Amepetolewa kule KWA wanaandaliwa kunyongwa?

Mkuu wa gerezani hajatumbuliwa KWA makosa Yale? Maana yule ni mtu maarufu anatetewa Hadi na wazungu vipi wale masikini huko SI anaweza kuwanyonga kabisa kinyume na sheria maana hawana watetezi.
Hata waziri wa mambo ya ndani alipaswa ajiudhuru kwa unyanyasaji wa waziwazi!
 
View attachment 3382149
=
Kuna wakati baadhi ya Watanzania hasa wenye mrengo wa Upinzani walishindwa kumwelewa Rais Samia hasa aliposema yeye ni mtu safi na ni mtu anayemtegemea Mungu hivyo hawezi kufanya jambo lolote baya kwa mpinzani wake yeyote kwa namna yeyote.

Mtakumbuka mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe Tundu Lissu kulalamika kuwa akiwa gerezani kuna mambo anapitia yanamfanya ashindwe kupata haki zake kama mfungwa mahabusu.

Kauli hii ya Mhe Tundu Lissu imemfikia Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na hayo ndio majibu yake Kwa Tundu Lissu akiwa gerezani kwani Kwa sasa amekiri yeye mwenyewe kuwa anapata kila haki iliyo yake kama mfungwa mahabusu.

Naomba kunukuu waraka wa Mhe Tundu Lissu akiwa gerezani.

"Baada ya kuzungumza Mahakamani juu ya ukiukwaji wa haki zangu kama mfungwa gerezani;
Sasa naweza kuonana na mawakili wangu na kuzungumza faragha,
Sasa naruhusiwa kufanya mazoezi kwenye uwanja wa mpira kama wafungwa wengine na
Sasa naweza kupata huduma ya kiroho siku za ibada"

Mwisho wa kunukuu,

Hii ndio tafsiri rahisi ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alipokuja na kauli mbiu ya " KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE KWA PAMOJA"

Unamaanisha kuwa ni yeye ndiye aliyekuwa anamnyima Lisu haki zake, na sasa ameamua kumpa?

Kama siyo yeye ndiye aliyekuwa anamnyima haki zake, amechukua hatua gani dhidi ya Waziri mhusika na mkuu wa magereza?

Amechukua hatua gani dhidi ya wanaoteka na kuwaua wanaomkosoa?
 
atapewa na CHADEAMA
Chadema wanaweza kumpa sumu Lissu akiwa gerezani ili afe wachonganishe wananchi na Serekali kwahiyo naliagiza jeshi la magereza lisipokee chochote kutoka kwa Chadema kumpa Lissu.

Lissu ahudumiwe kila kitu na serekali muda wote akiwa Gerezani asubuhi apewe supu ya kuku, kikombe cha maziwa, mchana ugali samaki na matunda jioni pilau ya mbuzi hadi siku ya hukumu yake
 
Hilo nalo neno aisee
 
View attachment 3382149

Kuna wakati baadhi ya Watanzania hasa wenye mrengo wa Upinzani walishindwa kumwelewa Rais Samia hasa aliposema yeye ni mtu safi na ni mtu anayemtegemea Mungu hivyo hawezi kufanya jambo lolote baya kwa mpinzani wake yeyote kwa namna yeyote.

Mtakumbuka mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe Tundu Lissu kulalamika kuwa akiwa gerezani kuna mambo anapitia yanamfanya ashindwe kupata haki zake kama mfungwa mahabusu.

Kauli hii ya Mhe Tundu Lissu imemfikia Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na hayo ndio majibu yake Kwa Tundu Lissu akiwa gerezani kwani Kwa sasa amekiri yeye mwenyewe kuwa anapata kila haki iliyo yake kama mfungwa mahabusu.

Naomba kunukuu waraka wa Mhe Tundu Lissu akiwa gerezani.

"Baada ya kuzungumza Mahakamani juu ya ukiukwaji wa haki zangu kama mfungwa gerezani;
Sasa naweza kuonana na mawakili wangu na kuzungumza faragha,
Sasa naruhusiwa kufanya mazoezi kwenye uwanja wa mpira kama wafungwa wengine na
Sasa naweza kupata huduma ya kiroho siku za ibada"

Mwisho wa kunukuu,

Hii ndio tafsiri rahisi ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alipokuja na kauli mbiu ya " KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE KWA PAMOJA"
Wewe siyo kiboko ya wajinga Bali kiongozi wa wajinga.
 
Back
Top Bottom